Rais Samia huwa anakuwa mkali sana akiona nafasi yake ya Urais inataka kuchukuliwa, kwenye mengine Anhaaaa!!

TAARIFA YA DHARURA

Mh Boniface Jacob amekamatwa muda huu na polisi wenye difenda muda huu maeneo ya Sinza na haijajulikana amepelekwa wapi.

C&p

πŸ™†β€β™‚οΈπŸ€¦β€β™€οΈπŸ˜­
 
Cha ajabu, halmashauri zinatapanya pesa, yupo kimya tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…