#COVID19 Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

Ngoja asagwe Ili Taifa lipone,hakuna kisingizio cha marehemu.
 
Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli...
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO 19
View attachment 2188625
Hiyo ni gia ya kupata msaada kwa wamarekani. Kama walitofautiana mbona hakujiuzulu?
 
Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli...
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO 19
View attachment 2188625
Yaliyokuwa yamesitirika yanaendelea kuwekwa wazi! Tuendelee kukaa mkao wa kula tutaendelea kujuzwa mengine zaidi........... Stay tuned!!!
 
Huyu mama Samia corona ingemkuta Akiwa Raisi angetupiga mi lock down hadi tungekoma

Na tungevaa mibarakoa l hadi machoni double double hadi nyuso zetu tuonekane kama vinyago vya kimakonde
 
Sukuma gang mna matatizo . kama ulipiga kura sura ya huyu mama hukuiona kwenye karatasi ya kupigia kura? . au mwenzetu uliweka βœ” kwenye picha ya jiwe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
pale kwa mama niliweka X ndani ya boksi lake, unafki sipendi kabisa
 
Makosa ya JPM hayawezi kumfanya Chief Hangaya Rais Bora. Afocus kwenye mipango yake, aachane na story za mtu ambae hawezi kujitetea tena. Ni
Uko sahihi mtaani kuna usemi kuwa mwanamke mumbeya mtaani kila siku kusema mume wa mwanamke fulani jirani yangu ni malaya hakumfanyi mumewe malaya wa huyo mwanamke mumbeya kuwa mtakatifu !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…