Rais Samia, Hotuba ya Nape na Makamba ni ya kutupumbaza watanzania. Wana jambo lao

Tuwasikilize na kuwaangalia Nape na January kwa hoja zao bila kuhusisha wazazi wao au nafasi walizotumikia huko nyuma.
Upuuzi, ujinga na upumbavu wa kiwango cha juu kabisa ni kuhukumu watu kwa hisia bila hoja za msingi zenye ushahidi usiotiliwa shaka.
 
Huu utakuwa wivu kwa wasukuma. Na walivyo wengi utapasuka tu.
Ni wengi sawa ila 85% ni wajinga na wapumbavu hivvyo hata wingi wao hauna tija ndio maana walivyo pata madaraka wakataka kujimilikisha nchi.
 
Acha ukabila. Huu Utagawa taifa letu.

Andika point.
Wewe mwenyewe unaligawa taifa kwa kumchagulia Mama amuamini nani na nani asimuamini !! . Hoja zao ni nzuri kuliko kina Msukuma na Kibajaji, wanaolazimisha mawazo yao kuwa itikadi ya nchi.

Odhis *
 
Hauna uthibitisho kwenye hili ila propaganda tu ndizo zina kufanya uandike haya.
Uthibitisho gani unataka wewe ngosha? Au hukuwa unamsikia akisema mkiniletea wa upinzani sileti maendeleo ulikuwa husikii au unajisahaulisha alitugawa sana huyo mungu mtu wenu afadhari izraeli kafanya kazi yake kuiokoa tanzania
 
Ushindani bora uwe kati ya mjinga na mwerevu lakini ikiwa ni kati ya mjinga na mjinga ni shida. Ukiwa kati ya mwerevu na mwerevu ni vita. Kipi sahihi tuko kivita au na shida. Tatizo lingine ni ikiwa ushindani ni kati mbabe na asiye mbabe hapo matokeo ni maumivu tu. Ila kwa uwezo wa Mungu Daudi mnyonge alimshinda Goliati mbabe
 
Wanaccm wote ni majizi ya kura, ni watu wa Majungu na fitina, kama ww mleta mada. Unawachukia hao Nape na January maana ni hatari kwa maslahi ya sukuma Gang. Unatumia kichaka cha wananchi, lakini ukweli unasimamia ajenda za sukuma Gang na sio wananchi kama unavyotaka iaminike.
 
Legacy ya JPM itawatesa Sana wapiga ma-deal.

Wenye akili walishashtukia sifia sifia ya wahanga wa utawala uliopita Wana lengo zaidi ya kusifia.

Mafisadi na Wapinzani wa kisiasa wanajaribu chimbia Kaburi CCM.

Tutaona mengi.
 

Mataga wako kwenye kupima upepo kuona watoke vipi ili mama aweze kuyaona alimradi mkono uende kinywani.

Watu kama hawa Jabali la Muziki (rip) liliwaita ni hata wenye kukaanga mbuyu na kuwaachia wenye meno watafune.

Ya kwamba hawa ni wachonganishi yaani wazandiki.

Mleta mada utakuwa umefeli kwenye mazoezi yako hayo. Mama hawezi kushindwa kukung'amua jombi.

Hiiiiii bagosha!
 
Mimi namshauri SSH asiwasikilize kabisa wafuasi wa marehemu watampoteza,Yeye ni rais kamili kama alivyokuwa Marehemu na watangulizi wake,ufuasi wao wasiueleta kwenye utawala wa SSH waupeleke Chato kwenye familia ya marehemu.
 

Mkuu samahani Unaweza elezea kwa faida ya wengine ni Mambo gani huyo january amefany tangible mpaka tuseme anatufaa 2025?
Sio Kwamba Nampa matangazzo au kumpaisha ili tuu tujue...
Mfano Magufuli alipokuwa waziri wa ujenzi alifanya 1,2,3.
Mpango alipokuwa waziri wa fwdha alifanya 1,2,3
Je Januari amefanya nini?
Huenda watu hatujui tuuu?
Tukisema Prof Assad ni smart watu watakuambia amefanya 1,2,3 alipokuwa CAG!
Je January kafanya nini?
 
Wewe ni mpumbavu kama wapumbavu wengine

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Endelea kusubiri igande,wakati Magufuli alidanganywa matokeo yake Covid ikapiga shot betri
Mlimuua sasa mnataka kusingizia covid
Tunawajua na ninyi ipo siku mtamfuata huko,
Kina nafsi itaonja mauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…