Kitu gani kinakufa. Acha sweeping statements.Walikua wanaona rahisi saaana mwenzao alipokua akiongoza nchi mpaka kuifikisha huo uchumi wa kati, wakaungana kumkwamisha na kumuwinda. Walidhani uongozi ni kama mashavu ya matako kila mtu anaweza kuwa nayo anapozaliwa. Sahizi kila kitu kinawafia, na bado. Mwisho wa ubaya ni aibu
Ulinza world Bank watakupa ukweli kama hukuwahi kuaminiMimi sikuwahi kuamini kama tuliwahi kufika huko uchumi wa kati wa chini ni uongo mtupu.
Ulinza world Bank wakupe ukweli ninyi mnafikiri magufuli alikuwa ana kudanganyaAwamu ya tano iilikuwa mahiri sana kwa upikaji takwimu. Yule dhalim alikuwa mtu wa kamba sana.
Taahira katika ubora wakoWB na IMF unafikiri wanatoa wapi data au takwimu? Umejiona ulivyo punguani na lipopoma?
Takwimu hupelekwa na Wizara ya fedha we mpumbavu sasa jiulize hawapiki data?
Tunamsikiliza mama Samia.
Sasa tuchukue ya nani? Mwigulu au Rais Samia?
Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana.
Waziri kukanushwa na Rais wake si jambo dogo.Kauli ya Mama SSH naweza kuiamini kwa 95% kwani hana tabia ya kukurupuka, ILA la huyu waziri sikuwahi kumuani na sitokaa nimuamini kwani ana tabia za kukurupuka hovyo!
Mwigulu anatetea nafasi yake ya uwaziri asifukuzwe japo ni muongo.View attachment 2413484
Rais Samia na Mwigulu ni yupi mkweli?!
Hapo juu ni Samia akikiri wazi Tanzania haipo tena uchumi wa kati, imeporomoka na aliahidi atapambana ili ifikapo 2025 uchumi wa Tanzania urejee kwenye daraja la kati.
NB: Teknolojia.
Mwigulu anatetea nafasi yake ya uwaziri asifukuzwe japo ni muongo.
Watumishi wa serikali na hata raia hufanya kazi za uma na taifa kwa ujumla kwa niaba ya Rais.Kama aliweza kuwadanganya world bank na Imf basi alistahili kuwa Rais wa dunia kama anaweza kuwazidi WB na imf ila kumbuka Magufuri aliweza kudhibiti mfumuko wa bei na kuifanya Tanzania kuwa kinara wa uchumi jumuishi Afrika.
Uchumi wa chini wa kati.Waamini World Bank.
Most people in this planet can't.Uchumi wa chini wa kati.
Most of Tanzanians can't afford a meal a day.
Nchi haiwezi kuwa na asilimia kubwa ya wananchi wasioweza kupata mlo mmoja kwa siku kisha ikawa na uchumi wa juu wa kati, sisi tuko uchumi wa chini wa kati na ndivyo tulivyo kwenye taarifa.Most people in this planet can't.
But that's not the topic. You can start that topic.
Sawa, ila ni uchumi wa kati na hatujatoka huko.Nchi haiwezi kuwa na asilimia kubwa ya wananchi wasioweza kupata mlo mmoja kwa siku kisha ikawa na uchumi wa juu wa kati, sisi tuko uchumi wa chini wa kati na ndivyo tulivyo kwenye taarifa.
Marehemi hawapigwi vijembe, wakati unaimbwa wewe kila kona hukatazi kwamba haya yote ni yetu ni ya upamoja nisitajwe mimi kama mimi au taasisi yangu. Asante Mungu Kwa yote 'kila mtu ataibeba mzigo wake mwenyewe.' siku Ile ikifikaView attachment 2413484
Rais Samia na Mwigulu ni yupi mkweli?!
Hapo juu ni Samia akikiri wazi Tanzania haipo tena uchumi wa kati, imeporomoka na aliahidi atapambana ili ifikapo 2025 uchumi wa Tanzania urejee kwenye daraja la kati.
NB: Teknolojia.
View attachment 2413484
Rais Samia na Mwigulu ni yupi mkweli?!
Hapo juu ni Samia akikiri wazi Tanzania haipo tena uchumi wa kati, imeporomoka na aliahidi atapambana ili ifikapo 2025 uchumi wa Tanzania urejee kwenye daraja la kati.
NB: Teknolojia
Inajulikana kabisa wewe ni wale mnaokula Kwa urefu wa kamba! Uchumi unawafia, mmekuwa wanywa maziwa ya nchi kama vitoto vya mbwa, ndevu zote mmelowa maziwa ya wizi,Wewe unaongea nini sababu kubwa ya kurudi uchumi wa chini ukiacha Covid ni Sera mbovu za uchumi alizozia adapt Magufuli.
N.B Magufuli amechukua Nchi ikiwa Uchumi wa Kati kwa Taatifa yako