#COVID19 Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

Alikuwa wapi kuzungumza hayo mwanzoni?
Mbona Bashite alijivua ukuu wa mkoa akaamua kuingia kwenye kinyang'anyiro cha ubunge, kwani Magu alimuua?

Huo si unafiki, kwa nini msibani Chato aseme yeye na Magu ni kitu kimoja, hivi sasa US anasema Magu hivi Magu vile, vyote ni kumponda jamaa, kama yeye ni kiongozi shupavu, mpigania haki, mwanaharakati angemwambia machoni Magu "mzee unakosea", mbona Kambona alimchana Nyerere? Akatimua mbio ugenini..

Huyu mama ana alama zote za unafiki na uzandiki, na mtu wa namna hii sio mzuri hata kidogo.
 
Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli...
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO 19
View attachment 2188625

Huko ni kujidhalilisha ilimradi tu aiuze nchi kwa majinga hayo.

Kwanini hajayasema Tanzania? Huko ni kujikosha tu ili aonekane msafi apate kibali machoni pa wazungu. Ni kujipendekeza na ni unafiki.
 
Naona sasa ameacha kuwa Comforter in Chief. Ametugeuka, amekuwa Saddist in Chief.
 
Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli...
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO 19
Nguchiro kutukana msasi kaona shimo
 
Wacha asimangwe hadi mifupa iruke ruke
 
Ulitaka afanyaje mkuu ili hao ndugu zako wasife na corona? Maana hata huyo Samia toka achukua madaraka kipi amefanya kupunguza vifo vya corona?
 
Hivi kuna mtu yeyote alikuwa anauwezo wa kusema hayo unayoyasema?

Labda Lissu tu ndiye aliyejaribu...naww unalijua hilo.
 
Kwa swala la Covid 19 Magufuri alikuwa sahihi sana.
Endelea kuwapiga raia na J&J ,lockdown ubgekuwa upuuzi wa karne ambao hata wahubiri wa Uviko 91 wameushindwa. Ni biashara tu
 
Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli...
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO 19
View attachment 2188625
sishangai hata swala wamachinga walipishana pia na swala la ufisadi ndo maana sasa hivi unakula kwa urefu wa kamba yako
 
Mama hatukuelewi .songa mbele na mambo yako .hoja za magufuli juu ya korona tulielewa sana kuliko sasa juu ya mafuta. Nauli. Na mengi
 
Mama hatukuelewi .songa mbele na mambo yako .hoja za magufuli juu ya korona tulielewa sana kuliko sasa juu ya mafuta. Nauli. Na mengi
Atengeneze legacy yake. Tutamjaji kwa legacy yake sio kwa legacy ya Magufuli. Magufuli amepita. Amefanya mambo yake.
Yeye afanye ya kwake.
 
Reactions: Ame
Hivi kuna mtu yeyote alikuwa anauwezo wa kusema hayo unayoyasema?

Labda Lissu tu ndiye aliyejaribu...naww unalijua hilo.
Kama unajijua we ni muoga nafasi na cheo kikubwa kama cha uraisi hakikufai.
Inapaswa uwe jasiri, usiye tetereshwa, uwe mzalendo wa kweli ambae upo tayari kufa kwa ajili ya nchi yako.

Huyu mama hana sifa hizo, huyo anatuuza asubuhi we si unamuona? hawezi mikikimikiki, ni muoga, hana uwezo, wapigaji wamemsoma, wanajichotea mali tu hawamwogopi.

Tazama nchi ilivyo, watu masikini mambo ni magumu, nchi imekosa dira.

Hana sifa za kuwa kiongozi.

Magu was right...
 
Unaandika mafi mafi we kima nenda Kanye ubongo wako umevimbiwa MAFI.
 
Mbona dk Ndungurile alipinga hatua ya kupiga nyungu adharani,hakupigwa risasi, sanasana alitumbuliwa, lakini mwisho akapewa wizara nyingine
 
Reactions: Ame
Wanasiasa wetu ni shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…