Rais Samia, hili baraza la sasa siyo lako, ni la Magufuli akishauriana na Majaliwa, tengeneza baraza lako!

Ina maana unaunga mkono hizi tozo?
Sio naunga mkono,nimesema sio makini, maana uwezi kusimisha jambo ambalo limeisha tungiwa Sheria na bunge nayeye amesaini, wakati ana watu wakumshauli Kabla hata ya kusainiwa.Samia sio makini hipo siku ataingiza Nchi kwenye machafuko kama atakuwa sio mwangalifu katika maamuzi yake
 
Ndugu rais

Kiungwana niseme kwamba nimefarijika angalau kidogo kwa wewe kuchukua hatua ya kurejea makato ya miamala na kutoa muongozo kuwa makato hayo yaangaliwe upya. Binafsi naona kwamba huo ni usikivu na ni ukomavu. Kwa sababu kiukweli kabisa hii kitu ilikuwa imetukalia vibaya sisi wananchi.

Ndugu rais napenda nikueleze mambo kadhaa ya msingi sana ambalo kama unataka mambo yaende vizuri lazima uyafanyie kazi, mambo yenyewe ni haya yafuatayo

1. Hili baraza ulilonalo si lako ni la Magufuli.

Ni vigumu kuwatune watu waliokwishajiweka katka staili fulani ya uongozi, sasa ghafla bin vuup kwenda katika utawala mwingine wa mtu mwingine, mwenye hulka tofauti. Hawa wa sasa ndugu rais, asante yao iko kwa Magufuli na Majaliwa maana kikatiba ndo walikuwa na mamlaka ya kuunda serikali, Huenda wewe wanakuchukulia kama caretaker president wa kumalizia muhula wa Magufuli.
Mama vunja hilo baraza la mawaziri uliunde upya, usifanye reshuffle ndogo, piga ile kubwa ili tujue kuwa sasa Samia kaweka serikali yake inayotokana na yeye mwenyewe na siyo hii serikali iliyosheheni watu wa Magufuli

2. Usitawale kwa hulka za Magufuli kwa sababu haiba yako na Magufuli ni tofauti na historia zenu ni tofauti.

Magufuli alikuwa ni mtu ambaye alipotaka jambo lake hakujali sheria wala kanuni za mchezo, hakuwa mtu wa haki pale alipoichukia haki na hakuwa mkweli pale alipoona ukweli unamchelewesha na kwa hulka yake ya ubabe hakujali chochote hata kama anaumiza watu namna gani.
Pamoja na hayo Magufuli alikuwa na historia inayombeba, watu walimjua na kumpenda Magufuli sana kabla hajawa rais, kwa hiyo kwa kiasi kikubwa wananchi walikuwa wanajua wana mtu mbabe ofisini anyway. Sasa wewe Rais wetu, wananchi hawana historia yako kubwa zaidi ya umakamu wako wa rais, na kwa haiba yako ni kuwa watu wanategemea kuona mtu muungwana, mstaarabu, mtenda haki. Sasa leo ukibadilika ukajifanya Magufuli wananchi wananusa ufeki.
Mama hiyo njia ya Magufuli wanaiweza watu wenye roho za Kimagufulimagufuli, wewe huiwezi hiyo kwa sababu wewe ni muungwana, una utu. Njia inayokufaa wewe ni kusimama kwenye Kuwaambia ukweli wananchi, hapa unaweza kuazima kwenye namna Mkapa alivyokuwa anawaengage wananchi kuwaeleza ukweli kuhusu utendaji wa serikali yake etc, kama hali ni ngumu waambie watu ukweli, Kama tunakopa hela nje waambie wananchi ukweli, Chagua hata mara moja kila baada ya miezi mitatu uongee na wananchi kama Mkapa alivyokuwa na kawaida ya kuongea na wananchi kila mwisho wa mwezi. Pia tenda HAKI heshimu haki za makundi yote ya kijamii, Kiufupi Simama vizuri kwenye kiapo chako.

