Rais Samia: Hata Washington umeme unakatika ingekuwa Tanzania, Makamba angetukanwa

Rais Samia: Hata Washington umeme unakatika ingekuwa Tanzania, Makamba angetukanwa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Rais Samia Suluhu Hassan akiwahutubia watanzania walioko Marekani amesema alishangazwa na umeme kukatika nchini humo ambapo amesema ingekuwa Tanzania, January Makamba angetukanwa
 
Kama huko wanasapoti ushoga unashangaaje kukatika kwa umeme!! Halafu kama kwao unakatika haimaanishi na sisi huku ukatike sasa vipi na swala la ushoga sasa tusipinge maana kwakua huko lipo au...??

Ila nyie twendeni ndani turudi nje kuna mahali tumepigwa..😂
 
Wenzako walidukuliwa hadi miundombinu ya umeme ukiwa hapo so sio tatizo la kila siku.
 
Kama huko wanasapoti ushoga unashangaaje kukatika kwa umeme!! Halafu kama kwao unakatika haimaanishi na sisi huku ukatike sasa vipi na swala la ushoga sasa tusipinge maana kwakua huko lipo au...??

Ila nyie twendeni ndani turudi nje kuna mahali tumepigwa..😂
Ishu za ushoga zilikuwaga za obama ila alivyoingia trump mlokole alipinga kabisa na jiulize tangu aingie trump umewai kuona wanaongelea hayo mambo??
 
Back
Top Bottom