Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #61
Sehemu yeyote ile naweza kufiti na nikafanya vizuri mpaka wetu wakabakia wanabubujikwa na machozi ya furaha utafikiri πMkuu unadhani utafit eneo gani?
Makamu/Waziri Mkuu/Speaker ama Mkuu wa Mkoa/Wilaya?
Kumbuka safu ya Viongozi hao ndiyo tunaipanga wakati huu π€
So what??π€£π€£π€£π π€£π π€£Ndugu zangu Watanzania,
Katika uchaguzi wa hapo Mwakani ni vyema tukaendelea kukumbushana na kuelezana ukweli tu kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan jasiri muongoza njia, simba wa nyika,nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge hana Mbadala wake hakuna mwenye uwezo wa kuvaa viatu vyake.
Ni Mwaka wa uchaguzi lakini ni uchaguzi wa Mgombea Mmoja tu Mwenye sifa na uwezo wa kuliongoza Taifa letu Mheshimiwa Daktari Mama Samia.Ni uchaguzi wa kuliweka Taifa letu katika mikono ya mtu mwenye kuleta matumaini kwa mamilioni ya watanzania,kuwahakikishia watanzania nafasi ya kutimiza ndoto zao,kuwawezesha watanzania kufikia malengo yao na kuwainua watanzania kiuchumi.
Ni uchaguzi wa kumpitisha Rais Samia kuendeleza kazi nzuri aliyoianza ya kujenga uchumi shirikishi na wenye kugusa maisha ya watu wengi.ni uchaguzi wa kwenda kumchagua kiongozi ambaye tayari ameshaonyesha uwezo na nguvu ya kuliongoza Taifa letu katika nyakati ngumu zenye kuhitaji uimara,utulivu,maono,akili kubwa na uhodari wa kiuongozi kama alivyofanya Rais wetu Mama Samia kutuvusha katika kipindi kigumu cha Corona,mfumuko wa bei hasa mafuta ya petroli,dizeli na mbolea kuliko tokana na vita vya ukrein.
Ni uchaguzi wa kumchagua mtu ambaye haendi kujifunza kazi,au kujifunza mpangilio wa vyumba vya ikulu au ofisi zilizo chini ya ofisi ya Rais au kuanza kuunda taasisi mpya.tunakwenda kumpigia kura Rais Samia kwa kuwa tayari tumeona umahiri wake katika kuendesha ofisi ya Rais kwa manufaa na ustawi wa Taifa letu na watanzania wote kwa ujumla wake.
Ndio sababu ninasema ya kuwa RAIS Samia hana Mbadala wake wa kuweza kuvaa viatu vyake.Bali ni fursa ya viongozi wengine kuendelea kujifunza mambo mengi ya kiuongozi kutoka kwa Mama huyu ambaye ni kama maktaba ya uongozi. Ni fursa na nafasi ya wengine kukua na kukomaa kiuongozi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hahaha...............ngoja tukujaribu Kwa nafasi ya uDAS, tusipobubujikwa na machozi kama ulivyosema ujue ndiyo tunakurudisha Umalila ukalime Viazi tu π€πSehemu yeyote ile naweza kufiti na nikafanya vizuri mpaka wetu wakabakia wanabubujikwa na machozi ya furaha utafikiri π
Taka taka tuNdugu zangu Watanzania,
Katika uchaguzi wa hapo Mwakani ni vyema tukaendelea kukumbushana na kuelezana ukweli tu kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan jasiri muongoza njia, simba wa nyika,nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge hana Mbadala wake hakuna mwenye uwezo wa kuvaa viatu vyake.
Ni Mwaka wa uchaguzi lakini ni uchaguzi wa Mgombea Mmoja tu Mwenye sifa na uwezo wa kuliongoza Taifa letu Mheshimiwa Daktari Mama Samia.Ni uchaguzi wa kuliweka Taifa letu katika mikono ya mtu mwenye kuleta matumaini kwa mamilioni ya watanzania,kuwahakikishia watanzania nafasi ya kutimiza ndoto zao,kuwawezesha watanzania kufikia malengo yao na kuwainua watanzania kiuchumi.
