Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
In her, we have the best president.
Excluding mwl.Nyerere.
Love you so much our president.
Excluding mwl.Nyerere.
Love you so much our president.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OilcomKumbe wengi mpo JF lakini bado hamuijui JF.
Humu usalama wa Taifa wana desk lao kabisa kama ulikuwa hujui.
Scandal ya EPA Dr Slaa aliipata humu ndio akaipeleka kuikomalia bungeni.
Unajuwa kosa la Max kukamatwa kushtakiwa na kunyimwa dhamana na kupelekwa gereza la keko sababu ilikuwa ni nini?
Unaweza Kuta ni Zero IQ ili kutupumbaza tuAtakua anatumia ID ipi hiyo!?
Eeeh kiongozi mwenye MYCINE zake za kutosha.😂😂😂Kuna Rais wa Tanzania asiyenisoma GENTAMYCINE hapa JamiiForums? Kama JK ( Mkwere ) na Hayati Dk. Magufuli pamoja na CDF Mstaafu Jenerali Mabeyo wananisoma na Kunifolo Yeye ni nani asifanye hivyo?
Tena kwa Taarifa yenu huyu na ID yake huwa napigana nae mno Madongo, ni Mmoja wa Followers wangu Wengi hapa JamiiForums na ananikubali hakuna mfano kiasi kwamba hawezi Kulala bila Kunisoma GENTAMYCINE wala Kuupitia Mtandao huu.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Pia waone namna ya kupunguza au kumeneji hizi mada za ngono naapenzi, zimekua nyingi mno na zisizo na mashiko.Mods, JF imepewa heshima kubwa sana. Kama Rais huwa anapitia humu kupata maoni yetu kama sehemu ya umma wa Watanzania, hakika nawaambieni, hakuna kiongozi ambaye hatapita JF.
Lakini ili maoni yetu yapewe uzito wa kupewa tafakuri ni lazima Mods walinde hadhi ya jukwaa kwa kuwapa adhabu kale wale wote wanaoligeuza jukwaa lionekane ni la wahuni.
Mtu akitukana au kukejeli, apigwe ban hata ya miezi 6 au mwaka mzima. Kuna watu humu, wanashangaza, wanafikia kumtukana kiongozi, unatafakari na kujiuliza JF siku hizi imebeba watu wa namna gani?
Mods, lirudisheni jukwaa kwenye heshima yake ili kiwe ni chanzo muhimu cha habari kwa wasio na habari, liwe ni jukwaa la ushauri kwa viongozi wa Serikali, vyama na taasisi mbalimbali.
Faiza@Atakua anatumia ID ipi hiyo!?
Mbona kama umechukia?Yupo mitandao yote ya kijamii kuanzia Facebook, Instagram, Twitter nakadhalika.
Kwahiyo kama ni kuwaheshimisha basi amewaheshimisha hadi watumiaji wa Facebook nakadhalika.
Alivyoitaja leo najua wengi lazima watapita kujua kinachoendelea, watakutana na matusi, na nyuzi za ajabu ajabuMods, JF imepewa heshima kubwa sana. Kama Rais huwa anapitia humu kupata maoni yetu kama sehemu ya umma wa Watanzania, hakika nawaambieni, hakuna kiongozi ambaye hatapita JF.
Lakini ili maoni yetu yapewe uzito wa kupewa tafakuri ni lazima Mods walinde hadhi ya jukwaa kwa kuwapa adhabu kale wale wote wanaoligeuza jukwaa lionekane ni la wahuni.
Mtu akitukana au kukejeli, apigwe ban hata ya miezi 6 au mwaka mzima. Kuna watu humu, wanashangaza, wanafikia kumtukana kiongozi, unatafakari na kujiuliza JF siku hizi imebeba watu wa namna gani?
Mods, lirudisheni jukwaa kwenye heshima yake ili kiwe ni chanzo muhimu cha habari kwa wasio na habari, liwe ni jukwaa la ushauri kwa viongozi wa Serikali, vyama na taasisi mbalimbali.
Hapana mkuu. Nimefurahi pia kusikia Rais wa nchi anapita hadi humu kusoma maoni yetu maana inamsaidia kujua kero ambazo chawa wake huwa hawamfikishii kwa maksudi ama wanamficha.Mbona kama umechukia?
Hatari! Inabidi nijirekebjshe kabla ya kusompekwa lipango.mzabzab Mama anaku zoom tabia zako