Rais Samia: Hatupo tena uchumi wa kati tumeshushwa na hadi 2025 tutapambana turejee

Rais Samia: Hatupo tena uchumi wa kati tumeshushwa na hadi 2025 tutapambana turejee

Walikua wanaona rahisi saaana mwenzao alipokua akiongoza nchi mpaka kuifikisha huo uchumi wa kati, wakaungana kumkwamisha na kumuwinda. Walidhani uongozi ni kama mashavu ya matako kila mtu anaweza kuwa nayo anapozaliwa. Sahizi kila kitu kinawafia, na bado. Mwisho wa ubaya ni aibu
Kitu gani kinakufa. Acha sweeping statements.
 
WB na IMF unafikiri wanatoa wapi data au takwimu? Umejiona ulivyo punguani na lipopoma?

Takwimu hupelekwa na Wizara ya fedha we mpumbavu sasa jiulize hawapiki data?
Taahira katika ubora wako
 
Hatujawahi kuwa huo Uchumi wa kati wakati mpo busy mnaokota vichwa vya treni bandarini Nchi za uchumi wa kati wanakua na viwanda vya kutengeneza hivyo vichwa pamoja na bidhaa zingine...
 
Kama aliweza kuwadanganya world bank na Imf basi alistahili kuwa Rais wa dunia kama anaweza kuwazidi WB na imf ila kumbuka Magufuri aliweza kudhibiti mfumuko wa bei na kuifanya Tanzania kuwa kinara wa uchumi jumuishi Afrika.
Watumishi wa serikali na hata raia hufanya kazi za uma na taifa kwa ujumla kwa niaba ya Rais.
Ile timu iliyofikisha nchi uchumi wa kati haikufa na kuzikwa katika kaburi la pamoja na Magufuli.
Umasikini wa fikra unasababisha mijadala muhimu ya kulikwamua taifa ijadiliwe kwa ufinyu wa kumtegemea mtu mmoja.
Hili ni tatizo kubwa ambalo mizizi na nira za umasikini zimejikita hapo.
 
Most people in this planet can't.
But that's not the topic. You can start that topic.
Nchi haiwezi kuwa na asilimia kubwa ya wananchi wasioweza kupata mlo mmoja kwa siku kisha ikawa na uchumi wa juu wa kati, sisi tuko uchumi wa chini wa kati na ndivyo tulivyo kwenye taarifa.
 
Nchi haiwezi kuwa na asilimia kubwa ya wananchi wasioweza kupata mlo mmoja kwa siku kisha ikawa na uchumi wa juu wa kati, sisi tuko uchumi wa chini wa kati na ndivyo tulivyo kwenye taarifa.
Sawa, ila ni uchumi wa kati na hatujatoka huko.
Thats what we are talking about here.
By the way poverty headcount ratio ya dunia ni 47%, ya Tanzania ni 45% ya Guyana (high middle class country) ni 48%.
So your observation is baseless.
 
View attachment 2413484

Rais Samia na Mwigulu ni yupi mkweli?!

Hapo juu ni Samia akikiri wazi Tanzania haipo tena uchumi wa kati, imeporomoka na aliahidi atapambana ili ifikapo 2025 uchumi wa Tanzania urejee kwenye daraja la kati.

NB: Teknolojia.
Marehemi hawapigwi vijembe, wakati unaimbwa wewe kila kona hukatazi kwamba haya yote ni yetu ni ya upamoja nisitajwe mimi kama mimi au taasisi yangu. Asante Mungu Kwa yote 'kila mtu ataibeba mzigo wake mwenyewe.' siku Ile ikifika
 
Wewe unaongea nini sababu kubwa ya kurudi uchumi wa chini ukiacha Covid ni Sera mbovu za uchumi alizozia adapt Magufuli.
N.B Magufuli amechukua Nchi ikiwa Uchumi wa Kati kwa Taatifa yako
Inajulikana kabisa wewe ni wale mnaokula Kwa urefu wa kamba! Uchumi unawafia, mmekuwa wanywa maziwa ya nchi kama vitoto vya mbwa, ndevu zote mmelowa maziwa ya wizi,
 
Back
Top Bottom