Ni uchaguzi wa kumpitisha Rais Samia kuendeleza kazi nzuri aliyoianza ya kujenga uchumi shirikishi na wenye kugusa maisha ya watu wengi.ni uchaguzi wa kwenda kumchagua kiongozi ambaye tayari ameshaonyesha uwezo na nguvu ya kuliongoza Taifa letu katika nyakati ngumu zenye kuhitaji uimara,utulivu,maono,akili kubwa na uhodari wa kiuongozi kama alivyofanya Rais wetu Mama Samia kutuvusha katika kipindi kigumu cha Corona,mfumuko wa bei hasa mafuta ya petroli,dizeli na mbolea kuliko tokana na vita vya ukrein.
Ni uchaguzi wa kumchagua mtu ambaye haendi kujifunza kazi,au kujifunza mpangilio wa vyumba vya ikulu au ofisi zilizo chini ya ofisi ya Rais au kuanza kuunda taasisi mpya.tunakwenda kumpigia kura Rais Samia kwa kuwa tayari tumeona umahiri wake katika kuendesha ofisi ya Rais kwa manufaa na ustawi wa Taifa letu na watanzania wote kwa ujumla wake.
Ndio sababu ninasema ya kuwa RAIS Samia hana Mbadala wake wa kuweza kuvaa viatu vyake.Bali ni fursa ya viongozi wengine kuendelea kujifunza mambo mengi ya kiuongozi kutoka kwa Mama huyu ambaye ni kama maktaba ya uongozi. Ni fursa na nafasi ya wengine kukua na kukomaa kiuongozi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwa sasa ni lazima tukubaliane ya kuwa ni Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan pekee mwenye uwezo wa kuweza kutuvusha hadi 2030.Tanzania inaangamia hivihivi kwa watu kukosa maarifa, kweli watu over 60 milion akosekane mbadala? Dah vijana wenzangu tupanue akili na kuwaza kwani kina bila uchawa. JPM mlisema ivi ivi, so imekuwaje tuna raisi?
Hakuna tusi au matusi mapya hapa Duniani zaidi ya kurudia rudia tu yaleyale.bora nikae kimya maana ningetoa tusi ambalo hujawahi sikia toka umeingia duniani
Hakuna mwenye uwezo wa kushindana na Rais Samia.So what??π€£π€£π€£π π€£π π€£
Atashinda na njaa, kamwe hatashinda uchaguzi
Ndugu zangu Watanzania,
Katika uchaguzi wa hapo Mwakani ni vyema tukaendelea kukumbushana na kuelezana ukweli tu kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan jasiri muongoza njia, simba wa nyika,nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge hana Mbadala wake hakuna mwenye uwezo wa kuvaa viatu vyake.
Ni Mwaka wa uchaguzi lakini ni uchaguzi wa Mgombea Mmoja tu Mwenye sifa na uwezo wa kuliongoza Taifa letu Mheshimiwa Daktari Mama Samia.Ni uchaguzi wa kuliweka Taifa letu katika mikono ya mtu mwenye kuleta matumaini kwa mamilioni ya watanzania,kuwahakikishia watanzania nafasi ya kutimiza ndoto zao,kuwawezesha watanzania kufikia malengo yao na kuwainua watanzania kiuchumi.
Ni uchaguzi wa kumpitisha Rais Samia kuendeleza kazi nzuri aliyoianza ya kujenga uchumi shirikishi na wenye kugusa maisha ya watu wengi.ni uchaguzi wa kwenda kumchagua kiongozi ambaye tayari ameshaonyesha uwezo na nguvu ya kuliongoza Taifa letu katika nyakati ngumu zenye kuhitaji uimara,utulivu,maono,akili kubwa na uhodari wa kiuongozi kama alivyofanya Rais wetu Mama Samia kutuvusha katika kipindi kigumu cha Corona,mfumuko wa bei hasa mafuta ya petroli,dizeli na mbolea kuliko tokana na vita vya ukrein.