3. Kuhusu katiba mpya, kama hofu yako ni kuogopa suala la serikali tatu na hivyo kudhani muungano kukufia mkononi hilo lisikuumize kichwa lete hizohizo mbili "zilizoboreshwa"

Suala la serikali mbili au tatu wananchi waliliona kama nyenzo tu ya kupata civil liberties zaidi, kutokomeza ufisadi zaidi, kuwa na uwakilishi huru na wa haki zaidi, kuyawekea udhibiti madaraka ya rais zaidi. Kwa hiyo kimsingi hili la serikali mbili au Tatu, Ongea na wananchi, waombe hili suala waliache kwanza ila wape Katiba yenye Kuthibiti Maadili ya viongozi ili kuzuia ufisadi, Katiba yenye Mahakama huru, Katiba yenye bunge huru, Katiba yenye tume huru ya uchaguzi, Katiba inayothibiti madaraka na mamlaka ya rais, Katiba yenye masuala yanayogusa maisha ya wananchi moja kwa moja. Hii inaweza kuwa ni compromise nzuri sana baina ya wanaotaka katiba ya Warioba na wale wenye hofu ya katiba ya Warioba. Ili hili lifanikiwe, Simama sasa, beba hiyo ajenda, Washawishi wananchi wavute subira kwenye ushu ya serikali tatu, ila wape wananchi mengine mengi katika katiba mpya ambayo wanayadai kwa nguvu zote

4. Mama usiwasikilize wahafidhina ndani ya CCM, wengi wanalinda matumbo yao.

Hao wanaokushauri uwe bandidu, uwakazie wapinzani, uwe kama Magufuli hawakupi ushauri mzuri, hao wana hofu kuwa ukiwa fair huenda ukawaempower wapinzani na hivyo kujikuta wana wakati mgumu wa kisiasa huko mbele, kwa hiyo wanataka waendelee kubebwa nabeleko ya dola.
Nakushauri utafute wazee wali9kuwa wanajua Kudeal na Wapinzani uwafanye washauri wako wa kisiasa, kuna watu kama Mzee Wassira, mtumie huyo mzee, ni mzuri k nye crisis management, na haogopi kujibu hoja kwa hoja!
Vision nzuri zaidi ni. ile uliyokuwa nayo day one ulipokula kiapo cha urais, vision ya kuwa mtenda haki, mchapakazi, mwanademokrasia, mjenga uchumi imara. Yeyote anayekwambia uachane ma ideals values ulizokuwa nazo katika siku zako 100 za kwanza ofisini, huyo hakutakii mema, anataka kukubadili ufuate njia zao zilizojaa kuogopeshana badala ya njia za matumaini

5. Bila political reforms zinazokwenda sambamba na economic reforms mama hii nchi itakuwia ngumu sana.

Nimekueleza mwenzio aliyekutangulia alishaamua lolote lile, kuumiza watu, kuonea watu, kutumia wasiojulikana, kubambikiza watu kesi, kuvuruga chaguzi, kununua wapinzani, kuwaweka kwenye payroll viongozi wa dini, na kufanya kila aina ya ubandidu ili kulazimisha ukimya ili yeye atawale. Sasa mama wewe hayo hata kama ungetaka kuyafanya, ukiyafanta yatabackfire sana. Ni heri sasa ukaanzisha political reforms ili kuituliza hii nchi, ongea na wapinzani, ruhusu mikutano yao ya siasa ambayo ni haki yao. Na wewe unda Timu yalo ya CCM ambayo iko konki ikajibu hoja kwa hoja huko kwa wananchi. Tumia staili ya CCM ya Nape na Mzee Kinana, Kajibuni hoja kwa wananchi. Hapo wananchi wataiheshimu na kuipenda serikali yako, maana wataona ni Serikali inayojiamini.
Usipofanya hivyo utakutana na makundi powerful ya kijamii kama vile Kanisa Katoliki, Kanisa la Kilutheri, Asasi za Kiraia zitapaza sauti kuinyooshea kidole serikali yako na irajikuta katika wakati mgumu mbele ya wananchi, na ukishindwa kumanage poitical process inayoambatana na reforms za kiuchumi zenye kuwapa wananchi unafuu wa maisha utapambana na riots za mara kwa mara za wananchi.

Mwisho kabisa
Mama sisi tunakupenda sana, yaani tinataka ufanikiwe kwelikweli, tulifurahishwa mno na jinsi ulivyofanya mambo mazuri kwenye miezi yako mitatu ofisini. Sasa tunakuomba usisikilize zile sauti za kukutia Hofu eti ukiwa fair kama katiba inavyokutaka uwe basi eti wapinzani watapata nguvu. Wapinzani watapata nguvu kama nyie hamkidhi matarajio ya wananchi, lakini iwapo mtatenda Haki, Mkajenga uchumi, Mkawa na utawala bora, Mkapiga vita ufisadi, Mkaheshimu haki za wananchi na kuwaheshimu wananchi mbona mtakubalika tu!

