Rais Samia hapaswi kuitwa Daktari

Rais Samia hapaswi kuitwa Daktari

Wazungu hawana wenge na hizo title iwe ni kwenye vyuo vikuu au kwenye siasa, wanapenda waitwe kwa majina yao ya awali bila hizo title......nafikiri ni kujaribu kuondoa matabaka kwenye jamii, ndo maana ukiwa majuu ni vigumu kutambua msomi ni yupi, tajiri ni yupi, ni kama wote wako kwenye hadhi sawa kimaisha.
 
Kuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.

Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba.

Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea huo Udaktari darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli au Dr. Tulia.

Mtu aliyetunukiwa Udaktari wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita Daktari. Udaktari wake unabaki kuwa wa heshima na sio Udaktari wa Title. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.

Samia hapaswi kuitwa Dr. SAMIA kwa sababu hakusomea Udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.

Hili swala lazima litangazwe watu waelewe ili kuepusha matapeli.

Tutakuja kupigishwa gia za mwendokasi mpaka tuombe poo. Dr. Manyaunyau, Dr. Masantula.

Elimu izingatiwe!
Magufuli we ulisoma naye PhD? We bwege kweli, unajua kilichomwua Ben Saanane? Bora Samia anatunukiwa na vyuo vinavyotambulika, tena hadharani bila kificho. Tuambie huyo mfu wako alitunukiwa lini, we ulihudhuria akitunukiwa? Samia ana masters kutoka mojawapo ya chuo kikuu bora duniani "Manchester University" umesikia we bwege? Anayetoa degree yoyote ni chuo baada ya kuona umekamilisha vigezo. Hiyo chuki na wivu havitakuacha salama
 
Tanzania na Watanzania kwasasa hakuna Rais hapa. Kama atagombea huyu mkataeni kwa nguvu zote kwa faida ya kesho yetu
 
Magufuli we ulisoma naye PhD? We bwege kweli, unajua kilichomwua Ben Saanane? Bora Samia anatunukiwa na vyuo vinavyotambulika, tena hadharani bila kificho. Tuambie huyo mfu wako alitunukiwa lini, we ulihudhuria akitunukiwa? Samia ana masters kutoka mojawapo ya chuo kikuu bora duniani "Manchester University" umesikia we bwege? Anayetoa degree yoyote ni chuo baada ya kuona umekamilisha vigezo. Hiyo chuki na wivu havitakuacha salama
Samia kaishia FOM FOO.

Zenji.
 
Kuna hatari kubwa sana kwako ya kukumbwa na yaliyomkumba Ben Saanane.
Kumbuka; aliyekufa ni Mwendazake peke yake, wale watu wote aliokuwa akiwatumia kwenye missions zake za kuteka watu, kuwekea watu sumu, kutesa watu au hata kuwaua kikatili na kisha kutupa maiti zao zikiwa kwenye viroba, wote bado wapo hai. Na mbaya zaidi sasa hivi wamejitungia Sheria yao ili wasiweze kushitakiwa Mahakani kuhusiana na makosa yao yote ya jinai ambayo watatenda. Be Very Careful my dear, "Noah Nyeusi" hazitakauka nyumbani kwako na kazini kwako.
"....wale watu wote aliokuwa akiwatumia kwenye missions zake za kuteka watu, kuwekea watu sumu, kutesa watu au hata kuwaua kikatili na kisha kutupa maiti zao zikiwa kwenye viroba, wote bado wapo hai".
Hiyo sentesi niliyonukuu si sahihi sana.
Nina ushahidi wa watu watatu katika ya hawa watu uliowazungumzia kuwa nao walishaenda zao.
 
Kuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.

Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba.

Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea huo Udaktari darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli au Dr. Tulia.

Mtu aliyetunukiwa Udaktari wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita Daktari. Udaktari wake unabaki kuwa wa heshima na sio Udaktari wa Title. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.

Samia hapaswi kuitwa Dr. SAMIA kwa sababu hakusomea Udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.

Hili swala lazima litangazwe watu waelewe ili kuepusha matapeli.

Tutakuja kupigishwa gia za mwendokasi mpaka tuombe poo. Dr. Manyaunyau, Dr. Masantula.

Elimu izingatiwe!
Daktari mwenye vyeti vya kuunga unga daktari hata ishu ndogo ya mafuta na umeme vimemshinda labda dokta wa kienyeji.....By the way ndo mama yenu huyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa,basi bwanako ndio tutamuita dokta
 
Daktari mwenye vyeti vya kuunga unga daktari hata ishu ndogo ya mafuta na umeme vimemshinda labda dokta wa kienyeji.....By the way ndo mama yenu huyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acheni chuki nyie wala nguruwe
 
Back
Top Bottom