Rais Samia: Huwa napitia JamiiForums naangalia maoni yenu

Rais Samia: Huwa napitia JamiiForums naangalia maoni yenu

Kumbe Mama huwa anapita humu kimyakimya
Usikute ana ID na huwa anabishana na watu humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mama Samia pita na hapa kwa comment yangu
Uje kwenye uzi wangu uniungishe perfume.
 
Ukute ndio wewe
 
Kwa maelezo hayo ya rais tutegemee machawa kuongezeka atacheka sana baada ya kuona namba za simu
 
Uzuri wa msimamo JF kuto expose members.

Maana siku wakiamua kutoa taarifa hii nchi itasimama.

Naomba kusijetokea vujisha taarifa za members kwa namna yeyote ile.

Hebu pata picha mgojwa mtambuka ndo jiwe [emoji3][emoji3]
😂😂😂 Ni balaa eti,..
 
Imenipa moyo kusikia tuna figures kubwa humu Jamii Forum bahati mbaya tu kwa Sasa JF Haina vichwa Kama zamani. Vilivyokuwa vinaandika makala zenye intellectual curiosity.

Kwa Sasa walioko humu kutwa thread za kuchakata Mbususu tu akina mpwayungu village

Wamebakia wachakataji tu !!😀😀
 
Haya sasa wale wote wanaoweka post zenye majina na namba za simu kwa kutafuta teuzi mshasikia Mama anapita hapa.

Mama itakuwa kashamuona Lucas.
 
Back
Top Bottom