Rais Samia: Hatupo tena uchumi wa kati tumeshushwa na hadi 2025 tutapambana turejee

Rais Samia: Hatupo tena uchumi wa kati tumeshushwa na hadi 2025 tutapambana turejee

View attachment 2413484

Rais Samia na Mwigulu ni yupi mkweli?!

Hapo juu ni Samia akikiri wazi Tanzania haipo tena uchumi wa kati, imeporomoka na aliahidi atapambana ili ifikapo 2025 uchumi wa Tanzania urejee kwenye daraja la kati.

NB: Teknolojia.
Sasa wewe unaweza ukakaa na akili zako kuamini matamko ya mwigulu ?
 
Walikua wanaona rahisi saaana mwenzao alipokua akiongoza nchi mpaka kuifikisha huo uchumi wa kati, wakaungana kumkwamisha na kumuwinda. Walidhani uongozi ni kama mashavu ya matako kila mtu anaweza kuwa nayo anapozaliwa. Sahizi kila kitu kinawafia, na bado. Mwisho wa ubaya ni aibu
Tusidanganyane, Tz haijawahi kufikia uchumi wa kati tangu ipate uhuru.
 
View attachment 2413484

Rais Samia na Mwigulu ni yupi mkweli?!

Hapo juu ni Samia akikiri wazi Tanzania haipo tena uchumi wa kati, imeporomoka na aliahidi atapambana ili ifikapo 2025 uchumi wa Tanzania urejee kwenye daraja la kati.

NB: Teknolojia.
Kila awamu wanasema anaupiga mwingi tukajuwa sasa twapanda zaidi kumbe twashuka! Sasa kuupiga mwingi kupoje?
 
Why 2025 huyu mother naee
2025 Rais akiwa Mh. Samia Suluhu, hali itakuwa mbaya zaidi.

Naomba itokee bahati nzuri Rais awe mwingine hata akitokea CCM, lakini awe na uchungu na uchumi wa wananchi wake. hali ni ngumu kwa sasa, bei ya vyakula ni kubwa kuliko kipato, kipato kimekuwa hakitoshi, kimeshuka mara mbili, kama ulikuwa unapata 10,000 kwa siku, kwa sasa ni 5,000.
 
Waliomuondoa Magufuli sijui wanapata raha gani wakiona watanzania wanateseka na kupanda kwa gharama za maisha kiholela holela as if nchi haina uongozi wa ku regulate bei za bidhaa mbalimbali.
 
Back
Top Bottom