JF Member JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 7,914 Reaction score 10,793 Apr 16, 2021 Thread starter #61 Mina cute said: Ni lazima agombee,,naona sukuma gang mnajidanganya mama hatogombea 2025,nyinyi kweli mazuzu, Samia had #2045,_ _utaki hama nchi Click to expand... Dah. Watu kama huyu unakuta wanataka kuolewa. Hasara
Mina cute said: Ni lazima agombee,,naona sukuma gang mnajidanganya mama hatogombea 2025,nyinyi kweli mazuzu, Samia had #2045,_ _utaki hama nchi Click to expand... Dah. Watu kama huyu unakuta wanataka kuolewa. Hasara
JF Member JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 7,914 Reaction score 10,793 Apr 19, 2021 Thread starter #62 Odhiambo cairo said: Wewe mwenyewe unaligawa taifa kwa kumchagulia Mama amuamini nani na nani asimuamini !! . Hoja zao ni nzuri kuliko kina Msukuma na Kibajaji, wanaolazimisha mawazo yao kuwa itikadi ya nchi. Odhis * Click to expand... Mama atanielewa. Ila wewe hutaweza.
Odhiambo cairo said: Wewe mwenyewe unaligawa taifa kwa kumchagulia Mama amuamini nani na nani asimuamini !! . Hoja zao ni nzuri kuliko kina Msukuma na Kibajaji, wanaolazimisha mawazo yao kuwa itikadi ya nchi. Odhis * Click to expand... Mama atanielewa. Ila wewe hutaweza.
Odhiambo cairo JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 15,989 Reaction score 22,078 Apr 19, 2021 #63 JF Member said: Mama atanielewa. Ila wewe hutaweza. Click to expand... Wameambiwa mijadala yao haina afya kwa nchi na wananchi (Samia )
JF Member said: Mama atanielewa. Ila wewe hutaweza. Click to expand... Wameambiwa mijadala yao haina afya kwa nchi na wananchi (Samia )
JF Member JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 7,914 Reaction score 10,793 Apr 19, 2021 Thread starter #64 Odhiambo cairo said: Wameambiwa mijadala yao haina afya kwa nchi na wananchi (Samia ) Click to expand... Hakika. Mama achukue tu hotuba ya Gwajima. Mengine aachane nayo.
Odhiambo cairo said: Wameambiwa mijadala yao haina afya kwa nchi na wananchi (Samia ) Click to expand... Hakika. Mama achukue tu hotuba ya Gwajima. Mengine aachane nayo.
JF Member JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 7,914 Reaction score 10,793 Apr 19, 2021 Thread starter #65 Nndu wa Selote said: Wewe ni mpumbavu kama wapumbavu wengine Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app Click to expand... Asante kwa tusi. Naamini unafuraha telee baada ya tusi kwa mtu usie mjua. Ila mama atanielewa .. wewe na wenzio mtabaki hivyo hivyo.
Nndu wa Selote said: Wewe ni mpumbavu kama wapumbavu wengine Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app Click to expand... Asante kwa tusi. Naamini unafuraha telee baada ya tusi kwa mtu usie mjua. Ila mama atanielewa .. wewe na wenzio mtabaki hivyo hivyo.
genius JF-Expert Member Joined Mar 15, 2011 Posts 428 Reaction score 337 Apr 19, 2021 #66 Kweli naamini kazi ya Uraisi ni ngumu sanaa. Nakuombea rais wangu Mungu akujalie imani na nguvu ya kuliongoza Taifa letu.
Kweli naamini kazi ya Uraisi ni ngumu sanaa. Nakuombea rais wangu Mungu akujalie imani na nguvu ya kuliongoza Taifa letu.