#COVID19 Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

#COVID19 Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

Nilichojifunza ni kwamba, ukiwa maskini halafu na kichwani hujatimia sawasawa, unaweza ukaambiwa na matajiri umtukane hata Baba yako ili tu upate chochote, na ukafanya hivyo.
 
Kwa nini hajasema nyumbani TZ anaenda kuwaambia wazungu? Rais safari hii tumepata.
 
Rais Samia akiwa Washington Dc, anasema wakati wa utawala wa awamu ya 5, mara kadhaa alijikuta anatofautiana na Rais Magufuli.

Mojawapo ya tofauti zao zilikuja kwenye suala zima la kudili na ugonjwa wa Uviko-19.

My take:
Rais Samia inatosha sasa, marehemu hasimangwi tumuache apumzike, tugange yajayo.

View attachment 2188626
Kwani nani alikuchagua?? Pia rais ni taasisi na sio mtu alieondoka ni mtu je taaisis ya u rais haifai?? Tuache kutafuta justification kwa kuponda walliopita bali turekebishe walipokosea then tuendelee mbele kwa amani na utulivu..
 
Yaani nilitaka uteketeze kila kitu. Mshenzi yule anakebehi COVID. Yaani mi ilinichapa Mungu akaniokoa. Nikapoteza Shangazi zangu wawili na Kaka zangu wawili. Achilia mbali ndugu, Jamaa na marafiki na majirani. Yaani alaaniwe Lucifer Yule aungue Motoni. Ninaamini alikutana na wale waliopotea enzi zake.
Wewe ulikua na UKIMWI, KISUKARI, CANCER au mattz mengine lkn sio Corona. Sema vichwa vyenu vilikua kwenye motion ya Corona. So kila kitu ni Corona.Hapa napoongea nina mafua yamebana sana plus kichwa na kiungulia. Ingekua kipindi kile si mngesema Corona?
 
Makamu haruhusiwi kuachia ngazi ?

Unless otherwise ni necessary sio uungwana saana to kick a dead man (its political but not diplomatic)
Mtajuana wenyewe. Angesema mwanachadema mngemrushia mapanga🤣🤣
 
Wewe ulikua na UKIMWI, KISUKARI, CANCER au mattz mengine lkn sio Corona. Sema vichwa vyenu vilikua kwenye motion ya Corona. So kila kitu ni Corona.Hapa napoongea nina mafua yamebana sana plus kichwa na kiungulia. Ingekua kipindi kile si mngesema Corona?
Unakula vyakuka visivyo na hadhi ndio maana unajaa viungulia.

Mkiwa humu mnashangilia mafisadi utadhani mna maisha mazuri sana
 
hivi kwa akili yako ya kawaida tu . unataka kusema angeamua kujiuzuru mbele ya bwana yule angekuwa hai huyu?
Unajiuzuru kwa kuangalia nature ya kiongozi wako .
Hata demokrasia ya kujiuzulu haikuwepo.
 
Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli.
Dunia nzima Sasa nchi zote duniani zenye maraisi wenye akili na wasio na akili wanatumia Magufuri models, no lockdown, we can live with diesease forever, no mask, covid was just a scam some guys to make 💰, nchi zote zinamwona JPM Kama hero.

Leo kibwengo mmoja form four failure kapanda vyeo kwa sababu kadhaa kadhaa anamuzodoa Dr mzima kila jukwaa akipata upenyo lazima arushe vijembe ambaye dunia inamwona Kama genius.

Uko kote kujikomba kupata pesa ya misaada uku nyuma watu wanapiga na kuiba madini Kama hawana akili nzuri. Kweli nyani haoni kundule.
 
Muheshimiwa Rais anasema alitofautiana sana na hayati magufuli likiwemo swala la covid 19.

Swali, je kama JPM angemsikiliza SSH, je tungekaa lockdown? kama tungekaa lockdown je nchi ingekuwa kwenye hali gani.

Je SSH haoni kwamba JMP kukataa mawazo yake kwenye covd 19 alikuwa sahihi. Na JPM alipoona amefanikiwa katika hili kwa kukataa mawazo ya SSH, je JPM hakupaswa kukataa mawazo ya SSH kwenye mambo mengine. Hili swala la covid SSH asijaribu kumpnga JPM, kwani JPM alifanikiwa katika hili
 
Back
Top Bottom