Rais Samia hapa ulikosea kidogo na sijui ni nani alikujaza Upepo na ukalisema hili

Mimi sizungumzii kuhusu maandamano, bali nazungumzia kuhusu uhalisia wa mambo jinsi yalivyo.
Kumbuka: hata ndege anayotumia huyo mtu kusafiria kwenda katika nchi mbalimbali imetengenezwa na hao hao Watu anaowasema. Watch out!

Where is Iranian President Raisi?
Where is Vice President of Malawi Saulos Chilima?!?

Usipende kushindana na mabeberu, wana mbinu nyingi Sana.
Mabeberu muda wao umekwisha,ndiyo maana unaona hata kule West Africa wafaransa wanafukuzwa!!
 
Huyo mama anajua atakaa madarakani milele ,siku atakayoondoka akiwa hai au mfu watu watashangilia sana maana maisha yamekua magumu sana kwakweli na wanufaika wachache.

NB:Samia amewaangusha wanawake wote nchini na sidhani baada yake kama kuna mwanamke atapewa sapoti, Mabeyo uko alipo anang'ata meno kwa uchungu[emoji16][emoji16][emoji16]
Niambie wwe lini maisha yalikua raisi kwa kila mtanzania!? Kila utawala ukija kuna wengine watacheka na kuna wengine watalia,na kuna wengine watabaki kati kwa kati, kwenye kulia hawapo na kwenye kucheka hawapo pia!!
 
Kauli yako kuwa Balozi za Kigeni ambazo zilikemea na kutaka Uchunguzi wa Kifo cha Mzee Kibao (ukiilenga hasa Marekani) kuwa zilifanya hivyo bila ya Baraka za Marais wao umeikosea mno Kuisema.

Na ukaenda mbali zaidi kusema kuwa kama kungekuwa na baya basi hao Marais wenye Uwakilishi wao kupitia Balozi zao nchini Tanzania wao wenyewe wangekupigiia.

Yaani Rais Samia pamoja na Urais wako wote huo na hao Wasaidizi wako hujui kuwa Sauti ya Balozi mwakilishi wa nchi ni Sauti ya Rais wa hiyo nchi husika?

Kiufupi ni kwamba huna Watu wazuri wa Masuala ya Kidiplomasia kwani kama ungekuwa nao nina uhakika wasingekuruhusu Kukizungumza hiki Kituko ulichokizungumza leo.

Namalizia kwa Kukushauri tu kwamba ukitaka haya Mataifa ya Kigeni yaache ulichokimaanisha kuwa ni Kihehere chao kwa Kukemea matukio mabaya ya Utekaji na Mauwaji basi nawe hakikisha unaongoza vyema na Kuchukua hatua stahiki kwa haraka.

Na ni matumaini yangu makubwa GENTAMYCINE kuwa baada ya leo Kukerwa nao (haya Mataifa makubwa ukiilenga Marekani) kwa Kukemea matukio mabaya nchini basi hata Wewe (kama Rais) hutotembeza tena Bakuli Kwao kuwaomba Misaada mbalimbali kwakuwa kwa sasa Tanzania ilipofikia chini yako ina uwezo wa Kujitegemea yenyewe Kiuchumi, Kisiasa, Kijamii na tayari imeshaifikia Marekani kwa kila Kitu.

Soma Pia: Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu
Tatizo elimu,elimu elimu eilimu.
 
😂😂 Rais Samia anaenda kuwachongea mabalozi wa Marekani,Canada na Umoja wa Ulaya kwa Marais wao watumbuliwe.🤣🤣
Aliyemuandika hii hotuba "labda" kavuta sigara kubwa.
 
Ujumbe gani kwamba samia apigiwe simu na joe biden juu ya utekaji 😀😀😀😀 hapa mama sijui aliwazaje wazaje hapa
Ndio kwani waliojisemesha na kutoa matamko mkidai ni misimamo ya Marais wao Kwa nini hawakupiga simu?

Mbona Huwa wanapiga? Mwisho watachagua kati ya maslahi ya kiuchumi au kusimama na vibaraka wao ambapo hamtapewa nafasi
 
Uzuri mzungu ana huruma, hawezi kata misaada kisa hiyo kauli moja tu.
Na wanajua maza hana mshipa wa kubishana nao.

Labda hata hilo alilosema lina baraka zao.
 
Rais hawezi kuwa neutral mzee. Hilo ukilielewa hata hutapata stress. Consequence ya hiki alichokiongea utaona hata mabalozi walioguswa muda si mrefu wataondoshwa na nchi zao. Wazungu pia sio wajinga kihivyo kama unavyofikiri.

