Rais Samia: Hatupo tena uchumi wa kati tumeshushwa na hadi 2025 tutapambana turejee

Rais Samia: Hatupo tena uchumi wa kati tumeshushwa na hadi 2025 tutapambana turejee

Walikua wanaona rahisi saaana mwenzao alipokua akiongoza nchi mpaka kuifikisha huo uchumi wa kati, wakaungana kumkwamisha na kumuwinda.

Walidhani uongozi ni kama mashavu ya matako kila mtu anaweza kuwa nayo anapozaliwa.

Saa hizi kila kitu kinawafia, na bado. Mwisho wa ubaya ni aibu
Ah ah... mashavu ya matako??? Akya Mungu mtoto wewe una laana mbaya
 
Waliomuondoa Magufuli sijui wanapata raha gani wakiona watanzania wanateseka na kupanda kwa gharama za maisha kiholela holela as if nchi haina uongozi wa ku regulate bei za bidhaa mbalimbali.
Mmojjawapo ni jk, alidanganya kaenda kuhiji akaishia madukani kufanya shopping, alijua kule hakuna masiala hasingerudi kwa makando kando yake mja wa liana yule
 
Crazy man, I was so specific, wanted to pay you per lesson. Overhere we dont buy classes. Gerit ?
Mbwembwe zote hizi za kiinglishi kumbe hujui economic growth indicators, umbwa kabisa, tena wewe ni pundaa
 
Tatizo la ukame lililosababisha mgao mkali wa umeme nalo linaweza kuwa limeshusha uzalishaji hivyo kupelekea uchumi wetu kushuka. Sikumbuki kama kuliwahi kutokea ukame wa namna hii miaka mitano iliyopita.
 
Uchumi wa kati haimanishi lazima wote tuwe matajiri lakini kunakuwa na uchumi jumuishi kama mwaka 2017 mpaka 2021 na asilimia kubwa ya wananchi wanashiriki katika keki ya taifa.Kwa taarifa yako hata USA,UK na China pamoja nakuwa superpower hakumanishi hakuna masikini wala hakuna omba omba lakini ombaomba wa huko sio kama wa Tanzania.
Ombaomba wa China na Us wakoje mkuu wakilinganishwa na wa huku kwetu ?
 
Sawa, ila ni uchumi wa kati na hatujatoka huko.
Thats what we are talking about here.
By the way poverty headcount ratio ya dunia ni 47%, ya Tanzania ni 45% ya Guyana (high middle class country) ni 48%.
So your observation is baseless.
Wakati wa chini, katika maisha kuna + na - %. Mbona ulichoniwekea nikariri kinasema Tanzania ipo kwenye low middle income.
 
Wakati wa chini, katika maisha kuna + na - %. Mbona ulichoniwekea nikariri kinasema Tanzania ipo kwenye low middle income.
Ni sawa na kuwa na gari chakavu.
Still una gari.
Huo ndio ukweli wenyewe, naona mpaka machozi yanakulenga, pole sana bro.
 
Pale Kati....KILA mtu anapatamani pale Kati!... Tumenusa tu harufu ya pale Kati.....mmiliki wa pale Kati katutuoa nduki na boxer.....bado tukiwa na hamu ya kuhondomora pale Kati.....
 
Hivi unaakili kweli?yaani wakulima wauze vyakula bei juu na kuwaumiza watu ndo unaita ukuaji wa uchumi?
Sio bei juu, kipato chako ndio kinasema bei juu. 5kg za mchele kwa bei ya around $7 ni bei ya kawaida kabisa inayotoa good return kwa wakulima.
 
Back
Top Bottom