#COVID19 Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

#COVID19 Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

kwahiyo yeye anaona yupo sahihi?, tulimchagua magufuri. Huyo maneno mengi simtambui...inamtambua katiba na genge lake tu. Sisi tunasubiri kumuweka rais wetu 2025.
 
Imge ya kuomba omba?
Hukupenda kutosoma ni wazazi wako hawakupata nafasi na uelewa ,siwezi tukana umaskini wako huko magu,ila mkuu tanzania tusipopewa misaada miezi 6 utajua hujui ,bajet kama mia wazungu wanatoa 60 na mapato ya tra asilimia 70 yanalipa mishahara ya watumishi ,wazungu ni maji usipo waoga unawanywa,hiyo simu unayotumia,chupi na mafuta ulopaka mataq wameleta wao
 
Kama kweli walitofautiana lakini akashindwa kusimamia alichokiamini mpaka mwisho basi hakuwa na msimamo.

Sikuwahi kumuona Samia akiwa amevaa barakoa wakati wa Magufuli, mtu pekee niliyemuona amevaa barakoa alikuwa ni Kikwete pekee, au kama, yupo aliyemuona Samia kuvaa barakoa wakati ule hata anioneshe picha na Magufuli akionekana.

Inawezekana Samia aliogopa kitumbua chake kisiingie mchanga akawa tayari kuweka reheni afya yake.
Kuna kukubaliana kuto kukubaliana
 
Hukupenda kutosoma ni wazazi wako hawakupata nafasi na uelewa ,siwezi tukana umaskini wako huko magu,ila mkuu tanzania tusipopewa misaada miezi 6 utajua hujui ,bajet kama mia wazungu wanatoa 60 na mapato ya tra asilimia 70 yanalipa mishahara ya watumishi ,wazungu ni maji usipo waoga unawanywa
Ndio iko hivyo sababu akitokea mtu anaetaka tujitegemee anatukanwa kila kona!

Kwani hao wanaotupa hela wao wanapata wapi?

Watz upumbavu wenu ndio utafanya muendelee kuwa masikini milele
 
Kwa hiyo wewe mjinga hao Shangazi zako na kaka zako wanatuhusu nini? Kama unavyoona Magufuli kuwa ni shetani! Hata hao shangazi zako na kaka zako ni mizoga tu na hawatuhusu pumbuavu zako!
 
All that at the expense ya kuwavutia wawekezaji na the so called watalii.

Yaani anamuua Magufuli ili ajiweke kwenye nafasi nzuri itayowavutia hao majamaa.
 
Wale vijana wa kariakoo na watu wengi kuuana ovyo na anjali kibao!
 
kwahiyo yeye anaona yupo sahihi?, tulimchagua magufuri. Huyo maneno mengi simtambui...inamtambua katiba na genge lake tu. Sisi tunasubiri kumuweka rais wetu 2025.
Sukuma gang mna matatizo . kama ulipiga kura sura ya huyu mama hukuiona kwenye karatasi ya kupigia kura? . au mwenzetu uliweka ✔ kwenye picha ya jiwe 😂😂😂
 
Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli...
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO 19
View attachment 2188625
Huyu mama itabidi tumuulize yupo lipo wapi jiwe letu??
Yawezekana alishirikiana na mabeberu kutuondolea jiwe letu??
Hata mhangaike vipi, legacy ya jiwe haiwezi futwa

Speech za huyu mama zimejaa kumsema tu jiwe, yawezekana mzimu wa jiwe unamtafuna huyu mama taratibu taratibu
Atakuwa anaweweseka usiku
 
Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli...
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO 19
View attachment 2188625

Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19.​

Mbona wakati huo Huku wambia watanzania Haya wakati wa JPM?
 
Back
Top Bottom