Rais Samia: Huwa napitia JamiiForums naangalia maoni yenu

Rais Samia: Huwa napitia JamiiForums naangalia maoni yenu

Amesema kuna kundi la WAHAFIDHINA wanaopinga maridhiano. Utawaskia "asali tamu aliyolambishwa Mbowe" mara "mama punguza asali kwa akina..." hao wote kumbe mama amesema ni WAHAFIDHINA na mmeshindwa pamoja na mashetani yenu yasiyopenda amani.
 
Kumbe raisi ananisomaga.... bwahahahahaaaaaaa .. ngoja niendelee kuandika.. huenda nikakumbukwa kwenye teuzi na mimi...
 
Inabidi admins waweke vigezo watu kujiunga maana wajinga wanaongezeka. Rais anaposoma watu kama hao anaona aibu.
Umekazana kuinanga chadema na ile I'd yAko feki ya country wide Hadi umeteuliwa ukuu wa wilaya Sasa umerudi Tena

Sasa ikiwa watu wanajuwa mam Ana I'd humu lzm walamba viatu na machawa watazidi Sana [emoji38]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Imenipa moyo kusikia tuna figures kubwa humu Jamii Forum bahati mbaya tu kwa Sasa JF Haina vichwa Kama zamani. Vilivyokuwa vinaandika makala zenye intellectual curiosity.

Kwa Sasa walioko humu kutwa thread za kuchakata Mbususu tu akina mpwayungu village
Machawa watazidi na watajipendekeza ili wakitumaini kuwa watafatwa pm na kulamba uteuzi utaona nyuzi nyingi za kumsifia rais zikipandishwa Kila siku

Binafs mm mwenyewe nitaacha kumkozoa vikali nitakuwa makini

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mama kama unapitaga humu please nisaidie hata milioni nichukulie mbolea maana shamba linanisuta sijaweka mbolea ya mwisho.
 
Nimemsikia pia, kumbe anatusoma. Sasa mama please wale wabunge 19 kwa nini katiba imevunjwa?
Amesema hilo ameliachia mahakama anasubiri ifanye kz yake kumbe ni member wetu huku
 
Back
Top Bottom