Mkuu samahani Tuwe tuu wakweli...
Hilo la serikali 3 nani Analitaka?
Ni wananchi gani hao unaozungumzia?
Isijekuwa unazungumzia maslahi ya Upinzani ndio unasema ni Wananchi!
Wananchi wanataka maendela maji,Elimu afya,Ajira,Nk Nyie wasomi tena wachache mnalazimisha muonekane ndio sauti ya Wananchi! Wanaotaka Serikali 3!
Hahaha Kweli???
Wananchi wa Kantalamba,Budalabujiga,Muhida,Nyasamba,Wanataka serikali 3???
Masalhi ya wanasiasa hayo
 
Huu ushauri mnampa mkidhani kuwa yeye ni malaika?
Hata kama amerithi baraza, nakuhakikiahia hakuna anayeweza kwenda kinyume na matakwa yake. Tuache uongo wa kusema eti wanamharibia
Nakutolea mfano: hilohilo baraza kipindi Cha Magufuli walikuwa hawavai barakoa na wakiamini kuwa corona haipo
Alivyoibgia mama na kusema corona ipo wote umeona walivyobadili gia
Hii inaonyesha kuwa mawaziri na watendaji wote wa serikali hufuata anayotaka boss wao
Hivyo tuache kuhisi eti Hawa mawaziri wanafanya kwa kujiamria tu

Kuvaa barakoa hakuna madhara ya mlo wao, inapofika kwenye eneo la mlo wa ndio wanamvimbia huyo mama. Na kwakuwa mama karithi madaraka basi wanamtisha afuate misingi ya udhalimu.
 
Sio lazima utamtaje JPM ili kujenga hoja yako ya kitoto. Wateuliwa wote wameapishwa na mama, mbele ya camera na kadamnasi.

Tumuombe mama asimame yeye kaka yeye, na atafanikiwa. Akiwaruhusu wasaka tonge karibu yake, amekwisha
Acha uongo,sio mawaziri wote kawaapisha Samia, kawaapisha baadhi aliwabadilisha wizara tu,akina Jafo,Mwalimu,na wa utumishi,sio wote wameapishwa naye, nimesema kama anataka kuunda baraza lake la mawaziri, avunje bunge haitishe uchaguzi mpya.
 
Kila mtu huchagua timu kwa vigezo vyake.
Huyu kaikumbatia timu ya Magufuli akidhani itaenda na kasi yake kumbe inaanza kumzingua ndiyo maana

1. Waziri wa Mawasiliano Ndungulile alikukuja na bei za juu za bando, Mama akaingilia kati, lakini Ndungulile kauchuna utadhani hakuhusika

2. LNdungulile kwzunguuka kaja na masuala ya hela ya kuchaji laini

3. Mwigulu anatupiga sound kuwa hii kodi ya miamala ni. kodi nzuri sana ya uzalendo, baadae kelele za umma zinakuwa nyingi, Mwigulu anakuja na kiswahili kipya na bado yuko ofisini

4. Majuzi kwrnye umeme LUKU inazingua, na Waziri wa Nishati yuko. ofisini

5. Waziri wa michezo anaingilia mechi ya Simva na Yanga, wananchi wanalalamika na timu zinaingia hasara, Waziri bado yuko ofisini

6. Waziri wa Afya miezi michache iliyopita anatufundisha namna ya kujifukiza, barakoa alikuwa havai, lakinj leo kabadili stratergy

7. Waziri Mkuu ambaye ndiye kiongozi mkuu wa shughuli za serikali bungeni tunaona miswada ya kuwaumiza wananchi inapita tu huko bungeni anashindwa kujali maslahi ya wananchi na kujua kuwa wananchi wataumia kwa hizi kodi.
Halafu eti kiusanii waziri mkuu atafanya kikao. na waziri wa fedha na waziri wa mawasiliano kujadili hizi tozo. Walikuwa wapi wakati hizi sheria zikipita huko bungeni?

Ndiyo maana tunasea ni. kuda sada Samia aunde serikali yake aisuke upya, Jii ya sasa ipo kwenye confusion mode, yaani kutoka kufanya kazi na mrawala mmoja kwenda kwa mwingine wenye haiba tofauti
7. Unasema waziri mkuu anaona tu muswada unapita bila kufanya jambo alafu anakuja kuitisha kikao, sawa waziri mkuu ana kosa. Ila ili muswada uwe Sheria ni lazima raisi asaini
Ilipaswa kabla ya raisi kusaini apitie hizo zinazoenda kuwa sheria mpya ili zisiumize wananchi
Kama raisi alisaini na yeye ni sehemu ya tatizo
 
