Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Magufuli hakuwa na huu urojo wa kusema waacha mara moja. Madini yanatoroshwa Kwa speed ya Aina yake .wananchi tulie na Rais nae apige mayoweEti anawataka wanaotorosha madini waache mara moja😆🤦🏾♂️
Ni sawa na kuwataka majambazi waache ujambazi mara moja kwasababu umeshindwa kuwakamata!
Kuhusu kumtaja mwendazake, hizo ni politics zake za kuogopa kundi la wale walokuwa wakimuumga mkono mwendazake.
Akamate mmoja anayetorosha madini, ashitakiwe, na kunywangwa mpaka kufa. Utoroshaji utapungua, kama siyo kwisha kabisa.Hatua gani unataka achukue? Kwenye nini? Au ni mradi tu uchangie
Kwa maana hiyo unadhani kuwa nilimaanisha rais mwenyewe ndo aende kukamata?Waziri anafanya kazi gani
Hata afanye au aseme nini; lazima mtafute pa kumpondea sababu nafsi zenu zilishapigwa muhuli wa moto wa kumkataa tangu siku ya kwanza. Samia yupo mpaka sasa sababu ya uamuzi wa Mungu tu, bila yeye asingekuwepo hapo kwa visa vya maadui wa kishetani nyie. Nguvu na kudra za Mungu ni kuu sana kiasi kwamba kuna wengine waliokuwa ikulu kabisa na kufanya kila aina ya hila asiingie ikulu lakini mwishowe, kwa mshangao mkuu uliowaacha vinywa wazi, mama akachukua nchi na kuwaacha wakiwa wanatangatanga tu sasa wasijue hata wanapayuka nini au kusimamia nini.Eti anawataka wanaotorosha madini waache mara moja😆🤦🏾♂️
Ni sawa na kuwataka majambazi waache ujambazi mara moja kwasababu umeshindwa kuwakamata!
Kuhusu kumtaja mwendazake, hizo ni politics zake za kuogopa kundi la wale walokuwa wakimuumga mkono mwendazake.
Kwenye MIGA ndipo nilipomuona Lissu hana maarifa.Lisu alikomaa tutashitakiwa MIGA
Kwa akili yako ndogo hiyo ungemuelewaJe Lissu ?!. Maghufuli na serikalini walimuelewa wakabadilisha sheria.Lisu alikomaa tutashitakiwa MIGA
Hivi Nape anajisikiaje kila mara kuona rais Samia anataja jina la godfather wa kiroboto?
"Waache mara moja." Kauli ya kukosa uthubutu
Magufuli alikuwa mtu wa propaganda tu na kuwafix watanzania hakuna chochote alichikokifanya. Nikikumbuka pale alipolidanganya taifa zima kuwa ametoa kibali Cha kuajiri walimu elfu 13 kumbe hata 1000 hawafiki wakajazwa wale ambao tayari wako kwenye ajira kuongezea idadi. Yule bwa kwa uongo alijaaliwa Sana na watanzania tinapendaga kudanganywa Kama mazuzuMAGUFURI HAPA KWENYE MADINI ALIJITAHODI SANA
Na mzee wa tutashitakiwa MIGA alikuwa ni mtu wa aina ganiMagufuli alikuwa mtu wa propaganda tu na kuwafix watanzania hakuna chochote alichikokifanya. Nikikumbuka pale alipolidanganya taifa zima kuwa ametoa kibali Cha kuajiri walimu elfu 13 kumbe hata 1000 hawafiki wakajazwa wale ambao tayari wako kwenye ajira kuongezea idadi. Yule bwa kwa uongo alijaaliwa Sana na watanzania tinapendaga kudanganywa Kama mazuzu
Kwa hiyo wahuni gang ndio watamuelewa, au sio!?Nyumbu gang hawatakuelewa
Lissu ni mtu anayeamini kwenye utawala wa sheria. Kwani wakati mnasaini hiyo mikataba yaki_chief kimangungo mlikuwa hamjui mnachofanya!? Na hao waliosaini mikataba waswahili wenzenu mbona hamkuwafanya chochote!? Ndio yaleyale ya kuhangaika na mzungu aliyekupiga kwenye bei ya radar huku ukuwachekea waswahili akina chenge na mhuni mwenzake rashid waliokula ganji.Kwenye MIGA ndipo nilipomuona Lissu hana maarifa.
Rais Samia akihutubia kwenye hafla ya utiaji saini mkataba wa uchimbaji madini amesema moto uliowashwa na hayati rais Magufuli kwenye sekta ya madini hautazimika na Tanzania haitarudi nyuma tena kulala usingizi wa pono kama zamani.
Rais amewaonya wote wanaotorosha madini waache mara moja.
My take:
Hivi Nape anajisikiaje kila mara kuona rais Samia anataja jina la godfather wa kiroboto?
Na wewe ni njinga fulani usiye jitambua! Walipata ajira walimu elfu nane wewe unaleta ngonjera hapa! Alikuwa anaajiri kwa awamu! Kama huna jaira jiongeze pumbavu!Magufuli alikuwa mtu wa propaganda tu na kuwafix watanzania hakuna chochote alichikokifanya. Nikikumbuka pale alipolidanganya taifa zima kuwa ametoa kibali Cha kuajiri walimu elfu 13 kumbe hata 1000 hawafiki wakajazwa wale ambao tayari wako kwenye ajira kuongezea idadi. Yule bwa kwa uongo alijaaliwa Sana na watanzania tinapendaga kudanganywa Kama mazuzu
Ndio Rais wetu huyo.Unataarifa kabisa watu wanatorosha madini badala ya kuchukua hatua unasema 'Acheni', SMH