Pre GE2025 Rais Samia hapaswi kugombea 2025 akigombea tumkatae

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwanini sasa na wewe?
kwasababu ukweli ni kwamba wanawake hamkuumbwa kua viongozi hamna ubunifu, ujasiri, hulka wala uwezo wa kusimamia na kufuatilia mikakati kufikia malengo. Hata tubishane mwaka mzima swala hili liko bayana kabisa.

Rejea hata yeye mama yenu May 2022 alisema hana uwezo wa kusimamia na kufuatilia kama alivyokua Magu. Mwanamke amepewa heshima kubwa na Mungu kua mlezi ila maharakati yenu (ya kijinga) yanawadanganya ati mnaweza kutenda kama wanaume (ili hali ukweli uko wazi, wanawake ni viumbe dhaifu sio tu physically hata mentally na emotionally)

Mnadanganywa kua madumejike ati mnaweza majukumu ya kiume, na hata mkishakua madume jike mnagundua hata haiwapi amani na furaha. Tazama mitaani wanawake wenye mavyeo na manyadhifa ila usoni hawana furaha ni kama walking zombies, ule utamu wa mwanamke umepotea.

Unakuta janamke hata ukilitomasa halisisimki ule uanamke umeshatoweka yani ni lidume kama Hamisi ila tu lina kum.a yote inaletwa na kudandia majukumu ya kiume ambayo kimsingi ni very energy draining and competitive.
 
Subri mwaka huu tunamkaribisha Samia kugombea mwakani kwa kuhakikisha vijj na mitaa yote ipo CCM, mwakani ni kuteremka tu na DR SSH
 
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025.

Hana sifa.

Hana uwezo.

Ni mbaguzi.

Hatufai.

Akigombea 2025.

Hakuna wa kumkataza 2030.

Tumkatae na mambo yake yote.
Crap 💩
 
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025.

Hana sifa.

Hana uwezo.

Ni mbaguzi.

Hatufai.

Akigombea 2025.

Hakuna wa kumkataza 2030.

Tumkatae na mambo yake yote.

Kijani wanajua kuwa watashinda mana kutumia dola na wizi wa kura ndio ushindi wao,ndio mana wanaleta wagombe dhaifu kama sa100.
 
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025.

Hana sifa.

Hana uwezo.

Ni mbaguzi.

Hatufai.

Akigombea 2025.

Hakuna wa kumkataza 2030.

Tumkatae na mambo yake yote.
Kama humtaki hama chama
 
Acheni porojo wasaidizi wake wanapokosea mnataka alaumiwe Nani kama si yeye aliewateua,watanzania muwe na uchungu na hii nchi Aya mambo ya kusifia mkisibiria teuzi Ni wapuuzi ndio wanatakiwa kufanya tuache ushabiki na kujipendekeza hii nchi tunaipeleka kubaya Mambo mengi yamesimama maji umeme bei za vyakula mafuta alafu watu mnaleta uchawa huu ni ujinga mkubwa
 
Yaani mwinyi atawale Zanzibar na JMT?
 
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025.

Hana sifa.

Hana uwezo.

Ni mbaguzi.

Hatufai.

Akigombea 2025.

Hakuna wa kumkataza 2030.

Tumkatae na mambo yake yote.
Mumkatae wewe na nani?

Uwezo wake unaupimaje?

Thibitisha madai Yako.

Mwisho Samia ni Rais wako Hadi 2030,tafuta kazi ya kufanya mapema hii imebuma.
 
Reactions: Tui
Majaliwa wako ana fit Kwa lipi hasa la kumzidi Sa100?

Huyo ni chawa tuu kama chawa Wengine na hawezi thubutu hata saizi anabebwa tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…