Nchi hii imepiganiwa, damu za watu zilimwagika ili iwe urithi wa wawatoto na wajukuu na vitukuu vyetuAmeiuzaje? Shilingi ngapi? Makabidhiano yanafanyika lini? Kwa utaratibu upi?
Mkuu unabishana tu kuunga mkono au unajenga hoja?
Wageni gani wamerithishwa sehemu ya nchi yetu? Wamerithishwaje?Nchi hii imepiganiwa, damu za watu zilimwagika ili iwe urithi wa wawatoto na wajukuu na vitukuu vyetu
Unapoamua kuwarithisha wageni sehemu na ama eneo lolote la nchi yetu kwa mkataba usioisha, maana yake unaanza kuondoa uhalali wa sisi kama watanzania kuwa huru katika nchi yetu na kwamba unakaribisha wageni nao wawe sehemu ya urithi usio urithi wao!
Hiyo ndiyo maana ya kuiuza nchi
Mwacheni samia wetu achape kazi bwana kila siku mambo yale yale mnaandika.Badala ya kushauri nini kifanyike mnalaumu tu ''hata lini mtaendelea kulaumu ?Jueni kwamba dakika 90 bado hazijaisha ni swala la mda tu samia atang'ara.Kwa mujibu wa kipengele hiki kilichopo kwenye IGA kati ya Tanzania na Dubai Ports kuna nchi inayoitwa "Tanzania" ambayo Rais Samia ameuza special economic areas zake zote kwa DP World.
View attachment 2702883
Sasa naomba kukuuliza Rais Samia. Hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyouza operations zote za special economic zones including land, Water and Air space kwa Dubai Ports. Je, ni hii hii inayoitwa The United Republic of Tanzania?
Nikuulize swali la mwisho. Uliposaini huu mkataba ulikuwa unajua unachokifanya?
Kwa hili amechemsha vibaya mnoMwacheni samia wetu achape kazi bwana kila siku mambo yale yale mnaandika.Badala ya kushauri nini kifanyike mnalaumu tu ''hata lini mtaendelea kulaumu ?Jueni kwamba dakika 90 bado hazijaisha ni swala la mda tu samia atang'ara.
Mungu akubariki 👏Kwa mujibu wa kipengele hiki kilichopo kwenye IGA kati ya Tanzania na Dubai Ports kuna nchi inayoitwa "Tanzania" ambayo Rais Samia ameuza special economic areas zake zote kwa DP World.
View attachment 2702883
Sasa naomba kukuuliza Rais Samia. Hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyouza operations zote za special economic zones including land, Water and Air space kwa Dubai Ports. Je, ni hii hii inayoitwa The United Republic of Tanzania?
Nikuulize swali la mwisho. Uliposaini huu mkataba ulikuwa unajua unachokifanya?
Ana washauri wake wakiboronga tunapiga spanaMwacheni samia wetu achape kazi bwana kila siku mambo yale yale mnaandika.Badala ya kushauri nini kifanyike mnalaumu tu ''hata lini mtaendelea kulaumu ?Jueni kwamba dakika 90 bado hazijaisha ni swala la mda tu samia atang'ara.
Wewe acha maswali ya kijinga!Ameiuzaje? Shilingi ngapi? Makabidhiano yanafanyika lini? Kwa utaratibu upi?
wasomi hatulaumu kilichopita bali tunajivunia tulichonacho yajayo ni majaliwa ya mungu.Kwa hili amechemsha vibaya mno
Wewe mwehu, Kwaiyo wewe ndiyo unajua sana sheria kuliko Isa Shivji,Tundu Lissu na Dr Lugemeleza Nshala!!Kama sio mwanasheria utasimbuliwa na hicho kitu
Ila kwa Wanasheria tunaojua maana ya judicial notice hapo tunakuona mjinga tu ambaye huna hoja na unapuyanga tu
Wewe acha maswali ya kijinga!
Samia alipoenda Dubai kusaini huo mkataba alitujulisha ?!
Mbona alienda kimya kimya!
Akimaliza Urais wake 2025 anaweza kwenda kuishi Dubai yeye na akina Mbarawa ila sisi hatuna pa kwenda!
Watu wenye akili wanapozungumza kaa mbali au nenda kamsikilize Wassira na Sofia Mjema ndo level zako na CCM yetu!
Siku hizi wanasheria wapo wangi na vilaza kama ww mpo wengi tuKama sio mwanasheria utasimbuliwa na hicho kitu
Ila kwa Wanasheria tunaojua maana ya judicial notice hapo tunakuona mjinga tu ambaye huna hoja na unapuyanga tu