Kuvaa barakoa hakuna madhara ya mlo wao, inapofika kwenye eneo la mlo wa ndio wanamvimbia huyo mama. Na kwakuwa mama karithi madaraka basi wanamtisha afuate misingi ya udhalimu.
Mkuu hakuna wa kumvimbia raisi HAKUNA. Ndio maana alipoingia uliona ametoa karibu kila mtu aliyeona hamfai pale ikulu
Jambo lolote la kitaifa lina baraka zote za raisi
 
Acha uongo,sio mawaziri wote kawaapisha Samia, kawaapisha baadhi aliwabadilisha wizara tu,akina Jafo,Mwalimu,na wa utumishi,sio wote wameapishwa naye, nimesema kama anataka kuunda baraza lake la mawaziri, avunje bunge haitishe uchaguzi mpya.
Lakini pia bado nawaza hilo baraza ambalo watu wanang'ang'ani aunde linakosaje Hawa waliokuwepo? Hawa mawaziri waliokuwepo ndio wenye afadhali zaidi ya hapo atajikuta anawateua akina musukuma, riziwani, shonza, kigwangalla, kibajaji n.k
 
Kiuhalisia huyu mama bado ni makamu wa rais ila kikatiba ndo tunajidanganya hivyo na tambua kaukaimu huo urais. huu ushauri utakuwa na maana siku akichaguliwa kupitia sanduku la kura.

Kwa sasa mwache amalizie Mambo ya magufuli Mungu akimjaalia uzima akashinda 2025 ndo ulifufue hili andiko lako.

Sawa eeeh??

Usisahau kujifukiza corona inaua.
 
Huu ushauri mnampa mkidhani kuwa yeye ni malaika?
Hata kama amerithi baraza, nakuhakikiahia hakuna anayeweza kwenda kinyume na matakwa yake. Tuache uongo wa kusema eti wanamharibia
Nakutolea mfano: hilohilo baraza kipindi Cha Magufuli walikuwa hawavai barakoa na wakiamini kuwa corona haipo
Alivyoibgia mama na kusema corona ipo wote umeona walivyobadili gia
Hii inaonyesha kuwa mawaziri na watendaji wote wa serikali hufuata anayotaka boss wao
Hivyo tuache kuhisi eti Hawa mawaziri wanafanya kwa kujiamria tu

Kwa lugha nyingine ni kwamba CCM imejaa mabozongwa!
 
Ndugu rais

Kiungwana niseme kwamba nimefarijika angalau kidogo kwa wewe kuchukua hatua ya kurejea makato ya miamala na kutoa muongozo kuwa makato hayo yaangaliwe upya. Binafsi naona kwamba huo ni usikivu na ni ukomavu. Kwa sababu kiukweli kabisa hii kitu ilikuwa imetukalia vibaya sisi wananchi.

Ndugu rais napenda nikueleze mambo kadhaa ya msingi sana ambalo kama unataka mambo yaende vizuri lazima uyafanyie kazi, mambo yenyewe ni haya yafuatayo

1. Hili baraza ulilonalo si lako ni la Magufuli.

Ni vigumu kuwatune watu waliokwishajiweka katka staili fulani ya uongozi, sasa ghafla bin vuup kwenda katika utawala mwingine wa mtu mwingine, mwenye hulka tofauti. Hawa wa sasa ndugu rais, asante yao iko kwa Magufuli na Majaliwa maana kikatiba ndo walikuwa na mamlaka ya kuunda serikali, Huenda wewe wanakuchukulia kama caretaker president wa kumalizia muhula wa Magufuli.
Mama vunja hilo baraza la mawaziri uliunde upya, usifanye reshuffle ndogo, piga ile kubwa ili tujue kuwa sasa Samia kaweka serikali yake inayotokana na yeye mwenyewe na siyo hii serikali iliyosheheni watu wa Magufuli

