Rais Samia: Hatupo tena uchumi wa kati tumeshushwa na hadi 2025 tutapambana turejee

Rais Samia: Hatupo tena uchumi wa kati tumeshushwa na hadi 2025 tutapambana turejee

Waliomuondoa Magufuli sijui wanapata raha gani wakiona watanzania wanateseka na kupanda kwa gharama za maisha kiholela holela as if nchi haina uongozi wa ku regulate bei za bidhaa mbalimbali.
Ili nchi iendelee inahitaji Rais asiyeyumbishwa na miluzi mingi. Magufuli walikuwa wanamchukulia dikteta kwakuwa alikuwa hataki kusikiliza makelele mengi, angekuwa anasikiliza miluzi mingi asingekuwa na msimamo.

Enzi za Magufuli vyakula vilikuwa bei poa, na kipato kilikuwa kinatosha walau
 
You can pay for school but you can't buy class. Ndio mana pamoja na kua unaweza kubangaiza kuandika kiinglishi huna akili ya kufahamu viashiria vya uchumi
Crazy man, I was so specific, wanted to pay you per lesson. Overhere we dont buy classes. Gerit ?
 
Ili nchi iendelee inahitaji Rais asiyeyumbishwa na miluzi mingi. Magufuli walikuwa wanamchukulia dikteta kwakuwa alikuwa hataki kusikiliza makelele mengi, angekuwa anasikiliza miluzi mingi asingekuwa na msimamo.

Enzi za Magufuli vyakula vilikuwa bei poa, na kipato kilikuwa kinatosha walau
Mafisadi walikuwa hawafurukuti ndio maana nchi ilikuwa walau ina mwelekeo na utulivu. Sasa sahizi utawala wa kambale tu, mkubwa ndevu mdogo ndevu basi tafrani😂😂😂
 
Ili nchi iendelee inahitaji Rais asiyeyumbishwa na miluzi mingi. Magufuli walikuwa wanamchukulia dikteta kwakuwa alikuwa hataki kusikiliza makelele mengi, angekuwa anasikiliza miluzi mingi asingekuwa na msimamo.

Enzi za Magufuli vyakula vilikuwa bei poa, na kipato kilikuwa kinatosha walau
Samia kaongeza mishahara na kushindwa kudhibiti mfumuko wa bei mwisho wa siku kazi aliyoifanya inakuwa careless n hopeless.
 
View attachment 2413484

Rais Samia na Mwigulu ni yupi mkweli?!

Hapo juu ni Samia akikiri wazi Tanzania haipo tena uchumi wa kati, imeporomoka na aliahidi atapambana ili ifikapo 2025 uchumi wa Tanzania urejee kwenye daraja la kati.

NB: Teknolojia.
Jameni Tanzania haijawahi kuwa na uchumi wa kati,labda wakati wa Mwalimu Nyerere tulikuwa hapo au zaidi, lakini kwa kuwa Mwamba alikuwa anapigania uhuru wa nchi kusini mwa Afrika asigeweza kuwekwa uchumi wakati kwa kuwa ukombozi, ungegeuka shubiri kwa mabeberu.
Sasa hizo porojo za kupikwa na watu baki eti tuliingia uchumi wa kati waulize waliosoma Cuba.
Bahati mbaya kuna mtu anasema nilizaa mama yako,nawe unamuuliza ulizaliwa lini?
Anakujibu miaka 55 ya nyuma,lakini mama kazaliwa 90 years ago.
Anakasirika anaamurisha cheti cha mama yangu cha kuzaliwa kisome miaka 20 badala ya miaka 90 ya awali.
Hakuna kupoteza wakati,hivi vibanda vyetu vya nyasi na udongo,mlo mmoja wa mashaka kwa siku,mbu ni wengi kuliko kuku wa mayai,usitegemee hata kuota uchumi wa tatu.
 
Mama samia kinachomatter sio status ya Uchumi wa taifa bali ni uhalisia wa maisha.
Uchumi wa kati Uchumi wa mbele haijalishi, vyote ni zuria la kufunika uhalisia wa kutisha wa maisha ya majority ya Watanzania.
 
Bora Andrew Tate useme wewe, sisi wengine tunaambiwa kitu kidogo tu, tunalalamika.
 
Crazy man, I was so specific, wanted to pay you per lesson. Overhere we dont buy classes. Gerit ?
Over there you pay for mediocrity and unhinged passableness. No wonder you are way up your ass over here embarrassing your little self.

#HapaKaziTu
 
Back
Top Bottom