Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Muhongo: Standard ya Dunia Binadamu wa Chini anatakiwa kutumia tsh 5200 kwa SikuSasa tuchukue ya nani? Mwigulu au Rais Samia?
Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana.
Wewe unaongea nini sababu kubwa ya kurudi uchumi wa chini ukiacha Covid ni Sera mbovu za uchumi alizozia adapt Magufuli.Walikua wanaona rahisi saaana mwenzao alipokua akiongoza nchi mpaka kuifikisha huo uchumi wa kati...
Tuliza kipagoWewe unaongea nini sababu kubwa ya kurudi uchumi wa chini ukiacha Covid ni Sera mbovu za uchumi alizozia adapt Magufuli.
N.B Magufuli amechukua Nchi ikiwa Uchumi wa Kati kwa Taatifa yako
Tumeshafika Huko tayari kwenye uchumi wa mkiaTutashuka mpaka uchumi wa mkia tusipokuwa makini.
CCM ni genge la wanafiqSasa mbona Mhongo akikariri hayo(Tanzania imeshuka na kwa sasa haipo uchumo wakat) inakuwa nongwa na kuonekana anakisema vibaya chama!?
Awamu ya tano iilikuwa mahiri sana kwa upikaji takwimu. Yule dhalim alikuwa mtu wa kamba sana.Mimi sikuwahi kuamini kama tuliwahi kufika huko uchumi wa kati wa chini ni uongo mtupu.