2. Usitawale kwa hulka za Magufuli kwa sababu haiba yako na Magufuli ni tofauti na historia zenu ni tofauti.

Magufuli alikuwa ni mtu ambaye alipotaka jambo lake hakujali sheria wala kanuni za mchezo, hakuwa mtu wa haki pale alipoichukia haki na hakuwa mkweli pale alipoona ukweli unamchelewesha na kwa hulka yake ya ubabe hakujali chochote hata kama anaumiza watu namna gani.
Pamoja na hayo Magufuli alikuwa na historia inayombeba, watu walimjua na kumpenda Magufuli sana kabla hajawa rais, kwa hiyo kwa kiasi kikubwa wananchi walikuwa wanajua wana mtu mbabe ofisini anyway. Sasa wewe Rais wetu, wananchi hawana historia yako kubwa zaidi ya umakamu wako wa rais, na kwa haiba yako ni kuwa watu wanategemea kuona mtu muungwana, mstaarabu, mtenda haki. Sasa leo ukibadilika ukajifanya Magufuli wananchi wananusa ufeki.
Mama hiyo njia ya Magufuli wanaiweza watu wenye roho za Kimagufulimagufuli, wewe huiwezi hiyo kwa sababu wewe ni muungwana, una utu. Njia inayokufaa wewe ni kusimama kwenye Kuwaambia ukweli wananchi, hapa unaweza kuazima kwenye namna Mkapa alivyokuwa anawaengage wananchi kuwaeleza ukweli kuhusu utendaji wa serikali yake etc, kama hali ni ngumu waambie watu ukweli, Kama tunakopa hela nje waambie wananchi ukweli, Chagua hata mara moja kila baada ya miezi mitatu uongee na wananchi kama Mkapa alivyokuwa na kawaida ya kuongea na wananchi kila mwisho wa mwezi. Pia tenda HAKI heshimu haki za makundi yote ya kijamii, Kiufupi Simama vizuri kwenye kiapo chako.

3. Kuhusu katiba mpya, kama hofu yako ni kuogopa suala la serikali tatu na hivyo kudhani muungano kukufia mkononi hilo lisikuumize kichwa lete hizohizo mbili "zilizoboreshwa"

Suala la serikali mbili au tatu wananchi waliliona kama nyenzo tu ya kupata civil liberties zaidi, kutokomeza ufisadi zaidi, kuwa na uwakilishi huru na wa haki zaidi, kuyawekea udhibiti madaraka ya rais zaidi. Kwa hiyo kimsingi hili la serikali mbili au Tatu, Ongea na wananchi, waombe hili suala waliache kwanza ila wape Katiba yenye Kuthibiti Maadili ya viongozi ili kuzuia ufisadi, Katiba yenye Mahakama huru, Katiba yenye bunge huru, Katiba yenye tume huru ya uchaguzi, Katiba inayothibiti madaraka na mamlaka ya rais, Katiba yenye masuala yanayogusa maisha ya wananchi moja kwa moja. Hii inaweza kuwa ni compromise nzuri sana baina ya wanaotaka katiba ya Warioba na wale wenye hofu ya katiba ya Warioba. Ili hili lifanikiwe, Simama sasa, beba hiyo ajenda, Washawishi wananchi wavute subira kwenye ushu ya serikali tatu, ila wape wananchi mengine mengi katika katiba mpya ambayo wanayadai kwa nguvu zote

4. Mama usiwasikilize wahafidhina ndani ya CCM, wengi wanalinda matumbo yao.

Hao wanaokushauri uwe bandidu, uwakazie wapinzani, uwe kama Magufuli hawakupi ushauri mzuri, hao wana hofu kuwa ukiwa fair huenda ukawaempower wapinzani na hivyo kujikuta wana wakati mgumu wa kisiasa huko mbele, kwa hiyo wanataka waendelee kubebwa nabeleko ya dola.
Nakushauri utafute wazee wali9kuwa wanajua Kudeal na Wapinzani uwafanye washauri wako wa kisiasa, kuna watu kama Mzee Wassira, mtumie huyo mzee, ni mzuri k nye crisis management, na haogopi kujibu hoja kwa hoja!
Vision nzuri zaidi ni. ile uliyokuwa nayo day one ulipokula kiapo cha urais, vision ya kuwa mtenda haki, mchapakazi, mwanademokrasia, mjenga uchumi imara. Yeyote anayekwambia uachane ma ideals values ulizokuwa nazo katika siku zako 100 za kwanza ofisini, huyo hakutakii mema, anataka kukubadili ufuate njia zao zilizojaa kuogopeshana badala ya njia za matumaini