Mark my words time will tell. Kabla ya uchaguzi kuna mabalozi hawatakuwepo hapa ndani.
Wana kausemi kao pendwa kuwaelekeza raia wao waliopo na wanao tarajia kuja nchini ambako ni "Safety alert", yaani kuchukua tahadhari za kiusalama
 
Kwanza hata sijakaelewa kabisa namna kalivyokuwa kanaongea,eti kwa kofia ya amri jeshi mkuu sjui utopolo nn nin huko,sijui kufa watu kwa kutekwa ni kawaida yaan hotuba ya kijinga kabisa

Eti hatujawah kuwafundsha wao namna ya kuongoza kwann watuseme sisi wakat nchi zao zinamauaji pia,kameshasahau pia kwamba huwa kanaenda kuomba omba huko kwa wakubwa kukopa lakin wao hawajawah kuja kukopa hapa
Sure..hotuba ilikuwa chini ya KIWANGO
 
Tuko kwenye competition ya mauaji nimecheka ame comment mtu mahali.Leo Mama umekuwa mkali afadhali aisee wasikuchezee hata kidogo ila angalia wawekezaji wameanza kuogopa kwa kuwa hawajui watafuata wao na hakuna kitafanyika zaidi ya kusema wame kufa kama wengine ushauri tu
Wawekezaji na wanasiasa wapi na wapi na lini uliongea na mwekezaji hata mmoja alikwambia kwamba kaanza kuogopa?
 
Kauli yako kuwa Balozi za Kigeni ambazo zilikemea na kutaka Uchunguzi wa Kifo cha Mzee Kibao (ukiilenga hasa Marekani) kuwa zilifanya hivyo bila ya Baraka za Marais wao umeikosea mno Kuisema.

Na ukaenda mbali zaidi kusema kuwa kama kungekuwa na baya basi hao Marais wenye Uwakilishi wao kupitia Balozi zao nchini Tanzania wao wenyewe wangekupigiia.

Yaani Rais Samia pamoja na Urais wako wote huo na hao Wasaidizi wako hujui kuwa Sauti ya Balozi mwakilishi wa nchi ni Sauti ya Rais wa hiyo nchi husika?

Kiufupi ni kwamba huna Watu wazuri wa Masuala ya Kidiplomasia kwani kama ungekuwa nao nina uhakika wasingekuruhusu Kukizungumza hiki Kituko ulichokizungumza leo.

Namalizia kwa Kukushauri tu kwamba ukitaka haya Mataifa ya Kigeni yaache ulichokimaanisha kuwa ni Kihehere chao kwa Kukemea matukio mabaya ya Utekaji na Mauwaji basi nawe hakikisha unaongoza vyema na Kuchukua hatua stahiki kwa haraka.

Na ni matumaini yangu makubwa GENTAMYCINE kuwa baada ya leo Kukerwa nao (haya Mataifa makubwa ukiilenga Marekani) kwa Kukemea matukio mabaya nchini basi hata Wewe (kama Rais) hutotembeza tena Bakuli Kwao kuwaomba Misaada mbalimbali kwakuwa kwa sasa Tanzania ilipofikia chini yako ina uwezo wa Kujitegemea yenyewe Kiuchumi, Kisiasa, Kijamii na tayari imeshaifikia Marekani kwa kila Kitu.

Soma Pia: Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu
Toka ujiunge jf ni mara yangu ya kwanza kukuona umeanzisha Uzi ukiwa short and clear kabisa
 
Huyo mama nina uhakika hajui sabotage anayofanyiwa kuanzia kwenye vyombo vya dola mpaka anayemuandikia speech.

Kuna mtu nilibishana naye sana aliponiambia huyo mama 2025 hawezi kugombea kuna mgombea mwingine sikuamini sasa ndio nimeanza kuelewa chase inavyochezwa.

Halafu Kassim Majaliwa mapema ameshatangaza anagombea ubunge kwao.

Ni muda wa kuliombea Taifa, kuna giza nene limetanda.
 
Yeye anafikiri anavyofanya kazi sawa na mataifa mengine. Yaani umpigie simu Rais y ku-check kama alimtuma balozi x wa nchi yake, sidhani kama ni sahihi!
Balozi anawakilisha Taifa lake, kauli ya balozi ndio kauli ya nchi na siyo kauli tu ni official statement.

Huyu mama level yake labda ni Urais wa Zanzibar, Watanganyika tupunguze uchawa kisa mtu yupo kwenye system tumbo lake linashiba, huyu ni Rais wa mpito amalize muda wake akae pembeni hili jahazi ni over size kwake.

Tuache uchawa tusimame kwa maslahi ya Taifa, hata kama Rais atoke ccm lakini siyo huyu.
 
Back
Top Bottom