Rais Samia: Hatupo tena uchumi wa kati tumeshushwa na hadi 2025 tutapambana turejee

Rais Samia: Hatupo tena uchumi wa kati tumeshushwa na hadi 2025 tutapambana turejee

Sasa mbona Mhongo akikariri hayo(Tanzania imeshuka na kwa sasa haipo uchumo wakat) inakuwa nongwa na kuonekana anakisema vibaya chama!?
Nani alikuambia wewe kwamba Kuna mtu aliona nongwa.
 
Over there you pay for mediocrity and unhinged passableness. No wonder you are way up your ass over here embarrassing your little self.

#HapaKaziTu
This energy you put on writing nonsense was more than enough to outline just one indicator of the requested subject.
 
Huna unalolijua, unashupalia uchumi umekuwa meanwhile huwezi kujustify claims zako hata kwa ka point kamoja tu. Hopeless.
Ndezi wewe, naona umeamua kurudi kwenye kiswahili. Wewe ni mjinga kama wajinga wengine tu na huwezi kunilazimisha kufanya lolote. Nimeshakuelimisha vya kutosha na naamini somo umelipata. Kuhusu viashiria sasa, utavipata pia huko google ulikokua unatoa viinglishi uchwara vyako
 
Uongozi wa kiwaki

Tulifika 1080 kwa sasa matumizi ni 990 tuko below dola moja yaani watanzania wengi tuna uhakika wa mlo mmoja, ndio maana akina mama wakaanga mihogo ya mia mia waneongezeka maana wateja ni wengi, na ni vile tunaishi kwa kudra za Mungu tu kwenye afya ni balaa, yaani mtanzania akiugua ni mawili kufa au kupona, na ndio maana watu wako kama wamechanganyikiwa
 
Moja ya mafanikio ya chama tawala ni nchi kua hapa ilipo miaka 60 ya uhuru wenzetu indonesia, vietnum, walishatuacha kitambo leo bado tunazindua magari ya kuchimba visima too sad
 
Tulifika 1080 kwa sasa matumizi ni 990 tuko below dola moja yaani watanzania wengi tuna uhakika wa mlo mmoja, ndio maana akina mama wakaanga mihogo ya mia mia waneongezeka maana wateja ni wengi, na ni vile tunaishi kwa kudra za Mungu tu kwenye afya ni balaa, yaani mtanzania akiugua ni mawili kufa au kupona, na ndio maana watu wako kama wamechanganyikiwa
Chadema wana miaka thelasini hebu angalia makao yao makuu. Wanajidai eti chama chao kipo mioyoni.
 
Walikua wanaona rahisi saaana mwenzao alipokua akiongoza nchi mpaka kuifikisha huo uchumi wa kati, wakaungana kumkwamisha na kumuwinda. Walidhani uongozi ni kama mashavu ya matako kila mtu anaweza kuwa nayo anapozaliwa. Sahizi kila kitu kinawafia, na bado. Mwisho wa ubaya ni aibu
Katika_Historia%3A%0APamoja_na_kwamba_ALIZIMIA_baada_ya_kuuona_mwili_wa_mpendwa_wetu_MFUKO_hak...jpg
 
Wewe unaongea nini sababu kubwa ya kurudi uchumi wa chini ukiacha Covid ni Sera mbovu za uchumi alizozia adapt Magufuli.
N.B Magufuli amechukua Nchi ikiwa Uchumi wa Kati kwa Taatifa yako
Bwah haha hahaa my ribs mbona hamtaki kukiri mmeshachemsha kama hindocha????
 
Tusidanganyane, Tz haijawahi kufikia uchumi wa kati tangu ipate uhuru.
Kwa WB classification, Tanzania ipo lower middle class.
Ni middle class economy as we speak per WB classification.
Read journals, reports and other publications from reputable institutions. Weka Tabia ya kujisomea, siyo kuwasikiliza tu watu.
 
Hao wanao tuamulia na kutuamulia ‘mara ooh uchumi wa kati’ mara ohhhh nchi maskini duniani, dadadeki zao mbona wao pia wanamadeni mpaka maskioni, yaani kwa ufupi hao mabeberu ni washenzi paseeee walahi [emoji3062]
 
Back
Top Bottom