Rais anashangilia umeme kukatika badala ya kujipanga amalize tatizo.Rais Samia Suluhu Hassan akiwahutubia watanzania walioko Marekani amesema alishangazwa na umeme kukatika nchini humo ambapo amesema ingekuwa Tanzania, January Makamba angetukanwa
View attachment 2203746
Huyo video tu mwishoni hao wanaomung'unya maneno inaonyesha kuwa umeme haukukatika bali ni hitilafu kwenye hilo jengoRais anashangilia umeme kukatika badala ya kujipanga amalize tatizo.
Yani hajui umeme kukatika nchi ya ughaibuni linaweza kuwa tatizo kubwa la kiusalama kwake.
Jambo la hatari, anachekelea.
Kuna siku moja nilikuwa namsikiliza mama wa miaka zaidi ya 60 wa New York City.Huyo video tu mwishoni hao wanaomung'unya maneno inaonyesha kuwa umeme haukukatika bali ni hitilafu kwenye hilo jengo
Anasema kaishi sana, maisha yake kapata kuona umeme ukikatika mara tatu jijini New York.