Rais Samia huwa anakuwa mkali sana akiona nafasi yake ya Urais inataka kuchukuliwa, kwenye mengine Anhaaaa!!

Rais Samia huwa anakuwa mkali sana akiona nafasi yake ya Urais inataka kuchukuliwa, kwenye mengine Anhaaaa!!

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Za Asubuhi.

Siku Moja Mzee wangu aliniambia huyu Samia yeye kwenye akili yake anawaza Urais wake tu. Yani yupo tayari afanye lolote kulinda Urais wake sio Nchi. Nikawaza kweli. Issue ya Spika Ndugai alichukua action mapema. Issue ya kina Makamba na mwenzake alichukua action mapema.

Sasa hivi kauli mbiu SAMIA MUST GO kabweka vibaya mno anawaza Urais wake tu huyu Mama.

Yani mkitaka mujue alivyo na maneno ya kwenye vikoba semeni kuhusu Urais wake muonyeshe kama hafai na anatajiwa aondoke..

Ila yakija masuala mengine hamtosikia anakemea kwa ukali hivi.
 
Mama ni fashionist Presidential, anaona fika akiachia kiti atakosa treatment zote muhimu ikiwemo safari za nje huoni anavyozipapalikia kila kukicha yuko kwa mabeberu kwenda kupiga picha.
Ndio maana naamini kuwa anabweka tu kwani hana ubavu wa kudindia wazungu kwani kila leo yuko kigulu na njia kwenda kwao kutembeza Bakuli.
Rais tegemezi hawezi kuwa na kauli itakayosikika duniani!
Apende asipende omba omba yake itamuadhiri kwa kulazimishwa kuunda tume ya uchunguzi! Hana pa kutokea lazima atafuata amri ya wazungu.
 
Back
Top Bottom