Rais Samia hautapingwa kugombia 2025 ila wana CCM watakupinga mioyoni mwao na watakunyima kura

Rais Samia hautapingwa kugombia 2025 ila wana CCM watakupinga mioyoni mwao na watakunyima kura

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Jakaya kikwete kakuhakikishia kuwa hautapingwa na mtu yoyote kuchukua fomu.

Kweli utachukua fomu na utagombea.

Lakini utapingwa ndani ya mioyo ya wanaCCM wasiopenda ouvu na ufisadi wa kundi lenu. Watakunyima kura.
 
Jakaya kikwete kakuhakikishia kuwa hautapingwa na mtu yoyote kuchukua fomu.

Kweli utachukua fomu na utagombea.

Lakini utapingwa ndani ya mioyo ya wanaCCM wasiopenda ouvu na ufisadi wa kundi lenu. Watakunyima kura
Pole kwa maumivu mkuu
 
wakati wa kufanya maamuzi ni sasa CCM siyo baba au mama yako.
 
..inabidi muanzishe chama au mhamie ktk cha kingine na kusimamisha mgombea mnayemtaka.

..uchaguzi mkuu uko karibu sana na mwaka huu ndio wakati sahihi wa kutambulisha chama kipya na sera zake.
 
Back
Top Bottom