Wajinga wamejaa CCM - Twaweza; usishangae.Kuhamua ndo kufanyaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajinga wamejaa CCM - Twaweza; usishangae.Kuhamua ndo kufanyaje
Tunawashauri viongozi watembelee Jamiiforums kupata taarifa kemkem za kinachoendelea pande zote za dunia waachane na kutegemea TBC , Daily News, Uhuru na vyombo vya Habari corporation online.
Mfano wa habari za kimataifa hapa JamiiForums: Donald Trump atembelea Texas, ulipo mpaka wa Marekani na Mexico
30 June 2021
Weslaco, Texas
USA
Donald Trump atembelea Texas, ulipo mpaka wa Marekani na Mexico
Donald Trump rais wa zamani wa Marekani atembelea border / mpaka huko Weslaco jimbo la Texas na kupewa taarifa ya ongezeko la makosa yanayovuka mpaka (cross border crime). Eneo hilo la jimbo la Texas lipo jirani na Rio Grande (bonde) valley likipakana na nchi jirani ya Mexico na bahari ya Gulf of Mexico . Vyombo vinavyohusika na ulinzi na usalama wa mpaka wamweleza Donald Trump kuwa changamoto zimeongezeka ktk kipindi cha karibuni.
Former President Donald Trump is in Weslaco, Texas for a Border Security Briefing with state officials and law enforcement.
Source : Global
Ulitaka amuuumbue Rais? Ila Kamuuliza maswali maswali kadhaa magumu.Wa kulaumu ni Salim Kikeke.
Sucks..Samia anadai, na hii namsikia mara ya pili au ya tatu, ati uchaguzi ukiisha Marekani panakuwa hskuna mikutano, isipokuwa ya kudai umeme ukikatika.
Wiki chache tu zilizopita Trump alikuwa na mkutano mkubwa wenye malengo ya 2024. Huyu Mzanzibari hajui siasa za dunia, anajificha kwenye ujinga ule ule wa mwendazake.
View attachment 1886683
Alipewa limitations atakuwaNa Kikeke naye mwandishi wa hovyo! Kwa nini asingemkumbusha Samia kuwa anadanganya?
Kuwa mwanasiasa ni kung'ang'ania madaraka? Ametupwa yes lakini bado ana harakati zake za siasa hakuna anayekamata kamata na mikutano yake ina nyomi kawaidaTrumph nae ni mwansiasa? Si muhuni tu huyo ,marekani walimtupa huko kama nyanya mbovu
Samia anadai, na hii namsikia mara ya pili au ya tatu, ati uchaguzi ukiisha Marekani panakuwa hskuna mikutano, isipokuwa ya kudai umeme ukikatika.
Wiki chache tu zilizopita Trump alikuwa na mkutano mkubwa wenye malengo ya 2024. Huyu Mzanzibari hajui siasa za dunia, anajificha kwenye ujinga ule ule wa mwendazake.
View attachment 1886683
Lila na fila....!Na hayo maneno alikua anayasemaga Sana Mwendazake,amewakaririsha CCM nao wanayarudia kila siku.
Sasa Mwendazake na kujua global issues wapi na wapi.
Huyu hana confidence kama mama TibaijukaMulamula nae hana exposure na hajui?
Amandla...
Tunawashauri viongozi watembelee Jamiiforums kupata taarifa kemkem za kinachoendelea pande zote za dunia waachane na kutegemea TBC , Daily News, Uhuru na vyombo vya Habari corporation online.
Mfano wa habari za kimataifa hapa JamiiForums: Donald Trump atembelea Texas, ulipo mpaka wa Marekani na Mexico
30 June 2021
Weslaco, Texas
USA
Donald Trump atembelea Texas, ulipo mpaka wa Marekani na Mexico
Donald Trump rais wa zamani wa Marekani atembelea border / mpaka huko Weslaco jimbo la Texas na kupewa taarifa ya ongezeko la makosa yanayovuka mpaka (cross border crime). Eneo hilo la jimbo la Texas lipo jirani na Rio Grande (bonde) valley likipakana na nchi jirani ya Mexico na bahari ya Gulf of Mexico . Vyombo vinavyohusika na ulinzi na usalama wa mpaka wamweleza Donald Trump kuwa changamoto zimeongezeka ktk kipindi cha karibuni.
Former President Donald Trump is in Weslaco, Texas for a Border Security Briefing with state officials and law enforcement.
Source : Global
Tukaneni mpaka mchoke....mmezoeleka...Hamna mtu mle form four failure
Darasa la MEMKWA