Shezanempress
JF-Expert Member
- Dec 28, 2022
- 311
- 343
Kumbe hua ana comment, ana like, ana bishana na kukosoa kwenye ule uzi wa kimashihara.
Inabidi nianze kwenda PM randomly naweza kuangukia popote. mara pa Ultimate magogoni
Khaaaa utapigwa na baba wa taifa kama ngoma shaurilo