5. Bila political reforms zinazokwenda sambamba na economic reforms mama hii nchi itakuwia ngumu sana.

Nimekueleza mwenzio aliyekutangulia alishaamua lolote lile, kuumiza watu, kuonea watu, kutumia wasiojulikana, kubambikiza watu kesi, kuvuruga chaguzi, kununua wapinzani, kuwaweka kwenye payroll viongozi wa dini, na kufanya kila aina ya ubandidu ili kulazimisha ukimya ili yeye atawale. Sasa mama wewe hayo hata kama ungetaka kuyafanya, ukiyafanta yatabackfire sana. Ni heri sasa ukaanzisha political reforms ili kuituliza hii nchi, ongea na wapinzani, ruhusu mikutano yao ya siasa ambayo ni haki yao. Na wewe unda Timu yalo ya CCM ambayo iko konki ikajibu hoja kwa hoja huko kwa wananchi. Tumia staili ya CCM ya Nape na Mzee Kinana, Kajibuni hoja kwa wananchi. Hapo wananchi wataiheshimu na kuipenda serikali yako, maana wataona ni Serikali inayojiamini.
Usipofanya hivyo utakutana na makundi powerful ya kijamii kama vile Kanisa Katoliki, Kanisa la Kilutheri, Asasi za Kiraia zitapaza sauti kuinyooshea kidole serikali yako na irajikuta katika wakati mgumu mbele ya wananchi, na ukishindwa kumanage poitical process inayoambatana na reforms za kiuchumi zenye kuwapa wananchi unafuu wa maisha utapambana na riots za mara kwa mara za wananchi.

Mwisho kabisa
Mama sisi tunakupenda sana, yaani tinataka ufanikiwe kwelikweli, tulifurahishwa mno na jinsi ulivyofanya mambo mazuri kwenye miezi yako mitatu ofisini. Sasa tunakuomba usisikilize zile sauti za kukutia Hofu eti ukiwa fair kama katiba inavyokutaka uwe basi eti wapinzani watapata nguvu. Wapinzani watapata nguvu kama nyie hamkidhi matarajio ya wananchi, lakini iwapo mtatenda Haki, Mkajenga uchumi, Mkawa na utawala bora, Mkapiga vita ufisadi, Mkaheshimu haki za wananchi na kuwaheshimu wananchi mbona mtakubalika tu!
Uandishi uliotukuka na points tupu. Mimi nilishaimba kabisa kuwa Mh. Rais hayuko na wateule wake bali aliazima. Nguo ya kuazima haisitiri ma ta ko. Bado wapo katika maombolezo kwa aliyewateua. Bado wengi wao walimtaka Bwana Yule achukue nafasi yako. Wewe mama unajua yaliyopangwa na yasitimie.
Mama bomoa hiyo nyumba Jenga yako. Nyumba uliyokodi inakuhujumu.

Mama huku mtaani toka uapishwe maji ya kutoka kila siku leo mgawo; umeme ni hautaburiki kwa siku kukatika hata mara 10; Mafuta ya Kula ni mtihani,; Mafuta ya vyombo vya Moto usiombe na sasa funga kazi miamala.
Kuna watu walishapanga 2025 ndiyo wagombea urais hivyo ni lazima uchafuke ili tukutupe.

Watu hao hawako na wewe kimatendo kabisa. Wanayo mitandao yao ya kujadili mbinu za kukudhoofisha.
Mama amka tunakupenda mno.
 
7. Unasema waziri mkuu anaona tu muswada unapita bila kufanya jambo alafu anakuja kuitisha kikao, sawa waziri mkuu ana kosa. Ila ili muswada uwe Sheria ni lazima raisi asaini
Ilipaswa kabla ya raisi kusaini apitie hizo zinazoenda kuwa sheria mpya ili zisiumize wananchi
Kama raisi alisaini na yeye ni sehemu ya tatizo
Hapa tunafuata ushauri wa Mwalimu kuwa kumbadili Waziri Mkuu nchi haiwezi kuyumba ila kumbadili rais nchi itayumba
Tudeal kwanza na huyu waziri mkuu aliyeshindwa kutimiza wajibu wake bungeni!
 
Unataka kusema Rais amekosea kwasababu ya maamuzi ya kupitia upya tozo za simu na shutuma unatupia baraza la mawaziri, ukumbuke ni yeye ndie alieweka saini yake kuruhusu hizo tozo zianze kutumika na akatuambia zinatakiwa kwaajili ya kuendeleza barabara huko vijijini.
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara 99 kifungu cha 1 kinasema hivi
Screenshot_20210719-135750_Adobe%20Acrobat.jpg
 
Mkuu hakuna wa kumvimbia raisi HAKUNA. Ndio maana alipoingia uliona ametoa karibu kila mtu aliyeona hamfai pale ikulu
Jambo lolote la kitaifa lina baraka zote za raisi
Ni kweli, ila sio kwa urais wa kurithi.
 
