Rais Samia: Hatupo tena uchumi wa kati tumeshushwa na hadi 2025 tutapambana turejee

Rais Samia: Hatupo tena uchumi wa kati tumeshushwa na hadi 2025 tutapambana turejee

Nashauri serikali ijikite kuhakikisha kuwa pesa inakuwa kwenye mzunguko. Vinginevyo uchumi utadorora sana
 
Kwa WB classification, Tanzania ipo lower middle class.
Ni middle class economy as we speak per WB classification.
Read journals, reports and other publications from reputable institutions. Weka Tabia ya kujisomea, siyo kuwasikiliza tu watu.
Mimi nipo uraiani Tanzania sihitaji reports za wanasiasa kujua mustakabali wa hali za kiuchumi za raia wenzangu.
 
Wewe unaongea nini sababu kubwa ya kurudi uchumi wa chini ukiacha Covid ni Sera mbovu za uchumi alizozia adapt Magufuli.
N.B Magufuli amechukua Nchi ikiwa Uchumi wa Kati kwa Taatifa yako
Majuha mpowengi sana humu, Yani mnafurahiya kuambiwa masikini kuliko kuambiwa mnauwezo, mmekaa kitumwa tumwa sana nyinyi watu.
 
Ndezi wewe, naona umeamua kurudi kwenye kiswahili. Wewe ni mjinga kama wajinga wengine tu na huwezi kunilazimisha kufanya lolote. Nimeshakuelimisha vya kutosha na naamini somo umelipata. Kuhusu viashiria sasa, utavipata pia huko google ulikokua unatoa viinglishi uchwara vyako
Kuandika maneno meeeengi yasiyo na msingi sio mbadala wa kujibu hoja ya msingi, sawa wewe kima wa kijani ?
 
Majuha mpowengi sana humu, Yani mnafurahiya kuambiwa masikini kuliko kuambiwa mnauwezo, mmekaa kitumwa tumwa sana nyinyi watu.
Leo kama unauwezo wa kujilipia nauli ya Kwenda na kurudi China pasipo kuumiza kichwa, hauhitaji WB ikwambie wewe una uwezo wa kwenda China to and fro bila kuumiza kichwa.

Hali kadhalika hali yako ya kiuchumi ikiwa nzuri au mbaya , wewe mwenyewe utajionea katika uhalisia wa maisha yako, unless uwe mentally retarded.
 
Chama si kinataka kuongoza taifa?

Ndio nikakuambia unakosea kuiingiza madhaifu na mafanikio ya CHADEMA kwenye uchumi wa taifa. Huwezi kulinganisha CHADEMA na serikali inayopokea Kodi na tozo kila siku na mikopo mikubwa kutoka nchi za nje.

Kama tunataka kufanya ulinganifu wa haki tulinganishe vyama Kama vyama.
 
Hivi unamweleza nani habari hizo?
Huyo unayejibishana naye hana uwezo wa kuelewa unachoeleza hapa.
 
Ndio nikakuambia unakosea kuiingiza madhaifu na mafanikio ya CHADEMA kwenye uchumi wa taifa. Huwezi kulinganisha CHADEMA na serikali inayopokea Kodi na tozo kila siku na mikopo mikubwa kutoka nchi za nje.

Kama tunataka kufanya ulinganifu wa haki tulinganishe vyama Kama vyama.
Hamna kitu hapo. Hao chadema wakishika dola nchi nzima itakuwa hovyo kama ilivyo hapo ufipa.
 
Muhimu sana ni wananchi wazalishe na kutumia bidhaa na huduma, wapate pesa kwa wingi, hasa kutoka nje uchumi ukue kwa uendelevu ili lengo la Rais litimie.
Kazi ya serikali ni kuweka mazingira mazuri wananchi waweze.
Mbinu nyingine zote zisizohusisha raia ni bandia tu na hazidumu kamwe.
 
Back
Top Bottom