Jackcheina
Member
- Aug 29, 2022
- 16
- 6
Haikuwa ajabu kwa sisi kuporomoka, Sababu mbona iko wazi tu, hata Wewe mwenyewe unaijua...View attachment 2413484
Rais Samia na Mwigulu ni yupi mkweli?!
Hapo juu ni Samia akikiri wazi Tanzania haipo tena uchumi wa kati, imeporomoka na aliahidi atapambana ili ifikapo 2025 uchumi wa Tanzania urejee kwenye daraja la kati.
NB: Teknolojia.
View attachment 2413484
Rais Samia na Mwigulu ni yupi mkweli?!
Hapo juu ni Samia akikiri wazi Tanzania haipo tena uchumi wa kati, imeporomoka na aliahidi atapambana ili ifikapo 2025 uchumi wa Tanzania urejee kwenye daraja la kati.
NB: Teknolojia.
Ukiamini sana katika masuala ya chuki na fitina bila ya ushahidi wa wazi kabisa ni kama unaamini katika ushirikina -Stevie Wonder katika wimbo wake wa superstition.Walikua wanaona rahisi saaana mwenzao alipokua akiongoza nchi mpaka kuifikisha huo uchumi wa kati, wakaungana kumkwamisha na kumuwinda. Walidhani uongozi ni kama mashavu ya matako kila mtu anaweza kuwa nayo anapozaliwa. Sahizi kila kitu kinawafia, na bado. Mwisho wa ubaya ni aibu
Umenisoma vizuri lakini Mkuu? Hiyo asali nalambia wapi mimiUwezi kuona tofauti kama unalamba asali na kwenda na slogan ya kwamba anaupiga mwingi...
Ila uku kwetu 1 kg ya unga wa sembe ni elfu 2 na mchele super utasikia hewani, tunakula CHENGA kama njiwa.
OkayView attachment 2413484
Rais Samia na Mwigulu ni yupi mkweli?!
Hapo juu ni Samia akikiri wazi Tanzania haipo tena uchumi wa kati, imeporomoka na aliahidi atapambana ili ifikapo 2025 uchumi wa Tanzania urejee kwenye daraja la kati.
NB: Teknolojia.
Miaka yote sisi ni maskini mkuu, hata tulipokuwa uchumi wa Kati kama unavyodai, wengi walikuwa hawamudu kula milo mitatu, hizi maneno uchumi wa kati, sijui wa mkia, hayo ni maneno kwenye makaratasi, kuihalisia Watanzania ni maskini, tena maskini kweli, ndio maana nikasema sioni tofauti.Sasa kama unataka kuona utofauti kati ya uchumi wakati na uchumi wa mkiani kesho amka asubuhi nenda dukani utakuta kilo moja ya unga ni 2000 kutoka 1000.Baada ya hapo utaona mgao wa umeme hakuna umeme siku nzima na hakuna maji siku tatu sasa huo ndo uchumi wa mkiani😂😂
Uchumi wa kati haimanishi lazima wote tuwe matajiri lakini kunakuwa na uchumi jumuishi kama mwaka 2017 mpaka 2021 na asilimia kubwa ya wananchi wanashiriki katika keki ya taifa.Kwa taarifa yako hata USA,UK na China pamoja nakuwa superpower hakumanishi hakuna masikini wala hakuna omba omba lakini ombaomba wa huko sio kama wa Tanzania.Miaka yote sisi ni maskini mkuu, hata tulipokuwa uchumi wa Kati kama unavyodai, wengi walikuwa hawamudu kula milo mitatu, hizi maneno uchumi wa kati, sijui wa mkia, hayo ni maneno kwenye makaratasi, kuihalisia Watanzania ni maskini, tena maskini kweli, ndio maana nikasema sioni tofauti.
Sidhani kama anajua cha kufanya. Wakati tunaporomoka anakuwa hajui hadi aambiwe na wataalamu toka nje ya nchi, sasa kama anajua cha kufanya kwanini tumeporomoka?Why 2025 huyu mother naee
Wewe amini unavyoamini, walioleta takwimu kwamba tupo uchumi wa kati ndo hao hao unawaamini wakisema tumeporomoka sasa hatupo uchumi wa kati.Mimi sikuwahi kuamini kama tuliwahi kufika huko uchumi wa kati wa chini ni uongo mtupu.
Mgonjwa Mwingine huyu hapa.Wewe unaongea nini sababu kubwa ya kurudi uchumi wa chini ukiacha Covid ni Sera mbovu za uchumi alizozia adapt Magufuli.
N.B Magufuli amechukua Nchi ikiwa Uchumi wa Kati kwa Taatifa yako
Kitu ambacho unatakiwa kuelewa kwa katiba yetu hii ya mwaka 1977 imemfanya rais ndo kila kitu na ndio maana kila kiongozi katika utkelezaji wa kazi zake utasikia rais katoa ela kufanya hiki mara rais kaagiza hili.Hii namanisha kwamba mfanyakazi yyote hata hawe na uwezo hupi hakuna anachoweza kufanya zaidi ya kufanya rais anayotaka.Na maana yake nikwamba siku tukipata rais ambaye hana mikakati na malengo lazima inchi izame.Na J.K.Nyerere alishasema kwamba kwa katiba hii siku akipatikana rais asiyesahihi lazima tutayumba vilivyo.Kwa hiyo hakuna haja ya kuuliza kama wafanyakazi walizikwa na Magu bali kubali kwamba Magufuri alikuwa dereva sahihi na bora kwa taifa letu.Watumishi wa serikali na hata raia hufanya kazi za uma na taifa kwa ujumla kwa niaba ya Rais.
Ile timu iliyofikisha nchi uchumi wa kati haikufa na kuzikwa katika kaburi la pamoja na Magufuli.
Umasikini wa fikra unasababisha mijadala muhimu ya kulikwamua taifa ijadiliwe kwa ufinyu wa kumtegemea mtu mmoja.
Hili ni tatizo kubwa ambalo mizizi na nira za umasikini zimejikita hapo.
😆Sasa wewe unaweza ukakaa na akili zako kuamini matamko ya mwigulu ?
Ila hapa ndo umeandika ujinga kabisa. Wewe ulitaka wakulima waendelee kuuza gunia 150 za mahindi ndipo wapate Iphone moja??? Are you serious dude?Enzi za Magufuli vyakula vilikuwa bei poa, na kipato kilikuwa kinatosha walau
Sifa ya kuwa CCM ni unafiki.Sasa mbona Mhongo akikariri hayo(Tanzania imeshuka na kwa sasa haipo uchumo wakat) inakuwa nongwa na kuonekana anakisema vibaya chama!?
Utakufa nacho kijiba cha roho!Taahira katika ubora wako
Hivi unaakili kweli?yaani wakulima wauze vyakula bei juu na kuwaumiza watu ndo unaita ukuaji wa uchumi?Ila hapa ndo umeandika ujinga kabisa. Wewe ulitaka wakulima waendelee kuuza gunia 150 za mahindi ndipo wapate Iphone moja??? Are you serious dude?
Chadema ni baba yako?.Ukweli mchungu
Chadema watapinga
Uongo. Acha kusema UONGO.Wewe unaongea nini sababu kubwa ya kurudi uchumi wa chini ukiacha Covid ni Sera mbovu za uchumi alizozia adapt Magufuli.
NB Magufuli amechukua Nchi ikiwa Uchumi wa Kati kwa Taatifa yako