Kuna kundi analiogopa sana ndani ya chama chake, hili ndilo linamwaribia. Hili kundi lipo kupigania legacy ya bwana wao. Halitakaa limwelewe hata siku moja, anajichosha bure kujaribu kuliridhisha.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ndugu rais

Kiungwana niseme kwamba nimefarijika angalau kidogo kwa wewe kuchukua hatua ya kurejea makato ya miamala na kutoa muongozo kuwa makato hayo yaangaliwe upya. Binafsi naona kwamba huo ni usikivu na ni ukomavu. Kwa sababu kiukweli kabisa hii kitu ilikuwa imetukalia vibaya sisi wananchi.

Ndugu rais napenda nikueleze mambo kadhaa ya msingi sana ambalo kama unataka mambo yaende vizuri lazima uyafanyie kazi, mambo yenyewe ni haya yafuatayo

1. Hili baraza ulilonalo si lako ni la Magufuli
Ni vigumu kuwatune watu waliokwishajiweka katka staili fulani ya uongozi, sasa ghafla bin vuup kwenda katika utawala mwingine wa mtu mwingine, mwenye hulka tofauti. Hawa wa sasa ndugu rais, asante yao iko kwa Magufuli na Majaliwa maana kikatiba ndo walikuwa na mamlaka ya kuunda serikali, Huenda wewe wanakuchukulia kama caretaker president wa kumalizia muhula wa Magufuli.
Mama vunja hilo baraza la mawaziri uliunde upya, usifanye reshuffle ndogo, piga ile kubwa ili tujue kuwa sasa Samia kaweka serikali yake inayotokana na yeye mwenyewe na siyo hii serikali iliyosheheni watu wa Magufuli

2. Usitawale kwa hulka za Magufuli kwa sababu haiba yako na Magufuli ni tofauti na historia zenu ni tofauti
Magufuli alikuwa ni mtu ambaye alipotaka jambo lake hakujali sheria wala kanuni za mchezo, hakuwa mtu wa haki pale alipoichukia haki na hakuwa mkweli pale alipoona ukweli unamchelewesha na kwa hulka yake ya ubabe hakujali chochote hata kama anaumiza watu namna gani.

Pamoja na hayo Magufuli alikuwa na historia inayombeba, watu walimjua na kumpenda Magufuli sana kabla hajawa rais, kwa hiyo kwa kiasi kikubwa wananchi walikuwa wanajua wana mtu mbabe ofisini anyway. Sasa wewe Rais wetu, wananchi hawana historia yako kubwa zaidi ya umakamu wako wa rais, na kwa haiba yako ni kuwa watu wanategemea kuona mtu muungwana, mstaarabu, mtenda haki. Sasa leo ukibadilika ukajifanya Magufuli wananchi wananusa ufeki.

Mama hiyo njia ya Magufuli wanaiweza watu wenye roho za Kimagufulimagufuli, wewe huiwezi hiyo kwa sababu wewe ni muungwana, una utu. Njia inayokufaa wewe ni kusimama kwenye Kuwaambia ukweli wananchi, hapa unaweza kuazima kwenye namna Mkapa alivyokuwa anawaengage wananchi kuwaeleza ukweli kuhusu utendaji wa serikali yake etc, kama hali ni ngumu waambie watu ukweli, Kama tunakopa hela nje waambie wananchi ukweli, Chagua hata mara moja kila baada ya miezi mitatu uongee na wananchi kama Mkapa alivyokuwa na kawaida ya kuongea na wananchi kila mwisho wa mwezi. Pia tenda HAKI heshimu haki za makundi yote ya kijamii, Kiufupi Simama vizuri kwenye kiapo chako.

3. Kuhusu katiba mpya, kama hofu yako ni kuogopa suala la serikali tatu na hivyo kudhani muungano kukufia mkononi hilo lisikuumize kichwa lete hizohizo mbili "zilizoboreshwa"
Suala la serikali mbili au tatu wananchi waliliona kama nyenzo tu ya kupata civil liberties zaidi, kutokomeza ufisadi zaidi, kuwa na uwakilishi huru na wa haki zaidi, kuyawekea udhibiti madaraka ya rais zaidi. Kwa hiyo kimsingi hili la serikali mbili au Tatu, Ongea na wananchi, waombe hili suala waliache kwanza ila wape Katiba yenye Kuthibiti Maadili ya viongozi ili kuzuia ufisadi, Katiba yenye Mahakama huru, Katiba yenye bunge huru, Katiba yenye tume huru ya uchaguzi, Katiba inayothibiti madaraka na mamlaka ya rais, Katiba yenye masuala yanayogusa maisha ya wananchi moja kwa moja. Hii inaweza kuwa ni compromise nzuri sana baina ya wanaotaka katiba ya Warioba na wale wenye hofu ya katiba ya Warioba. Ili hili lifanikiwe, Simama sasa, beba hiyo ajenda, Washawishi wananchi wavute subira kwenye ushu ya serikali tatu, ila wape wananchi mengine mengi katika katiba mpya ambayo wanayadai kwa nguvu zote

