Rais Samia: Hata Washington umeme unakatika ingekuwa Tanzania, Makamba angetukanwa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Rais Samia Suluhu Hassan akiwahutubia watanzania walioko Marekani amesema alishangazwa na umeme kukatika nchini humo ambapo amesema ingekuwa Tanzania, January Makamba angetukanwa
Your browser is not able to display this video.
 
Kama huko wanasapoti ushoga unashangaaje kukatika kwa umeme!! Halafu kama kwao unakatika haimaanishi na sisi huku ukatike sasa vipi na swala la ushoga sasa tusipinge maana kwakua huko lipo au...??


Ila nyie twendeni ndani turudi nje kuna mahali tumepigwa..😂
 
Kwa hiyo tusilalamike kwa kuwa Marekani unakatika ?

JK aongeze darsa duara kwa Mh.Rais

JK yeye alipiga kimya, hakuwa kila jambo anataka kujitetea tofauti na Mh.SSH kila jambo anataka kujibu
 
Wenzako walidukuliwa hadi miundombinu ya umeme ukiwa hapo so sio tatizo la kila siku.
 
Muongo mama huyo marekani umeme ukikatika ni hatari kubwa coz wao vitu vingi sana vinatumia umeme, anatunga ili ionekane umeme tz kukatika iwe sawa tu aache uongo labda awadanganye ambao hawajatembea🤣🤣😂😂😂
 
Ishu za ushoga zilikuwaga za obama ila alivyoingia trump mlokole alipinga kabisa na jiulize tangu aingie trump umewai kuona wanaongelea hayo mambo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…