Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Tena Ph.D za vyuo vikubwa kabisa dunianiNyerere alipata PhD kadhaa lakini hakuwa akiitwa Dakta...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena Ph.D za vyuo vikubwa kabisa dunianiNyerere alipata PhD kadhaa lakini hakuwa akiitwa Dakta...
Ulishawahi ona binadamu anaelewana na mbuzi?Hapa hamtaelewana na Lucas mwashambwa na FaizaFoxy
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dr wa kurem ua macho na kupaka ripstick
Mkuu, ukiangalia wakuu wa mihimili mingine, yaani mahakama na bunge, wote wana sifa hizo za "academic titles". Makamu wake wa urais ana hizo pia. Akiwa kama mwanasiasa na kiongozi wa nchi, ikiwamo nguvu ya uongozi ndani ya mihimili hiyo pia (mhimili uliojichimbia), lazima itafutwe namna yoyote iliyokuwa rafiki ya.kumfanya naye anukie waridi pia, kwa kuwa amezungukwa miuwaridi.Kuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.
Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba.
Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea huo Udaktari darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli au Dr. Tulia.
Mtu aliyetunukiwa Udaktari wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita Daktari. Udaktari wake unabaki kuwa wa heshima na sio Udaktari wa Title. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.
Samia hapaswi kuitwa Dr. SAMIA kwa sababu hakusomea Udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.
Hili swala lazima litangazwe watu waelewe ili kuepusha matapeli.
Tutakuja kupigishwa gia za mwendokasi mpaka tuombe poo. Dr. Manyaunyau, Dr. Masantula.
Elimu izingatiwe!
Ushauri wa bure kabisa aiseeKuna hatari kubwa sana kwako ya kukumbwa na yaliyomkumba Ben Saanane.
Kumbuka; aliyekufa ni Mwendazake peke yake, wale watu wote aliokuwa akiwatumia kwenye missions zake za kuteka watu, kuwekea watu sumu, kutesa watu au hata kuwaua kikatili na kisha kutupa maiti zao zikiwa kwenye viroba, wote bado wapo hai. Na mbaya zaidi sasa hivi wamejitungia Sheria yao ili wasiweze kushitakiwa Mahakani kuhusiana na makosa yao yote ya jinai ambayo watatenda. Be Very Careful my dear, "Noah Nyeusi" hazitakauka nyumbani kwako na kazini kwako.
Samia ana masters? Hebu lete humu CV zakeMagufuli we ulisoma naye PhD? We bwege kweli, unajua kilichomwua Ben Saanane? Bora Samia anatunukiwa na vyuo vinavyotambulika, tena hadharani bila kificho. Tuambie huyo mfu wako alitunukiwa lini, we ulihudhuria akitunukiwa? Samia ana masters kutoka mojawapo ya chuo kikuu bora duniani "Manchester University" umesikia we bwege? Anayetoa degree yoyote ni chuo baada ya kuona umekamilisha vigezo. Hiyo chuki na wivu havitakuacha salama
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Dr. Samia, Dr. Msukuma, Dr. Babutale same whatsapp Group.
Wewe ni mpumbavu sana inamaana kila anaemzungumzia kiongozi wa serikali basi ni mpinzani huna akili timamuHili ni tatizo la upinzani kukosa agenda. Kushika dola labda iwe mwaka 2300 kama hizi ndo agenda mlizo nazo. Wananchi hawawezi kuwa na imani na upinzani unaopoteza muda kuongelea elimu na hadhi ya Rais badala ya kuongelea mambo yanayowagusa kila siku.
Hili jamaa ni zuzu sana aisee [emoji3][emoji3]Ni mpinzani gani ameongelea PhD ya kupewa ya Rais?. Tatizo Jambo lolote ambalo lipo kinyume na CCM mnaita ni wapinzani.
Wivu ni kitu kibaya sana! hivi mtu ambaye tayari ana'occupy the highest office on land unadhani udaktari wa heshima unamuongezea chochote katika katika na mambo yake?
Nimesoma mahali mfano unaitwa Juma Shaban, kama ulipata kwa kusomea utaitwa Dr. Juma Shaban, lakini kama wa heshima utaitwa Juma Shaban (Dr) ili kuwa tofautisha..... hivyo haitakiwi kuanza na Dr kama hujasomea.. I stand to be corrected.True, naunga mkono hoja, PhD za Honoria Causa, sio official title ya kuitwa Dr, ila kwenye social gatherings na kwenye events ni sawa kumu address as Dr. na ndio maana kwenye press release za ikulu, huwezi kuona Rais Samia akiandikwa Dr.
Hili niliwahi kushauri Kuongezeka Ph.D za Heshima: Kuna haja TCU watoe ufafanuzi wa matumizi ya title ya Dr. kwa Ph.D za heshima na Ph.D za ukweli?
P
Mfumo wetu wa elimu uliochezewa ndo umezalisha wasomi walamba viatu.Kuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.
Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba.
Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea huo Udaktari darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli au Dr. Tulia.
Mtu aliyetunukiwa Udaktari wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita Daktari. Udaktari wake unabaki kuwa wa heshima na sio Udaktari wa Title. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.
Samia hapaswi kuitwa Dr. SAMIA kwa sababu hakusomea Udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.
Hili swala lazima litangazwe watu waelewe ili kuepusha matapeli.
Tutakuja kupigishwa gia za mwendokasi mpaka tuombe poo. Dr. Manyaunyau, Dr. Masantula.
Elimu izingatiwe!
Sio kutokuelewa tuu, bali hata kujipendekeza kumekuwa kwa kiwango cha Tanesco mbovu.Lissu alishaweka mambo wazi. Wanaotumia hiyo title huenda hawaelewi.
Mimi nakubaliana na wewe , ila naomba kuanzia leo tukikutana nitambue kama daktari
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app