4. Mama usiwasikilize wahafidhina ndani ya CCM, wengi wanalinda matumbo yao
Hao wanaokushauri uwe bandidu, uwakazie wapinzani, uwe kama Magufuli hawakupi ushauri mzuri, hao wana hofu kuwa ukiwa fair huenda ukawaempower wapinzani na hivyo kujikuta wana wakati mgumu wa kisiasa huko mbele, kwa hiyo wanataka waendelee kubebwa nabeleko ya dola.

Nakushauri utafute wazee wali9kuwa wanajua Kudeal na Wapinzani uwafanye washauri wako wa kisiasa, kuna watu kama Mzee Wassira, mtumie huyo mzee, ni mzuri kwenye crisis management, na haogopi kujibu hoja kwa hoja!

Vision nzuri zaidi ni ile uliyokuwa nayo day one ulipokula kiapo cha urais, vision ya kuwa mtenda haki, mchapakazi, mwanademokrasia, mjenga uchumi imara. Yeyote anayekwambia uachane na ideals values ulizokuwa nazo katika siku zako 100 za kwanza ofisini, huyo hakutakii mema, anataka kukubadili ufuate njia zao zilizojaa kuogopeshana badala ya njia za matumaini

5. Bila political reforms zinazokwenda sambamba na economic reforms mama hii nchi itakuwia ngumu sana
Nimekueleza mwenzio aliyekutangulia alishaamua lolote lile liwalo na liwe, kuumiza watu, kuonea watu, kutumia wasiojulikana, kubambikiza watu kesi, kuvuruga chaguzi, kununua wapinzani, kuwaweka kwenye payroll viongozi wa dini, na kufanya kila aina ya ubandidu ili kulazimisha ukimya ili yeye atawale. Sasa mama wewe hayo hata kama ungetaka kuyafanya, ukiyafanya yatabackfire sana. Ni heri sasa ukaanzisha political reforms ili kuituliza hii nchi, ongea na wapinzani, ruhusu mikutano yao ya siasa ambayo ni haki yao. Na wewe unda Timu yalo ya CCM ambayo iko konki ikajibu hoja kwa hoja huko kwa wananchi. Tumia staili ya CCM ya Nape na Mzee Kinana, Kajibuni hoja kwa wananchi. Hapo wananchi wataiheshimu na kuipenda serikali yako, maana wataona ni Serikali inayojiamini.

Usipofanya hivyo utakutana na makundi powerful ya kijamii kama vile Kanisa Katoliki, Kanisa la Kilutheri, Asasi za Kiraia zitapaza sauti kuinyooshea kidole serikali yako na itajikuta katika wakati mgumu mbele ya wananchi, na ukishindwa kumanage political process inayoambatana na reforms za kiuchumi zenye kuwapa wananchi unafuu wa maisha utapambana na riots za mara kwa mara za wananchi.

Mwisho kabisa
Mama sisi tunakupenda sana, yaani tinataka ufanikiwe kwelikweli, tulifurahishwa mno na jinsi ulivyofanya mambo mazuri kwenye miezi yako mitatu ofisini. Sasa tunakuomba usisikilize zile sauti za kukutia hofu eti ukiwa fair kama katiba inavyokutaka uwe basi eti wapinzani watapata nguvu. Wapinzani watapata nguvu kama nyie hamkidhi matarajio ya wananchi, lakini iwapo mtatenda Haki, Mkajenga uchumi, Mkawa na utawala bora, Mkapiga vita ufisadi, Mkaheshimu haki za wananchi na kuwaheshimu wananchi mbona mtakubalika tu!
Wewe on Nape
 
Pumba tupu
 
7. Unasema waziri mkuu anaona tu muswada unapita bila kufanya jambo alafu anakuja kuitisha kikao, sawa waziri mkuu ana kosa. Ila ili muswada uwe Sheria ni lazima raisi asaini
Ilipaswa kabla ya raisi kusaini apitie hizo zinazoenda kuwa sheria mpya ili zisiumize wananchi
Kama raisi alisaini na yeye ni sehemu ya tatizo
Hili Rais alilijua kabisa na alisaini, labda kama alisaini bila kusoma na kuelewa, kitu ambacho ni kosa kubwa pia na inashangaza
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom