Rais Samia hana Mbadala Wake wa kuweza kuvaa viatu vyake katika Uchaguzi hapo Mwakani

🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Majinga bhana... Viatuu viatu nani anataka kuvaa viatu vya mtu??
Ndomana tunaambiwa TZ nitaifa lenye mbumbumbu wengi hatakama walipita shule!! Kuna Hadi maprof. mbumbumbu
 
Chawa unajiabisha.
 
Hao mateka umewateka na kuwashikilia wewe?

Miye siteki watu, namchukia mtekaji kura yangu na za washirika zangu anazo atakaye tutanzulia hili lawatekaji.

Ndiyo maana kwa vile ana dola chini yake nikadhani kama japo kakunong'oneza lolote?
 

Ningelikuwa huyo Samia, ningekupiga marufuku kuwa chawa wangu. Unatia aibu!
 
Kwa wakati huu hatuwezi kupata kiongozi mchapa kazi , mzalendo,akili kubwa ,mwenye maono ,utulivu,uzalendo , unyenyekevu, busara,hekima kama alivyo Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan
Mimi nina Imani na Wewe Mkuu, unaonaje tukakupa ridhaa?

Unataka kusema wewe huna hizo sifa kweli?
 
Mimi nina Imani na Wewe Mkuu, unaonaje tukakupa ridhaa?

Unataka kusema wewe huna hizo sifa kweli?
Sina hizo sifa .ndio maana nikasema kwa hapo Mwakani Rais Samia hana Mbadala wake wala wa kuweza kuvaa viatu vyake
 
Kama wengine wamekubali kuwa Chawa labda, hata hivyo kama wamekubaliana hivyo kwenye Chama chake, hata msema kweli ni sanduku la kura.
 
Sina hizo sifa .ndio maana nikasema kwa hapo Mwakani Rais Samia hana Mbadala wake wala wa kuweza kuvaa viatu vyake
Mkuu unadhani utafit eneo gani?

Makamu/Waziri Mkuu/Speaker ama Mkuu wa Mkoa/Wilaya?

Kumbuka safu ya Viongozi hao ndiyo tunaipanga wakati huu 🤗
 
Hata jiwe linaweza ongoza nchi ya mambwa ya stanza bila shida.

kama aliweza sekretari hata fundi mchundo anaweza.

hakuna u special wala ni basi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…