Pre GE2025 Rais Samia hapaswi kugombea 2025 akigombea tumkatae

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe ni mpumhavu kabisa ambaye kwa bahati nzuri ulizaliwa na mwanaume tu.
 
Reactions: Tui
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025.

Hana sifa.

Hana uwezo.

Ni mbaguzi.

Hatufai.

Akigombea 2025.

Hakuna wa kumkataza 2030.

Tumkatae na mambo yake yote.
Hata weye unaaanza kumkunia kunguni mwenyekiti
 
Asante kwa kushiriki kapumzike kizimkazi.
 
Samia is good but not best President. Nafikiri umeandika kwa kumlinganisha na yule mtangulizi wake. Ameshindwa kuonyesha msimamo kwa kile anachokiamini kama Rais, anayumba kwa kufuata sauti za pembeni.

Hii ya kugombea hata kama yeye hana hiyo nia, sauti za pembeni zitambadilishia uelekeo.
 
Wengine hatukuliona hiyo nakala ya gazeti.itapendeza kama ukiipata hiyo nakala ya gazeti tuwe na uhakika kwa kauli yake
 
Msemaji wa CCM kasema mbinguni wamemchukulia fomu ya urais.
Waalimu walishachanga hela za kulipia fomu na kazipokea.
Sasa unafata maneno au matendo?
Mueleze huyo mvimba macho.Na kwanini wana wasiwasi sana kwa President Samia kugombea 2025?Jibu ni kwamba wanajua hawana lao.
 
Mbona yuko vizuri rais.
Kama unaikubali ccm iweje usimkubali mwenyekiti wake.
Si anaongoza Kwa kufata Katiba.
Hayo maneno kayaongelee kwenye vikao vyenu vya ccm huko.
 
Hata mimi naona shida ni wasaidizi wake,achekeche kidogo...
 
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025.

Hana sifa.

Hana uwezo.

Ni mbaguzi.

Hatufai.

Akigombea 2025.

Hakuna wa kumkataza 2030.

Tumkatae na mambo yake yote.
Nguvu kubwa inatumika kupitia vyombo vya habari na social networks kwa sbb wanajua hakubaliki ,kila kona anasifiwa na machawa ili achaguliwe 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…