Rais Samia, Hotuba ya Nape na Makamba ni ya kutupumbaza watanzania. Wana jambo lao

Rais Samia, Hotuba ya Nape na Makamba ni ya kutupumbaza watanzania. Wana jambo lao

Ni lazima agombee,,naona sukuma gang mnajidanganya mama hatogombea 2025,nyinyi kweli mazuzu, Samia had #2045,_ _utaki hama nchi
Dah. Watu kama huyu unakuta wanataka kuolewa. Hasara
 
Wewe mwenyewe unaligawa taifa kwa kumchagulia Mama amuamini nani na nani asimuamini !! . Hoja zao ni nzuri kuliko kina Msukuma na Kibajaji, wanaolazimisha mawazo yao kuwa itikadi ya nchi.

Odhis *
Mama atanielewa. Ila wewe hutaweza.
 
Kweli naamini kazi ya Uraisi ni ngumu sanaa.
Nakuombea rais wangu Mungu akujalie imani na nguvu ya kuliongoza Taifa letu.
 
Back
Top Bottom