Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumbafu!Long live Samia
Hakuna mtu atakuwa Rais milele ila nafasi ya Urais haichukuliwi Kwa maandamano Bali uchaguzi.Za Asubuhi.
Siku Moja Mzee wangu aliniambia huyu Samia yeye kwenye akili yake anawaza Urais wake tu. Yani yupo tayari afanye lolote kulinda Urais wake sio Nchi. Nikawaza kweli. Issue ya Spika Ndugai alichukua action mapema. Issue ya kina Makamba na mwenzake alichukua action mapema.
Sasa hivi kauli mbiu SAMIA MUST GO kabweka vibaya mno anawaza Urais wake tu huyu Mama.
Yani mkitaka mujue alivyo na maneno ya kwenye vikoba semeni kuhusu Urais wake muonyeshe kama hafai na anatajiwa aondoke..
Ila yakija masuala mengine hamtosikia anakemea kwa ukali hivi.
Ulitaka uchaguzi mwingine ufanyike?, unajua gharama zake zina uhusiano gani kwenye maisha yetu ya kila siku?.Mimi namlaumu sana Mabeyo
Hawana jeuri hiyo, wanadhani wataungwa mkono na vijana wengi wakati hao vijana wanahangaika kuifukuza shilingi huko wanapofanyia kazi.Hakuna mtu atakuwa Rais milele ila nafasi ya Urais haichukuliwi Kwa maandamano Bali uchaguzi.
Kama Ruto aliwafyekelea mbali Wapinzani na Gen Z walitaka kumpindua akiwaambia wasubirie Uchaguzi kinyume na hapo ni uhaini.
So mkiiga kunywa Kwa tembo mtapasuka misamba.
Tena huyu ndie anastahili aangushiwe kila aina ya lawama kwa kila kinachoendelea..Mimi namlaumu sana Mabeyo
Hopeless kbs! unajua kiwango cha fedha kinachopotea tokana na madhila ya uongozi dhaifu..mfano ufisadi na ukwepaji kodi.Ulitaka uchaguzi mwingine ufanyike?, unajua gharama zake zina uhusiano gani kwenye maisha yetu ya kila siku?.
Anapenda umaarufu huyo mama,mchunguzeMama ni fashionist Presidential, anaona fika akiachia kiti atakosa treatment zote muhimu ikiwemo safari za nje huoni anavyozipapalikia kila kukicha yuko kwa mabeberu kwenda kupiga picha.
Za Asubuhi.
Siku Moja Mzee wangu aliniambia huyu Samia yeye kwenye akili yake anawaza Urais wake tu. Yani yupo tayari afanye lolote kulinda Urais wake sio Nchi. Nikawaza kweli. Issue ya Spika Ndugai alichukua action mapema. Issue ya kina Makamba na mwenzake alichukua action mapema.
Sasa hivi kauli mbiu SAMIA MUST GO kabweka vibaya mno anawaza Urais wake tu huyu Mama.
Yani mkitaka mujue alivyo na maneno ya kwenye vikoba semeni kuhusu Urais wake muonyeshe kama hafai na anatajiwa aondoke..
Ila yakija masuala mengine hamtosikia anakemea kwa ukali hivi.
Sio rahisi kama unavyo fikiri, wenda maamuzi yale ndo namemfanya mpaka sasa kuwa huru na hai.Kabisa! Kwa nini hakufanya jambo siku ile?!
Aondoke hatuona anachofanya zaidi ya kutetea kiti chake.Za Asubuhi.
Siku Moja Mzee wangu aliniambia huyu Samia yeye kwenye akili yake anawaza Urais wake tu. Yani yupo tayari afanye lolote kulinda Urais wake sio Nchi. Nikawaza kweli. Issue ya Spika Ndugai alichukua action mapema. Issue ya kina Makamba na mwenzake alichukua action mapema.
Sasa hivi kauli mbiu SAMIA MUST GO kabweka vibaya mno anawaza Urais wake tu huyu Mama.
Yani mkitaka mujue alivyo na maneno ya kwenye vikoba semeni kuhusu Urais wake muonyeshe kama hafai na anatajiwa aondoke..
Ila yakija masuala mengine hamtosikia anakemea kwa ukali hivi.
Halafu ni mcha miungu sana!Ndio aliyetuletea hii laana nchini!
Kwanini usiilaumu katiba?Mimi namlaumu sana Mabeyo
Mpuuzi wewe unajua kiwango cha pesa kinachoingia hazina ya nchi tangu 2021 alipofariki JPM?. Ukiendelea kukariri ujinga unaousikia huko mitaani utaendelea kupotea tu.Hopeless kbs! unajua kiwango cha fedha kinachopotea tokana na madhila ya uongozi dhaifu..mfano ufisadi na ukwepaji kodi.