#COVID19 Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli...
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO 19
View attachment 2188625
Yoga kuna uhitaji wa simulizi yako huku pia. Kizazi hiki katika jukwaa hili la siasa kinahitaji pia "food for thought"
 
Haya anayofanya Samia sasa hivi yanaonyesha ubovu wa muundo wa utawala wa nchi yetu.

Huyu mama hakustahili kubakia kwenye madaraka baada ya kifo cha aliyekuwa akimsaidia kazi. Ile ilikuwa ni serikali iliyochaguliwa kutimiza waliyokuwa wamepanga kuyafanya kama serikali, ikiwa ni pamoja na namna ya kuyatekeleza.

Serikali ileile haiwezi kuishia njiani na kuundwa nyingine ambayo mtizamo wake ni kinzani na ile iliyotangulia.

Ilitakiwa pafanyike uchaguzi mpya ili serikali nyingine ipatikane, na kuendeleza waliyoona wao yanafaa kwa mtindo wao wenyewe.

Ni wazi sasa Samia alikuwa hakubaliani na Magufuli, siyo katika baadhi ya mambo bali katika mambo yote alikuwa hakubaliani naye.

Aseme sasa ni kipi alichokubaliana na Magufuli na serikali nzima ambayo yeye alikuwa ni sehemu yake.
 
KUFA USEMWE


SI tulikubaliana marehemu hasemwi au muhenga aliyetunga msemo huu aliufuta

..marehemu anasemwa.

..tena huwa inasisitizwa wanaomdai marehemu wajitokeze.

..Magufuli ameacha deni kubwa la HAKI.

..waliodhulumiwa na Magufuli na serikali yake wanadai haki zao.

..waliopotelewa [ kundi la wasiojulikana] na ndugu zao wakati wa utawala wa Magufuli wanadai kuelezwa ndugu zao wako wapi.

..wapo walioshambuliwa kwa marisasi kwa mfano Tundu Lissu na inaelekea ni kwa " maagizo kutoka juu" wanadai watendewe haki.

..wapo walionyang'anywa fedha zao na mali zao kwa matumizi mabaya ya sheria ya " plea bargain" wanamdai Magufuli.

..waliobambikiwa kesi kwa sababu za kisiasa kutokana na agizo haramu la Magufuli la kuzuia shughuli za vyama vya siasa wanadai haki zao.

..Magufuli alitawala Kidikteta hivyo amefariki huku akiwaacha maelfu ya Watanzania wakimdai HAKI zao.

..Marehemu hasimangwi, ila watu mbalimbali wanaeleza MADENI aliyoacha.



Cc Nguruvi3, Erythrocyte
 
Awe na kifua basi. Akisema mambo ya ndani ya serikali iliyopita ambayo alikuwa namba 2: Itamuongezea nini? Asije akasema na vingine.
 
Mtangulizi wake mwenyewe kwa nyakati tofauti aliwahi kukiri ni kichaa hata baadhi ya watu waliomfahamu kwa karibu kuanzia TANROADS
Your browser is not able to display this video.


walishangaa kuona jamaa wamempa ofisi kubwa kama ile.
 
Moja ya nukuu hii inasema ...
'Yaaani cha msingi wewe wadanganye vyovyote unavyoweza cha msingi njoo na pesa'.

Na huku staff wote wa serikali uliowaacha wanazisuburi kwa urefu wa kamba.

Tunajua pasipo uwongo hupati pesa na angekuwepo hayo yote usingeyasema.


👉🏾 Ondoka duniani tusikie matendo yako kwao.
 
Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli...
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO 19
View attachment 2188625
Mama alikuwa anataka lock down magu alikataa katakata ,watz tushukuru mungu kovidi 8likuja kipindi cha JPM ingekuja kipindi cha huyu pimbi tunge dhalilika sana
 
Mkuu unakosea.
Makamu wa rais ni kivuli tu hana kauli.
Pili ulitaka mama apotezwe?

Unakumbuka kulitokea fununu na tetesi kuwa amejiuzulu?
Hii ilikuwa ya kweli hadi wastaafu waliingilia kati.
Kama huyo Jiwe angekuwa na ujinga huo wa kumpoteza hadi makamu wake wa rais basi pia hata huyo Lissu angekuwa keshampoteza pamoja na lile jaribio la kwanza kutofanikiwa nadhini lingefanyika shambulizi lengine bila wasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…