Pre GE2025 Rais Samia hapaswi kugombea 2025 akigombea tumkatae

Pre GE2025 Rais Samia hapaswi kugombea 2025 akigombea tumkatae

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Alishasema hatogombea , Gazeti la Uhuru liliandika , sasa kwanini mnamlisha maneno ?

photo_2021-08-11_09-06-26.jpg
 
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025.

Hana sifa.

Hana uwezo.

Ni mbaguzi.

Hatufai.

Akigombea 2025.

Hakuna wa kumkataza 2030.

Tumkatae na mambo yake yote.

Anaweza awe na mapungufu yake hasa ya kuwaamini wasaidizi wske ambao mostly wanafeli, lakn ni one of the best president tanzania tulishwahi.kuwa nao. Kama ni ubaguzi kwa jnamna unavyo sema basi hamfikii magu hata tone.

Ila kwa nnavyokujua ww na ulipo, hii ujumbe una nia ya kuwanasa watu ujue fikra zao
 
Sijawahi kuona uongozi wa hovyo kama huu.

Uongozi ambao hauna viwango kabisa.
 
Sasa agombee nani? January au Mwigulu?
Hakika CCM n sikio la kufa.
 
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025.

Hana sifa.

Hana uwezo.

Ni mbaguzi.

Hatufai.

Akigombea 2025.

Hakuna wa kumkataza 2030.

Tumkatae na mambo yake yote.
Ahsante kwa ushauri ila pole kwani sisi tunae hadi 2030. Nashauri anzia nfazi ya familia kwanza labda litafanikiwa mdogo mdogo lengo.
 
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025.

Hana sifa.

Hana uwezo.

Ni mbaguzi.

Hatufai.

Akigombea 20 Uchwara 25.

Hakuna wa kumkataza 2030.

Tumkatae na mambo yake yote.
Hapo kwenye ubaguzi fafanua kidogo, nahisi unakereka hateui kama hayati Uchwara
 
Viwango unavipimaje?

Ila wewe endelea na phishing utamnasa unaye mkusudia
Unabishana na Mlinzi wa Legacy ambae angependa kuona JPM anaendelea kuwa madarakani hata kwa miaka 100 ijayo bila kufahamu kwamba kwa sasa haiwezekani na kilichobaki ni ku-move on. Hao ni wale ambae hata SSH amekuwa akiwapa vijembe kwamba walikuwa wanasubiri projects alizoanzisha JPM zikwame ili wapate kusema "tuliwaambia, baada ya Mwamba kututoka kila kitu kingekufa". Kwa bahati mbaya, haipo hivyo.
 
Nchi inaongozaa na familia ya

1. JK

2. Mwinyi

3. Saa100

4. Mhagama

5. Makamba

6. Nape

7. Kinana

Hii ndio CCM! Wengine wote walio Baki ni wachumia tumbo.

WANAKOTUPELEKA WAO NDIO WANAOJUA.
 
Back
Top Bottom