macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Mkuu Kafulila naye kulikuwa na tatizo? Tatizo gani?Hao wanao mshauri rais wameonyesha udhaifu mkubwa na kumufanya rais aonekane siyo makini.
Hivyi si kuna sifa zimeanishwa kwa kila nafasi inayo tangazwa? Kama ni hivyo ni nani anamletea hao watu wasio na sifa?.Huyo anza naye.
Kabla ya uteuzi si wateule wote hufanyiwa vetting ya kutosha? Au wanaokwotwa tu?
Inasikitisha sana kosa lilianziwa kwa yule wa TPDC, akaja Kafulila, imekuja tena hili la katibu tawala.
Tumeona mpaka waraka toka Ikulu unatolewa umekosewa tarehe.
Watu wa Ikulu na wengine mnao husika msimvunjie heshima rais wetu.
Wewe naye unaunga unga mkono hoja bila kufikiri. Kateuwa watu 26 kuwa Ma-RAS. kati ya hao 1 tu ndiye kaonekana hastahili.Umeandika kombora kubwa mkuu, nadhani akiiona hii komenti yako, hatakosea tena
Katibu wa Rais nakuomba sana uwe serious na wajibu wako, wewe ndio mtu wa mwisho kukagua hizi document sasa haya madudu huyaoni kweli, haya na kazi iendeleeUmeandika kombora kubwa mkuu, nadhani akiiona hii komenti yako, hatakosea tena
Mkuu umeliona hilo!! laiti kama mama hangekuwa na mauzoefu ya kazi za kiofisi jamaa angekuwa RS. Kwa mapungufu haya 3 ningekuwa ndio mimi, huyo msaidizi wangu wa masuala ya documention ningemtumbua.aisee huyu alikuwa anachomekwa kijinga. hana qualification zozote zile. mtu kaishia secondary awe katib tawalam what the hell?
umakin unahitajika hapa
Ha ha ha wapi huko? Kwa Ndugayy?Dah kwa wasifu/cv alioweka mdau hapo juu hastahili kabisa nafasi ya katibu tawala wa mkoa.
Aendelee kubaki hukohuko ambako inatakiwa ujue kusoma na kuandika tu.
Kwa Viongozi pia wana machujio haya;vyombo vinavyo msaidia Mhe.Rais vinapaswa viongeze umakini.
Mbona kuna kiongozi alituaminisha kuwa wateuliwa huwa wanapitia kwenye machujio matatu? au inakuaje ?
Bungeni mkuu kwa mzee wa Kongwa, maana haingii akilini uongoze mkoa/ofisi yenye watu wenye elimu zao wakati ni form four B.Ha ha ha wapi huko? Kwa Ndugaay?
Nchi ngumu sana hii ndugu yangu.Bungeni mkuu kwa mzee wa Kongwa, maana haingii akilini uongoze mkoa/ofisi yenye watu wenye elimu zao wakati ni form four B.
Inasikitisha kosa la tatu hili looks like watu wananmchomekea mama as wanajua hasomi.Hao wanao mshauri rais wameonyesha udhaifu mkubwa na kumufanya rais aonekane siyo makini.
Hivyi si kuna sifa zimeanishwa kwa kila nafasi inayo tangazwa? Kama ni hivyo ni nani anamletea hao watu wasio na sifa?.Huyo anza naye.
Kabla ya uteuzi si wateule wote hufanyiwa vetting ya kutosha? Au wanaokwotwa tu?
Inasikitisha sana kosa lilianziwa kwa yule wa TPDC, akaja Kafulila, imekuja tena hili la katibu tawala.
Tumeona mpaka waraka toka Ikulu unatolewa umekosewa tarehe.
Watu wa Ikulu na wengine mnao husika msimvunjie heshima rais wetu.
Hakika kiongozi na tusipofanya marekebisho ya mambo (ikiwemo kupata katiba mpya) tunasafari ndefu sana.Nchi ngumu sana hii ndugu yangu.
Hata ule mkataba wa bomba sijui Kama ameusoma na kuuelewa usikute kasaini tuHii ndo tabia ya kusaini mkataba kabla ya kuusoma na kuuelewa.
Rais hapaswi kukosea kirejareja namna hiyo. Ni vyema kukaa chini na kujiridhisha juu ya hizo vetting maana wengine ndo hupata mwanya wa kupitishia michepuko na ndugu zao.
alikuwepo mtanzania mmoja (sasa ni hayati) yeye aliwahi sema alikuwa analala na mafaili kitandani,akiamka anayapitia kwa kina...labda tumshauri huyu Rais wetu nae ajenge utaratibu wa kusoma kwa kina( umesema watanzania hatupendi kusoma) labda na yeye yumo kwenye kundi letu la kutosoma vituKusaini nyaraka bila kuzisoma ni tabia ya watanzania wengi, sio wa serikalini tu. Mifano:
Ni desturi yetu watanzania. Labda tuanze leo kujirekebisha
- ule wosia maarufu wa tajiri hayati Reginald Mengi, wale waliousaini kama mashahidi walikiri baadaye mahakamani kuwa hawakuwa wameusoma. Na ndio waliochangia kumwangusha Klynn wao kwenye kesi ya mirathi
- Uliza watu waliochukua mikopo benki kama huwa wanasoma chochote kwenye ile mikataba zaidi ya kiasi cha pesa wanayokopa. Baadaye madalali wakija kuuza nyumba zao ndio wanaanza kuzunguka kutafuta mawakili
- Wewe mwenyewe hizo Apps na mambo mengine unayojiunga ya mitandaoni, ni mara ngapi umesoma ile mikataba mirefu unayowekewa? Mara nyingi kama sio zote unatafuta tu kile kitufe cha ACCEPT unabofya maisha yanaendelea.
Tunataka kujiaminisha zaidi kuwa makosa ni ya wapeleka majina peke yao, lakini anaeteuwa pia anatakiwa kuyapitia kwa kina kama kweli tunamlipa mshahara wa kodi zetu kwa kazi hizo...haya ni majina, vipi kuhusu vitu vingine ambavyo vyaweza hatarisha maisha ya watanzania,aweza pelekewa na hao tunaosema wanamhujumu,kwa kuwa havipitii kwa kina,atasaini tu ikaja kuleta shida alafu tuseme anahujumiwaAngedili vikali mno na hao wanaompelekea majina yasiyokuwa na sifa. kuna haja ya kuwa mkali sometimes!