Rais Samia hapaswi kuitwa Daktari

Rais Samia hapaswi kuitwa Daktari

Kuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.

Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba.

Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea huo Udaktari darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli au Dr. Tulia.

Mtu aliyetunukiwa Udaktari wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita Daktari. Udaktari wake unabaki kuwa wa heshima na sio Udaktari wa Title. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.

Samia hapaswi kuitwa Dr. SAMIA kwa sababu hakusomea Udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.

Hili swala lazima litangazwe watu waelewe ili kuepusha matapeli.

Tutakuja kupigishwa gia za mwendokasi mpaka tuombe poo. Dr. Manyaunyau, Dr. Masantula.

Elimu izingatiwe!
Ukiachana na ishu za USHOGA ambazo inaonyesha ni favorite topic yako, upo quite free minded and intellectually honest, which in fact, is not bad at all.
 
Hawawezi kututoa kwenye kumbukumbu hii.

Yote ni kumsafisha ila inajulikana alichokipata tu hapo kwenye shule ya upili.
 
Kuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.

Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba.

Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea huo Udaktari darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli au Dr. Tulia.

Mtu aliyetunukiwa Udaktari wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita Daktari. Udaktari wake unabaki kuwa wa heshima na sio Udaktari wa Title. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.

Samia hapaswi kuitwa Dr. SAMIA kwa sababu hakusomea Udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.

Hili swala lazima litangazwe watu waelewe ili kuepusha matapeli.

Tutakuja kupigishwa gia za mwendokasi mpaka tuombe poo. Dr. Manyaunyau, Dr. Masantula.

Elimu izingatiwe!
hahahaa ccm mbele kwa mbele
 
True, naunga mkono hoja, PhD za Honoria Causa, sio official title ya kuitwa Dr, ila kwenye social gatherings na kwenye events ni sawa kumu address as Dr. na ndio maana kwenye press release za ikulu, huwezi kuona Rais Samia akiandikwa Dr.

Hili niliwahi kushauri Kuongezeka Ph.D za Heshima: Kuna haja TCU watoe ufafanuzi wa matumizi ya title ya Dr. kwa Ph.D za heshima na Ph.D za ukweli?
P
Ph.D za Honoria Causa zinatambuliwa na chuo husika tu. Kwahiyo anayepewa degree hiyo anatakiwa atambulishwe na chuo kilichompa heshima hiyo tu sio nje hapo.
 
View attachment 2855688
Hawawezi kututoa kwenye kumbukumbu hii.

Yote ni kumsafisha ila inajulikana alichokipata tu hapo kwenye shule ya upili.
Naomba tusiwahukumu watu kwa matokeo ya makaratasi, kuna watu wengi wana akili nzuri tuu, ila wanamatokeo mabaya kutokana na sababu kadhaa wa kadhaa. Cha muhimu angalia uwezo wa mtu na utendaji wake.
P
 
Kuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.

Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba.

Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea huo Udaktari darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli au Dr. Tulia.

Mtu aliyetunukiwa Udaktari wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita Daktari. Udaktari wake unabaki kuwa wa heshima na sio Udaktari wa Title. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.

Samia hapaswi kuitwa Dr. SAMIA kwa sababu hakusomea Udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.

Hili swala lazima litangazwe watu waelewe ili kuepusha matapeli.

Tutakuja kupigishwa gia za mwendokasi mpaka tuombe poo. Dr. Manyaunyau, Dr. Masantula.

Elimu izingatiwe!
Mwalimu Nyerere Pamoja na kuwa nazo lukuki hakuwahi kujiita Dr Kambarage Nyerere.
 
Naomba tusiwahukumu watu kwa matokeo ya makaratasi, kuna watu wengi wana akili nzuri tuu, ila wanamatokeo mabaya kutokana na sababu kadhaa wa kadhaa. Cha muhimu angalia uwezo wa mtu na utendaji wake.
P
Hatuhitaji kumuhukumu ameshajihukumu tayari ndani ya miaka yake 3!
 
Kuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.

Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba.

Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea huo Udaktari darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli au Dr. Tulia.

Mtu aliyetunukiwa Udaktari wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita Daktari. Udaktari wake unabaki kuwa wa heshima na sio Udaktari wa Title. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.

Samia hapaswi kuitwa Dr. SAMIA kwa sababu hakusomea Udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.

Hili swala lazima litangazwe watu waelewe ili kuepusha matapeli.

Tutakuja kupigishwa gia za mwendokasi
Pia Si lazima hata aliyesomea PHD kutambulishwa Kwa Cheo hicho kimasomo,

Africa tuna TABIA ya kutishana na Elimu,utendaji zero.

Yule Allien Obama, mbona ana Doctorate tena Kutoka havard, mbona haitwi au kujitambulisha kama Dr Obama?

Kwako DR BICHWA KOMWE!!
Sijasikia mwalimu akijiita daktari japo alipewa nyingi za heshima. Nafikiri uliyosotea darasani ndio halali kuitwa daktari, mwalimu alilijua hilo.
mpaka tuombe poo. Dr. Manyaunyau, Dr. Masantula.

Elimu izingatiwe!
 
Screenshot_20240430-135918~2.png
Screenshot_20240430-140026~2.png
 
Back
Top Bottom