Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wengi sawa ila 85% ni wajinga na wapumbavu hivvyo hata wingi wao hauna tija ndio maana walivyo pata madaraka wakataka kujimilikisha nchi.Huu utakuwa wivu kwa wasukuma. Na walivyo wengi utapasuka tu.
Wewe mwenyewe unaligawa taifa kwa kumchagulia Mama amuamini nani na nani asimuamini !! . Hoja zao ni nzuri kuliko kina Msukuma na Kibajaji, wanaolazimisha mawazo yao kuwa itikadi ya nchi.Acha ukabila. Huu Utagawa taifa letu.
Andika point.
Uthibitisho gani unataka wewe ngosha? Au hukuwa unamsikia akisema mkiniletea wa upinzani sileti maendeleo ulikuwa husikii au unajisahaulisha alitugawa sana huyo mungu mtu wenu afadhari izraeli kafanya kazi yake kuiokoa tanzaniaHauna uthibitisho kwenye hili ila propaganda tu ndizo zina kufanya uandike haya.
Wanaccm wote ni majizi ya kura, ni watu wa Majungu na fitina, kama ww mleta mada. Unawachukia hao Nape na January maana ni hatari kwa maslahi ya sukuma Gang. Unatumia kichaka cha wananchi, lakini ukweli unasimamia ajenda za sukuma Gang na sio wananchi kama unavyotaka iaminike.Mh. Rais Samia.
Nimesikiliza hotuba za hawa watu wawili, Makamba Jr (Jana) na Nape(Leo). Hawa watu wanajua kucheza na siasa ili mambo yao yakubirike kwa jamii. Ukiteleza kidogo tu wana wewe.
Ukiwaangalia kwa nje ni kama kondoo lakini kwa ndani wanalo jambo lao. Ni vile mimi nimeanza kukuelewa kwa uongozi wako na kwa vile nawajua hawa watu wawili nakushauri kuwa nao makini. Imebidi niandike hapa kwa kifupi baada ya kufutatilia nyendo zao kwa makini.
Kwanza wana watu wengi Nyuma yao na wanakubarika kwa hao watu.
Pili wana hasira sana na mambo yanavyoenda kwa maana wao kukosa nafasi katika uongozi wa nchi hii.
Tatu wanataka wapate fadhira kwa kuwa wazazi wao wamekuwa ndani ya chama kwa mda mrefu.
Nne, Kifo cha Magufuli kimewakatisha ndoto yao ya kuukwa urais 2025 kwa kuwa sasa ni wewe unagombea.
Nia yao hasa ni hiyo Nne. Bado haijafa kabisa.
Fuata Hotuba ya Joseph Gwajiba ya leo nawe utafanikiwa.
Nakushauri kuwa nao makini.
Mh. Rais Samia.

Mimi namshauri SSH asiwasikilize kabisa wafuasi wa marehemu watampoteza,Yeye ni rais kamili kama alivyokuwa Marehemu na watangulizi wake,ufuasi wao wasiueleta kwenye utawala wa SSH waupeleke Chato kwenye familia ya marehemu.Mh. Rais Samia.
Nimesikiliza hotuba za hawa watu wawili, Makamba Jr (Jana) na Nape(Leo). Hawa watu wanajua kucheza na siasa ili mambo yao yakubirike kwa jamii. Ukiteleza kidogo tu wana wewe.
Ukiwaangalia kwa nje ni kama kondoo lakini kwa ndani wanalo jambo lao. Ni vile mimi nimeanza kukuelewa kwa uongozi wako na kwa vile nawajua hawa watu wawili nakushauri kuwa nao makini. Imebidi niandike hapa kwa kifupi baada ya kufutatilia nyendo zao kwa makini.
Kwanza wana watu wengi Nyuma yao na wanakubarika kwa hao watu.
Pili wana hasira sana na mambo yanavyoenda kwa maana wao kukosa nafasi katika uongozi wa nchi hii.
Tatu wanataka wapate fadhira kwa kuwa wazazi wao wamekuwa ndani ya chama kwa mda mrefu.
Nne, Kifo cha Magufuli kimewakatisha ndoto yao ya kuukwa urais 2025 kwa kuwa sasa ni wewe unagombea.
Nia yao hasa ni hiyo Nne. Bado haijafa kabisa.
Fuata Hotuba ya Joseph Gwajiba ya leo nawe utafanikiwa.
Nakushauri kuwa nao makini.
Sasa hapo umeongea nini vile😂!Hoja ya kijinga sana hii. Nchi hii wapuuzi hawataisha, mleta mada mmoja wapo

Nilichogundua kuna akili ndogo zinamwogopa January, January ni smart na anauwezo mkubwa wa kushawishi na kujenga hoja. Ni Tunu kwa Taifa kuwa na mtu kama January. January ni hazina ya Taifa. Kama kuna mtu hakumuelewa katika mchango wake Bungeni, Mtu huyo apimwe akili.
Ni lazima agombee,,naona sukuma gang mnajidanganya mama hatogombea 2025,nyinyi kweli mazuzu, Samia had #2045,_ _utaki hama nchiHivi amesema anagombea?
Wewe ni mpumbavu kama wapumbavu wengineMh. Rais Samia.
Nimesikiliza hotuba za hawa watu wawili, Makamba Jr (Jana) na Nape(Leo). Hawa watu wanajua kucheza na siasa ili mambo yao yakubirike kwa jamii. Ukiteleza kidogo tu wana wewe.
Ukiwaangalia kwa nje ni kama kondoo lakini kwa ndani wanalo jambo lao. Ni vile mimi nimeanza kukuelewa kwa uongozi wako na kwa vile nawajua hawa watu wawili nakushauri kuwa nao makini. Imebidi niandike hapa kwa kifupi baada ya kufutatilia nyendo zao kwa makini.
Kwanza wana watu wengi Nyuma yao na wanakubarika kwa hao watu.
Pili wana hasira sana na mambo yanavyoenda kwa maana wao kukosa nafasi katika uongozi wa nchi hii.
Tatu wanataka wapate fadhira kwa kuwa wazazi wao wamekuwa ndani ya chama kwa mda mrefu.
Nne, Kifo cha Magufuli kimewakatisha ndoto yao ya kuukwa urais 2025 kwa kuwa sasa ni wewe unagombea.
Nia yao hasa ni hiyo Nne. Bado haijafa kabisa.
Fuata Hotuba ya Joseph Gwajiba ya leo nawe utafanikiwa.
Nakushauri kuwa nao makini.
Mlimuua sasa mnataka kusingizia covidEndelea kusubiri igande,wakati Magufuli alidanganywa matokeo yake Covid ikapiga shot betri