Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
I like the way my mom behaves,open and truth
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli...
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO 19
View attachment 2188625
Yoga kuna uhitaji wa simulizi yako huku pia. Kizazi hiki katika jukwaa hili la siasa kinahitaji pia "food for thought"Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli...
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO 19
View attachment 2188625
Si kweli lakini
KUFA USEMWE
SI tulikubaliana marehemu hasemwi au muhenga aliyetunga msemo huu aliufuta
Naomba tu huyu mama aishie 2025, hapa hatuna RaisiHuyu mama Samia corona ingemkuta Akiwa Raisi angetupiga mi lock down hadi tungekoma
Na tungevaa mibarakoa l hadi machoni double double hadi nyuso zetu tuonekane kama vinyago vya kimakonde
KUFA USEMWE
SI tulikubaliana marehemu hasemwi au muhenga aliyetunga msemo huu aliufuta
Mama mnafiki sana, alikuwa wapi kusema haya yote toka mwanzoni wanafanya kazi?
i.
Kucha na meno sio sawa na risasi 30!Wewe unauliza kufa?? Kufa watu wanakufa Kila siku.
Mbona hata Sasa watu wanakufa???.
Kikwete enzi zake , siwatu waling'olewa mpaka kucha, meno???
Kama vip? Atuweke lock down kutokana na uviko 19Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli...
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO 19
View attachment 2188625
Mama alikuwa anataka lock down magu alikataa katakata ,watz tushukuru mungu kovidi 8likuja kipindi cha JPM ingekuja kipindi cha huyu pimbi tunge dhalilika sanaRais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli...
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO 19
View attachment 2188625
Kama huyo Jiwe angekuwa na ujinga huo wa kumpoteza hadi makamu wake wa rais basi pia hata huyo Lissu angekuwa keshampoteza pamoja na lile jaribio la kwanza kutofanikiwa nadhini lingefanyika shambulizi lengine bila wasi.Mkuu unakosea.
Makamu wa rais ni kivuli tu hana kauli.
Pili ulitaka mama apotezwe?
Unakumbuka kulitokea fununu na tetesi kuwa amejiuzulu?
Hii ilikuwa ya kweli hadi wastaafu waliingilia kati.