Ni uchaguzi wa kumchagua mtu ambaye haendi kujifunza kazi,au kujifunza mpangilio wa vyumba vya ikulu au ofisi zilizo chini ya ofisi ya Rais au kuanza kuunda taasisi mpya.tunakwenda kumpigia kura Rais Samia kwa kuwa tayari tumeona umahiri wake katika kuendesha ofisi ya Rais kwa manufaa na ustawi wa Taifa letu na watanzania wote kwa ujumla wake.
Ndio sababu ninasema ya kuwa RAIS Samia hana Mbadala wake wa kuweza kuvaa viatu vyake.Bali ni fursa ya viongozi wengine kuendelea kujifunza mambo mengi ya kiuongozi kutoka kwa Mama huyu ambaye ni kama maktaba ya uongozi. Ni fursa na nafasi ya wengine kukua na kukomaa kiuongozi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Njaa ya nini tena wakati mimi ni mkulnjaa itakuua mkuu unaimba koras hata kwenye beti
Kama alikuwa makamu miaka mitanok,akawa Rais Miaka mitano kasoro,time is out.Haiwezekani kabisa zaidi ya watu millioni 60, tukose mtanganyika wa kugombea urais 2025 kwa tiketi ya ccm . Kama ccm mkikosa mbadala , niteueni mimi nigombee kupeperusha bendera ya ccm kuwania urais 2025 . Niwaongoze kwenye nchi ya ahadi .
Wandali WANAFIKI sana,Hakuna mwenye uwezo wa kushindana na Rais Samia.
Rais WA kukodi kutoka Nchi jiraniNdugu zangu Watanzania,
Katika uchaguzi wa hapo Mwakani ni vyema tukaendelea kukumbushana na kuelezana ukweli tu kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan jasiri muongoza njia, simba wa nyika,nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge hana Mbadala wake hakuna mwenye uwezo wa kuvaa viatu vyake.
Ni Mwaka wa uchaguzi lakini ni uchaguzi wa Mgombea Mmoja tu Mwenye sifa na uwezo wa kuliongoza Taifa letu Mheshimiwa Daktari Mama Samia.Ni uchaguzi wa kuliweka Taifa letu katika mikono ya mtu mwenye kuleta matumaini kwa mamilioni ya watanzania,kuwahakikishia watanzania nafasi ya kutimiza ndoto zao,kuwawezesha watanzania kufikia malengo yao na kuwainua watanzania kiuchumi.
Ni uchaguzi wa kumpitisha Rais Samia kuendeleza kazi nzuri aliyoianza ya kujenga uchumi shirikishi na wenye kugusa maisha ya watu wengi.ni uchaguzi wa kwenda kumchagua kiongozi ambaye tayari ameshaonyesha uwezo na nguvu ya kuliongoza Taifa letu katika nyakati ngumu zenye kuhitaji uimara,utulivu,maono,akili kubwa na uhodari wa kiuongozi kama alivyofanya Rais wetu Mama Samia kutuvusha katika kipindi kigumu cha Corona,mfumuko wa bei hasa mafuta ya petroli,dizeli na mbolea kuliko tokana na vita vya ukrein.
Ni uchaguzi wa kumchagua mtu ambaye haendi kujifunza kazi,au kujifunza mpangilio wa vyumba vya ikulu au ofisi zilizo chini ya ofisi ya Rais au kuanza kuunda taasisi mpya.tunakwenda kumpigia kura Rais Samia kwa kuwa tayari tumeona umahiri wake katika kuendesha ofisi ya Rais kwa manufaa na ustawi wa Taifa letu na watanzania wote kwa ujumla wake.
Ndio sababu ninasema ya kuwa RAIS Samia hana Mbadala wake wa kuweza kuvaa viatu vyake.Bali ni fursa ya viongozi wengine kuendelea kujifunza mambo mengi ya kiuongozi kutoka kwa Mama huyu ambaye ni kama maktaba ya uongozi. Ni fursa na nafasi ya wengine kukua na kukomaa kiuongozi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Acha mawazo ya kikabila wewe.Wandali WANAFIKI sana,
Tanzania ni moja na watanzania ni wamoja.Rais WA kukodi kutoka Nchi jirani