Rais Samia: Hata Washington umeme unakatika ingekuwa Tanzania, Makamba angetukanwa

Ishu za ushoga zilikuwaga za obama ila alivyoingia trump mlokole alipinga kabisa na jiulize tangu aingie trump umewai kuona wanaongelea hayo mambo??
Umeona wapi wanapinga..?
 
Anamtetea mwanae,
Haya wapiga yowe mama kasema tutulie
marekani ni sawa na bongo tu
Hahahahahah. Ni sawa na JPM akiwaambia majambazi yake akina Sabaya na Makonda "chapeni kazi" bila kujali wananchi wamechefukwa kiasi gani.
 
Rais Samia Suluhu Hassan akiwahutubia watanzania walioko Marekani amesema alishangazwa na umeme kukatika nchini humo ambapo amesema ingekuwa Tanzania, January Makamba angetukanwa
Kuna mambo huwa ni kuyamezea tu hayapaswi kusemwa public
 
Unasema ukweli mkuu,ila punguza jazba nchi ngumu hii.
Nina hasira sana mkuu, mama anawadanganya watu wazima hivi hivi kirahisi ili kutetea uzembe wa li toto la waramba asali.!! Ndio maana Biden kamu ignore kamwachia Harris waongee mambo ya kupika pika ma pilau na baba yake Rihanna 😀 😀 , Wiki mbili nzima anakula pesa za walipa kodi huku Biden hajui hata kama kuna kiongozi wa nchi nchini kwake,.. daah tumepigwa kwa kweli naiona awamu mbovu kuliko zote ni hii.
 
Ishu za ushoga zilikuwaga za obama ila alivyoingia trump mlokole alipinga kabisa na jiulize tangu aingie trump umewai kuona wanaongelea hayo mambo??
Acha uongo, tangu lini Trump kawa mlokole? Usitake kuleta vichekesho. Mjadala kuhusu ushoga umekuwepo Marekani kabla ya Obama na bado unaendelea hata baada ya Trump. Halafu hakuna mahali Trump amewahi kupinga ushoga hadharani. Lete ushahidi hapa.
 
Rais Samia Suluhu Hassan akiwahutubia watanzania walioko Marekani amesema alishangazwa na umeme kukatika nchini humo ambapo amesema ingekuwa Tanzania, January Makamba angetukanwa
View attachment 2203746
Huyu rais Tanesco imemshinda anatafuta kichaka cha kujificha yaani mwaka mzima baada ya kulipia Tanesco sina umeme.....***** zake
 
Nina hasira sana mkuu, mama anawadanganya watu wazima hivi hivi kirahisi ili kutetea uzembe wa li toto la waramba asali.!! Ndio maana Biden kamu ignore kamwachia Harris waongee mambo ya kupika pika ma pilau na baba yake Rihanna 😀 😀 , Wiki mbili nzima anakula pesa za walipa kodi huku Biden hajui hata kama kuna kiongozi wa nchi nchini kwake,.. daah tumepigwa kwa kweli naiona awamu mbovu kuliko zote ni hii.
KWELI.....HIVI HAKUNA MTU MWENYE NAMBA YA PUTIN AJE ATUFANYE JIMBO LAKE AACHANE NA UKRAINE...,???
 
Acha uongo, tangu lini Trump kawa mlokole? Usitake kuleta vichekesho. Mjadala kuhusu ushoga umekuwepo Marekani kabla ya Obama na bado unaendelea hata baada ya Trump. Halafu hakuna mahali Trump amewahi kupinga ushoga hadharani. Lete ushahidi hapa.
Sasa unabisha nini kilaza wewe tafuta clip zake uone , na kuhusu ulokole nalo unapinga??!! Sibishani na viazi mbatata uwe unapekuwa habari wewe kichwa chako mzigo mtafute trump speech zake umjue vizuri kilaza wewe yaani unataka unipe kazi eti yakuanza kukuonesha??!!!!🙄🙄🙄🙄
 
Rais Samia Suluhu Hassan akiwahutubia watanzania walioko Marekani amesema alishangazwa na umeme kukatika nchini humo ambapo amesema ingekuwa Tanzania, January Makamba angetukanwa
View attachment 2203746
Kwa hiyo kukatika Umeme Marekani ndio kipimo Cha Mama kukatika Umeme Nchini? Kwa maana ya kwamba "Wacha ukatike, Mbona Hata Marekani unakatika!" Kweli??
 
Nina hasira sana mkuu, mama anawadanganya watu wazima hivi hivi kirahisi ili kutetea uzembe wa li toto la waramba asali.!! Ndio maana Biden kamu ignore kamwachia Harris waongee mambo ya kupika pika ma pilau na baba yake Rihanna 😀 😀 , Wiki mbili nzima anakula pesa za walipa kodi huku Biden hajui hata kama kuna kiongozi wa nchi nchini kwake,.. daah tumepigwa kwa kweli naiona awamu mbovu kuliko zote ni hii.
Hivi kweli eeh?? Biden alikuwa anaumwa, au kadharau TU??
 
yaan kati ya milion 60 hakuna kweli wa kutuvusha mwenye mentality ya tofauti na kabsa asahau kuhusu chama japo kwa miaka mitano tuu afokasi na TANZANIA kufa kupona maana sioni mwanga kabisa bado ni giza
 
Back
Top Bottom