Rais Samia: Huwa napitia JamiiForums naangalia maoni yenu

Rais Samia: Huwa napitia JamiiForums naangalia maoni yenu

Rais Samia: Hakuna kisichowezekana kwenye mazungumzo, tumesuhudia nchi kadhaa zimeingia kwenye vita hawakupata suluhu, suluhu imepatikana kwenye mazungumzo kwahiyo tuendelee kuzungumza. Najua si rahisi kabisa watu kuja na utamaduni huu mpya ukakubalika mara moja, si rahisi, kwangu kuna vikwazo kwangu kuna vikwazo.

Huwa napitia Jamiiforums naangalia maoni yenu kule ndani, nasoma nnacheka, nasema lakini huu ni utamaduni mpya, si rahisi kukubalika kwa ghafla, kwahiyo pande zote Tanzania nzima si rahisi kukubali utamaduni huu mpya kwa haraka.

 
Shida ni wale unaoingia nao maridhiano wengi wao haswa viongozi wako kama vinyonga. Kila saa wanabadilika Rangi. Mfano ACT visiwani ipo kwenye umoja wa serkali kabisaa ila kashfa wanazotoa utafikiri hawako serkalini na wala kwenye maaridhiano. Watu kama hao hata uridhiane kwa miaka 10 hakuna cha maana kwani wamezoea ubishi na vurugu.
 
Inabidi admins waweke vigezo watu kujiunga maana wajinga wanaongezeka. Rais anaposoma watu kama hao anaona aibu.
Wajinga pia na sisi ni watu wake na tuna maoni yetu ya kijinga, atatusikiliza, atatusaidia
 
Achaneni na Uccm na Uchadema.

Hakuna mahali utatufikisha. Mama mwenyewe keshasema anaangalia Jamiiforums.
 
Muda wote chadema vs Ccm. For what benefit and advantage.

Tender zote zinaenda kwa wageni mnabakia kudanga na kuwa wezi!!!
 
[emoji23][emoji23] mi naamini ni memba yumo humu,..si unajua JF tunatumia ID fake,..

Uzuri wa msimamo JF kuto expose members.

Maana siku wakiamua kutoa taarifa hii nchi itasimama.

Naomba kusijetokea vujisha taarifa za members kwa namna yeyote ile.

Hebu pata picha mgojwa mtambuka ndo jiwe [emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom