Pre GE2025 Rais Samia hapaswi kugombea 2025 akigombea tumkatae

Pre GE2025 Rais Samia hapaswi kugombea 2025 akigombea tumkatae

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Atagombeaa na atapita kwa kishindoo kikuu huku wewe na michuki yako binafsi ukishuhudia Mheshimiwa Rais wetu akiapishwa kuliongoza Taifa letu kwa awamu ya pili.

Fomu ya Urais ndani ya CCM Ni moja tu kwa ajili yake mama yetu Rais Samia.
Kwa Awamu ya kwanza awamu hii alikua anammalizia Magu awamu yake INAANZA 2025
 
Mi naona Samia kabalance maana sidhani kama watampa Majaliwa ambaye kwangu naona kama anafit ila hawawezi mpitisha, Mwingine ni Mwinyi ila anaonekana kama vile wasaidizi watamuendesha sana sababu ya upole tofauti na hapo sioni mtu wa kuuongoza Tz kwa sasa...hayupo na sio kwamba namuelewa Samia no ila ukweli ndio huu
 
Unataka asigombee, chawa wakale wapi?
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025.

Hana sifa.

Hana uwezo.

Ni mbaguzi.

Hatufai.

Akigombea 2025.

Hakuna wa kumkataza 2030.

Tumkatae na mambo yake yote.
 
Mi naona Samia kabalance maana sidhani kama watampa Majaliwa ambaye kwangu naona kama anafit ila hawawezi mpitisha, Mwingine ni Mwinyi ila anaonekana kama vile wasaidizi watamuendesha sana sababu ya upole tofauti na hapo sioni mtu wa kuuongoza Tz kwa sasa...hayupo na sio kwamba namuelewa Samia no ila ukweli ndio huu
Acha matusi na kutudhalilisha, yani katika Watanzania million 60 wanakosekana watu hata watano wa kuiongoza nchi hii??
 
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025.

Hana sifa.

Hana uwezo.

Ni mbaguzi.

Hatufai.

Akigombea 2025.

Hakuna wa kumkataza 2030.

Tumkatae na mambo yake yote.
Tangu lini mwanamke akawa na akili ?!
Tangu lin mwanamke akawa na maono ?
Tangu lini mwanamke awe na tafakuri ?! Hata yeye mwenyewe alishasema hawezi kutekeleza ubunifu na ufuatiliaji kama Magu.

Hawa wao ni kutenda mambo kwa hisia tu, hakuna matumizi ya akili na hoja, hakuna maono wala ubunifu nadhani nyie wenyewe mnajionea hali halisi. By the way sukari huku Kibati imefika Tsh. 5,200
 
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025.

Hana sifa.

Hana uwezo.

Ni mbaguzi.

Hatufai.

Akigombea 2025.

Hakuna wa kumkataza 2030.

Tumkatae na mambo yake yote.

Unadhani nani atafaa pale CCM zaidi yake?
 
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025.

Hana sifa.

Hana uwezo.

Ni mbaguzi.

Hatufai.

Akigombea 2025.

Hakuna wa kumkataza 2030.

Tumkatae na mambo yake yote.
Umkatae wewe na familia yako. Sisi ndiye Raisbl wetu hadi 2030
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Anaweza awe na mapungufu yake hasa ya kuwaamini wasaidizi wske ambao mostly wanafeli, lakn ni one of the best president tanzania tulishwahi.kuwa nao. Kama ni ubaguzi kwa jnamna unavyo sema basi hamfikii magu hata tone.

Ila kwa nnavyokujua ww na ulipo, hii ujumbe una nia ya kuwanasa watu ujue fikra zao
Kwenye ubaguzi hapo umeongea
 
Alishasema hatogombea , Gazeti la Uhuri liliandika , sasa kwanini mnamlisha maneno ?
unazungumzia the King, chairman Taifa, mwamba wa kaskazini?🤣

hawezi achie puppet chama yule kijana wa town 🐒
 
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025.

Hana sifa.

Hana uwezo.

Ni mbaguzi.

Hatufai.

Akigombea 2025.

Hakuna wa kumkataza 2030.

Tumkatae na mambo yake yote.
mbona huna hoja sasa 🤣
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025.

Hana sifa.

Hana uwezo.

Ni mbaguzi.

Hatufai.

Akigombea 2025.

Hakuna wa kumkataza 2030.

Tumkatae na mambo yake yote.
Ni kweli hana sifa lakini ndani ya ccm wote ni wale wale tu
 
Back
Top Bottom