Rais Samia hapa ulikosea kidogo na sijui ni nani alikujaza Upepo na ukalisema hili

Rais Samia hapa ulikosea kidogo na sijui ni nani alikujaza Upepo na ukalisema hili

Wasiojulikana wapo Hadi USA na watu wanaendelea kuwekeza basi wewe lala tu nyumbani
Kwani wewe mwenzetu unaishi USA hee na unahqbari zao duu mimi niko hapa manzese darajani naji compare na buguruni ujue maana ndio naeneo yetu wawekezaji na walipa kodi wa Tz mwenzetu una habari za majuu wakati Kimbao RIP alichukuliwa Tegeta kwa mabasi yetu ya kawaida sasa hivi tunapaa kwa ungo watufate jujuuu
 
Kwani wewe mwenzetu unaishi USA hee na unahqbari zao duu mimi niko hapa manzese darajani naji compare na buguruni ujue maana ndio naeneo yetu wawekezaji na walipa kodi wa Tz mwenzetu una habari za majuu wakati Kimbao RIP alichukuliwa Tegeta kwa mabasi yetu ya kawaida sasa hivi tunapaa kwa ungo watufate jujuuu
Dunia Kijiji
 
Indication ya kwamba hili taifa ni mfu ni hiyo hotuba ya kipumbavu ya huyo Samia , hii hotuba ni garbage kabisa ,nakuthibitisha jinsi haya majitu yalivyo " bogus " yaani Rais anasimama na kutamka " mauaji yanatokea dunia nzima " how stupid this is ?
Yaani analinganisha mauaji ya raia mwendawazimu mwenye matatizo ya akili kule Marekani kwenda kushoot watu hovyo mitaani na huu ugaidi wa utekaji na mauaji unaofadhiliwa na kuratibiwa na regime ya ccm na vyombo vya dola ,hivi haya majitu huwa yanadhani hii nchi watu wote tuna mtindio wa ubongo au sio ?
Kwamba leo thamani ya maisha ya mtanzania ni useless Tu mpaka tunawekewa benchmark kwamba na wengine wanauawa huko so maisha yetu ni takataka tu na raia wa hii nchi hasa upinzani maisha yao yanaweza kuwa disposed kama tunavyotupa takataka tu huku mitaani ?

Kuna umuhimu wa kupima IQ za hawa wapumbavu kabla ya kupewa uongozi , si kila mtu anafaa kuwa kiongozi ,
 
Whether yuko sahihi au hayuko sahihi, Rais wa Nchi anatakiwa kuzungumza yale anayoyaamini hadharani. Na ndiyo maana SSH ni Rais wa JMT.

Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hasemi anayoyaamini wala kuonesha msimamo wake wazi juu ya yale anayoyaamini kwenye kuongoza nchi yake. JPM allifanya, BWM alifanya, JK alifanya na wengine. Kwa kuzungumza leo amefanya jambo la maana japo wahafidhina na wapinzani wake watamkosoa kwenye yale aliyosema lakini muhimu amesema na hakuna mtu angemsaidia kusema.

That is the President we need.
USA na EU wanaongelea mauaji na utekaji wa watu. Hapo shida iko wapi hadi uje useme hutaki kuelekezwa namna ya kuongoza nchi yako?
 
Yote 9/10 lakini tuache kuuana kisa madaraka. Kumbuka tunatengeneza visasi vitakavyodumu vizazi na vizazi.
Mungu Ibariki Tanzania.
 
USA na EU wanaongelea mauaji na utekaji wa watu. Hapo shida iko wapi hadi uje useme hutaki kuelekezwa namna ya kuongoza nchi yako?
1. Umepata wasaa wa kuipitia taarifa kwa uma ya ubalozi wa Marekani? Pata muda uipitie hasa mistari miwili ya mwanzo.

2. Hakuna Raia wa nchi hizo aliyeathirika. Haikuwa smart kutoa press kuhusu mambo yahusuyo nchi zingine.

3. Kwanini hawakutoa tahadhari kwa Raia wao tu kama kweli hali ya usalama ni mbaya nchini?

4. Kwanini wahusianishe na uchaguzi?

5. Maswali mi mengi kuliko majibu, ndiyo maana alikuwa na guts za kupeleka huo moto.

6. Kuna balozi kama 10 zimeungana kutoa tamko moja, Je huo ndio utaratibu????

7. Taratibu za mawasiliano kibalozi ziko wazi na nini wanatakiwa kufanya nchini. Zingine ni drama ambazo nadhani hazikubaliki. Ndiyo maana hujaona balozi za nchi nyingi tu kutoa hayo matamko. Wasimchukulie poa Rais.
 
