Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,375
- 6,958
Anachosahau ni kwamba, yeye atanangwa akiwa hai baada kumaliza muda wake.
Karma is real...
Karma is real...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Litasemwa to liuajiKUFA USEMWE
SI tulikubaliana marehemu hasemwi au muhenga aliyetunga msemo huu aliufuta
mbona marehemu alikuwa anasema uongozi wa nyuma yake?This is not presidential at all. Mama anapaswa kufanya yake tu sasa bila kumtajataja marehemu
Collective responsibility holds. Otherwise angeachia ngazi those days
Mama atawaua CCMHata vikombe kabatini hugingana.
Yuko sahihi!
Ngoja asagwe Ili Taifa lipone,hakuna kisingizio cha marehemu.Rais Samia akiwa Washington Dc, anasema wakati wa utawala wa awamu ya 5, mara kadhaa alijikuta anatofautiana na Rais Magufuli.
Mojawapo ya tofauti zao zilikuja kwenye suala zima la kudili na ugonjwa wa Uviko-19.
My take:
Rais Samia inatosha sasa, marehemu hasimangwi tumuache apumzike, tugange yajayo.
View attachment 2188626
Alikufa nao shekhe...KUFA USEMWE
SI tulikubaliana marehemu hasemwi au muhenga aliyetunga msemo huu aliufuta
Huyu Mama LAZIMA atakuwa mchawi!Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli...
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO 19
View attachment 2188625
Baraka kwa ukoo wako siyo watzLilikuwa jambo la baraka kwa Watanzania
Hiyo ni gia ya kupata msaada kwa wamarekani. Kama walitofautiana mbona hakujiuzulu?Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli...
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO 19
View attachment 2188625
Yaliyokuwa yamesitirika yanaendelea kuwekwa wazi! Tuendelee kukaa mkao wa kula tutaendelea kujuzwa mengine zaidi........... Stay tuned!!!Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli...
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO 19
View attachment 2188625
Kama bado uko hai uuaji wake haukufanya kazi vizuriLitasemwa to liuaji
Huyu mama Samia corona ingemkuta Akiwa Raisi angetupiga mi lock down hadi tungekomaNashukuru huyu Mama hakuwa Rais kipindi cha Corona, bila shaka mpaka leo Tanzania tungekuwa kifungoni.
Huyu Mama taifa likipitia kigumu kama cha Corona na mashinikizo kibao ya wazungu naamini hawezi kuhimili kifupi Mama ni mwepesi sana.
Nilikuwa na imani kidogo na Mama Samia ila sasa imekufa kabisa, kifupi mama hana dira wala mwongozo wa Taifa anaongoza kimazoea tu.
Kama CCM mnalipenda Taifa letu huyu Mama anatakiwa akamilishe tu hii awamu.
pale kwa mama niliweka X ndani ya boksi lake, unafki sipendi kabisaSukuma gang mna matatizo . kama ulipiga kura sura ya huyu mama hukuiona kwenye karatasi ya kupigia kura? . au mwenzetu uliweka ✔ kwenye picha ya jiwe 😂😂😂
Uko sahihi mtaani kuna usemi kuwa mwanamke mumbeya mtaani kila siku kusema mume wa mwanamke fulani jirani yangu ni malaya hakumfanyi mumewe malaya wa huyo mwanamke mumbeya kuwa mtakatifu !!Makosa ya JPM hayawezi kumfanya Chief Hangaya Rais Bora. Afocus kwenye mipango yake, aachane na story za mtu ambae hawezi kujitetea tena. Ni
😂😂 kama ulifanya hivyo ulibugipale kwa mama niliweka X ndani ya boksi lake, unafki sipendi kabisa