Rais Samia: Hatupo tena uchumi wa kati tumeshushwa na hadi 2025 tutapambana turejee

Rais Samia: Hatupo tena uchumi wa kati tumeshushwa na hadi 2025 tutapambana turejee

View attachment 2413484

Rais Samia na Mwigulu ni yupi mkweli?!

Hapo juu ni Samia akikiri wazi Tanzania haipo tena uchumi wa kati, imeporomoka na aliahidi atapambana ili ifikapo 2025 uchumi wa Tanzania urejee kwenye daraja la kati.

NB: Teknolojia.
Haikuwa ajabu kwa sisi kuporomoka, Sababu mbona iko wazi tu, hata Wewe mwenyewe unaijua...
 
Walikua wanaona rahisi saaana mwenzao alipokua akiongoza nchi mpaka kuifikisha huo uchumi wa kati, wakaungana kumkwamisha na kumuwinda. Walidhani uongozi ni kama mashavu ya matako kila mtu anaweza kuwa nayo anapozaliwa. Sahizi kila kitu kinawafia, na bado. Mwisho wa ubaya ni aibu
Ukiamini sana katika masuala ya chuki na fitina bila ya ushahidi wa wazi kabisa ni kama unaamini katika ushirikina -Stevie Wonder katika wimbo wake wa superstition.
 
Uwezi kuona tofauti kama unalamba asali na kwenda na slogan ya kwamba anaupiga mwingi...

Ila uku kwetu 1 kg ya unga wa sembe ni elfu 2 na mchele super utasikia hewani, tunakula CHENGA kama njiwa.
Umenisoma vizuri lakini Mkuu? Hiyo asali nalambia wapi mimi
 
Sasa kama unataka kuona utofauti kati ya uchumi wakati na uchumi wa mkiani kesho amka asubuhi nenda dukani utakuta kilo moja ya unga ni 2000 kutoka 1000.Baada ya hapo utaona mgao wa umeme hakuna umeme siku nzima na hakuna maji siku tatu sasa huo ndo uchumi wa mkiani😂😂
Miaka yote sisi ni maskini mkuu, hata tulipokuwa uchumi wa Kati kama unavyodai, wengi walikuwa hawamudu kula milo mitatu, hizi maneno uchumi wa kati, sijui wa mkia, hayo ni maneno kwenye makaratasi, kuihalisia Watanzania ni maskini, tena maskini kweli, ndio maana nikasema sioni tofauti.
 
Miaka yote sisi ni maskini mkuu, hata tulipokuwa uchumi wa Kati kama unavyodai, wengi walikuwa hawamudu kula milo mitatu, hizi maneno uchumi wa kati, sijui wa mkia, hayo ni maneno kwenye makaratasi, kuihalisia Watanzania ni maskini, tena maskini kweli, ndio maana nikasema sioni tofauti.
Uchumi wa kati haimanishi lazima wote tuwe matajiri lakini kunakuwa na uchumi jumuishi kama mwaka 2017 mpaka 2021 na asilimia kubwa ya wananchi wanashiriki katika keki ya taifa.Kwa taarifa yako hata USA,UK na China pamoja nakuwa superpower hakumanishi hakuna masikini wala hakuna omba omba lakini ombaomba wa huko sio kama wa Tanzania.
 
Mimi sikuwahi kuamini kama tuliwahi kufika huko uchumi wa kati wa chini ni uongo mtupu.
Wewe amini unavyoamini, walioleta takwimu kwamba tupo uchumi wa kati ndo hao hao unawaamini wakisema tumeporomoka sasa hatupo uchumi wa kati.
 
Watumishi wa serikali na hata raia hufanya kazi za uma na taifa kwa ujumla kwa niaba ya Rais.
Ile timu iliyofikisha nchi uchumi wa kati haikufa na kuzikwa katika kaburi la pamoja na Magufuli.
Umasikini wa fikra unasababisha mijadala muhimu ya kulikwamua taifa ijadiliwe kwa ufinyu wa kumtegemea mtu mmoja.
Hili ni tatizo kubwa ambalo mizizi na nira za umasikini zimejikita hapo.
Kitu ambacho unatakiwa kuelewa kwa katiba yetu hii ya mwaka 1977 imemfanya rais ndo kila kitu na ndio maana kila kiongozi katika utkelezaji wa kazi zake utasikia rais katoa ela kufanya hiki mara rais kaagiza hili.Hii namanisha kwamba mfanyakazi yyote hata hawe na uwezo hupi hakuna anachoweza kufanya zaidi ya kufanya rais anayotaka.Na maana yake nikwamba siku tukipata rais ambaye hana mikakati na malengo lazima inchi izame.Na J.K.Nyerere alishasema kwamba kwa katiba hii siku akipatikana rais asiyesahihi lazima tutayumba vilivyo.Kwa hiyo hakuna haja ya kuuliza kama wafanyakazi walizikwa na Magu bali kubali kwamba Magufuri alikuwa dereva sahihi na bora kwa taifa letu.
 
Enzi za Magufuli vyakula vilikuwa bei poa, na kipato kilikuwa kinatosha walau
Ila hapa ndo umeandika ujinga kabisa. Wewe ulitaka wakulima waendelee kuuza gunia 150 za mahindi ndipo wapate Iphone moja??? Are you serious dude?
 
Mwigulu aliongea wapi na lini kuhusu suala Hilo..wekeni clip
 
Back
Top Bottom