Kwanza hata sijakaelewa kabisa namna kalivyokuwa kanaongea,eti kwa kofia ya amri jeshi mkuu sjui utopolo nn nin huko,sijui kufa watu kwa kutekwa ni kawaida yaan hotuba ya kijinga kabisa

Eti hatujawah kuwafundsha wao namna ya kuongoza kwann watuseme sisi wakat nchi zao zinamauaji pia,kameshasahau pia kwamba huwa kanaenda kuomba omba huko kwa wakubwa kukopa lakin wao hawajawah kuja kukopa hapa
,🤔Makubwaaa....madogo yana nafuu.....kalikoroga...kashalewa madaraka...na ubavu hana.....,🤭😠😭
 
Lakini haibadirishi kitu kuwa bimkubwa ni kihiyo ndo maana kaingizwa king na wabaya wake Kwa kuandikiwa speech mbovu
Toka ananza Uongozi mlikuwa mnajiswnesha upuuzi wenu huu huu mara rimoti Iko msoga mara sijui nani ,stupidity Mwanzo mwisho.😁😁

Narudia tena Kuna shida gani mkishugjulikiwa na maendeleo ya viwanda yanazidi kumiminika na ambayo hayakuwepo kabla kama hivi? 👇👇

View: https://x.com/InvestTanzania/status/1836480869386850778?t=zHt6i39K69U8wsSlEwSGNg&s=19
 
Namalizia kwa Kukushauri tu kwamba ukitaka haya Mataifa ya Kigeni yaache ulichokimaanisha kuwa ni Kihehere chao kwa Kukemea matukio mabaya ya Utekaji na Mauwaji basi nawe hakikisha unaongoza vyema na Kuchukua hatua stahiki kwa haraka.
Kwani hao wasaidizi ndio walimtuma kuongea? Wasaidizi mnawaone sometimes.
 
Msimtishe Bi. Mkubwa.

Tanzania is a sovereign state.

Tuna kila haki ya kufanya mambo yetu bila kuingiliwa.

Hata hivyo bado tuna mahusiano mazuri na marekani, jumuiya ya ulaya , uchina na nchi nyingine za kiafrika.

Sioni ubaya wowote Madam akiwakumbusha kuwa this is a sovereign state.
Sovereign kama sovereign.......kwenye mambo ya hovyo utawasikia.....we are sovereign😂😂😂
 
Kauli yako kuwa Balozi za Kigeni ambazo zilikemea na kutaka Uchunguzi wa Kifo cha Mzee Kibao (ukiilenga hasa Marekani) kuwa zilifanya hivyo bila ya Baraka za Marais wao umeikosea mno Kuisema.

Na ukaenda mbali zaidi kusema kuwa kama kungekuwa na baya basi hao Marais wenye Uwakilishi wao kupitia Balozi zao nchini Tanzania wao wenyewe wangekupigiia.

Yaani Rais Samia pamoja na Urais wako wote huo na hao Wasaidizi wako hujui kuwa Sauti ya Balozi mwakilishi wa nchi ni Sauti ya Rais wa hiyo nchi husika?

Kiufupi ni kwamba huna Watu wazuri wa Masuala ya Kidiplomasia kwani kama ungekuwa nao nina uhakika wasingekuruhusu Kukizungumza hiki Kituko ulichokizungumza leo.

Namalizia kwa Kukushauri tu kwamba ukitaka haya Mataifa ya Kigeni yaache ulichokimaanisha kuwa ni Kihehere chao kwa Kukemea matukio mabaya ya Utekaji na Mauwaji basi nawe hakikisha unaongoza vyema na Kuchukua hatua stahiki kwa haraka.

Na ni matumaini yangu makubwa GENTAMYCINE kuwa baada ya leo Kukerwa nao (haya Mataifa makubwa ukiilenga Marekani) kwa Kukemea matukio mabaya nchini basi hata Wewe (kama Rais) hutotembeza tena Bakuli Kwao kuwaomba Misaada mbalimbali kwakuwa kwa sasa Tanzania ilipofikia chini yako ina uwezo wa Kujitegemea yenyewe Kiuchumi, Kisiasa, Kijamii na tayari imeshaifikia Marekani kwa kila Kitu.

Soma Pia: Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu
Hatuna Rais, ni chura kiziwi. (Kwa maneno yake)

Hata mimi std 7 ya enzi za Nyerere nisingejibu vile.

Ila tusisahau ana D 3 tu za form four.
 
Mh Rais alikuwa sahihi kabisa. Enzi za kuamrishwa na balozi wa nchi what to do on our internal affairs zimeshapita. Mambo yanayotokea nchini kwetu, nchi huru, is none of their damn business.
Kama Rais alivyosema, kuna channels za kuwasililisha ujumbe kwa nchi kutoka nchi nyingine, zinafuata protocol za kimataifa, siyo balozi tu anaamka anaanza kuwaambia lazima hiki au kile kifanyike kwa kutumia press conferences. Huo ni UKOLONI MAMBOLEO. Hakuna anayependa imperialism.
 
Mh Rais alikuwa sahihi kabisa. Enzi za kuamrishwa na balozi wa nchi what to do on our internal affairs zimeshapita. Mambo yanayotokea nchini kwetu, nchi huru, is non of their damn business.
Kama Rais alivyosema, kuna channels za kuwasililisha ujumbe kwa nchi kutoka nchi nyingine, zinafuata protocol za kimataifa, siyo balozi tu anaamka anaanza kuwaambia lazima hiki au kile kifanyike kwa kutumia press conferences. Huo ni UKOLONI MAMBOLEO. Hakuna anayependa imperialism.
Kwenye mambo maovu tu ndio huwa mnajua kama nchi haiingiliwi? Mbona yale mambo mengine mnawapigia magoti?
 
Back
Top Bottom